Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

milan AC wamepata ushindi wa kishindo nyumbani kwa Atalanta baada ya Ibracadabra pamoja na KPB kuipa ushindi klabu hii yenye mafanikio zaidi hapa ulimwenguni.

Juve wakapata ushindi wa taaaaaaabu baada ya mshambuliaji wao Alesandro Matri kufunga kagoli ka pekee na kupelekea timu hiyo iliyoanza ligi kwa mbwembwe kuibuka na pointi 3
 
Napoli wakamkamata Parlemo na kumtandika goli 3-1...
AS Roma akajikamatia Chievo na kumtandika goli 2-0...
Udinese akajiokotea Cesena na kumtandika jumla ya goli 4-1...
Siena akamkuta Lazio akiwa hajielewi na kisha akambamiza goli 4-0...
 
Huyu Boateng Mshamba kweli kwa hiyo timu ya Taifa Ghana ndo achezei tena! Wangejua wasinge muita World cup.
 
gang chomba yuko kwenye jukwaa la Dini anakemewa mapepo.
Teh teh heh
 
COPA ITALIA..
juve 3-0 AS Roma
Napoli Musica 2-0 Inter
Milan 3-1 Lazio
 
Milan 3-0 Cagriali...
1. Ibracadabra
2. Nocerino
3. Ambrosini
 
Hofu imetanda nchini Italia. Ni katika jiji la Milano.Pale katika uwanja wa San Siro. Kisa? Vijana kutoka jiji la Londoni!

Arsenal to face AC Milan in Champions League | News Archive | News | Arsenal.com

mwaka wa njaa kwa milan!!!kwani JUVE kileleni ndo hatung'oki!hao arsenal nao wana njaa ya mafanikio chini ya uongozi wa dutch master RVP mshambuliaji mwenye njaa anayeweza kukuua kwa style yeyote aidha mguu wa kulia au kushoto,ndani ya 18 au kutoka mbali,hana impossible angle yeye anatupia tu popote atapoliangalia goli!!!!mbio za WALCOT na CHAMBERLAIN ndo silaha itayowaumiza MILAN
 
wakati Arse8 na Juve wakiwa na njaa ya mafanikio...
AC Milan inaongoza kwa mafanikio ya kimataifa ikiwa na vikombe 18 vya kimataifa...

Forza Milan.
 
Back
Top Bottom