myao wa tunduru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2010
- 614
- 235
vucinic japo alitupia ila ila red card aliyopewa nayo imefanya hawa watoto waokote pochi la pesa turin!hao catania mechi ijayo wataeleza!...fundi mzee mzoefu man of the match andrea pirlo kama kawaida yake alitakata sana dimba la kati!.......najua mkuu suluhu kwenu ni matokeo mazurijuve 1-1 Bologna.
Milan 1-1 Udinese
bologna 1-3 Inter...
Simba dume Clarence Seedorf jana kafunga goli la ukweli kiasi kwamba nimeamini ule msemo usemao hakuna kijiji kisicho na wazee
Milan 2-0 Viktoria
Hii ilikuwa friendly match?,nafahamu kwamba AC Milan wanacheza na Juventus jumapiliMilan 2-0 Viktoria
Hii ilikuwa friendly match?,nafahamu kwamba AC Milan wanacheza na Juventus jumapili
jipe moyo kwanza leo lazima ukalie ncha ya mkuki!juve ya msimu huu kikombe lazimadah old lady amepatulo tena...
Teh teh nauhakika ntamkuta tu.
Juve bila Luciano Moggi inakuwa haina fitna.
Hata Mie Ndio Navyojuwa wanakipiga na Juventus na watatandikwa na JUVENTUS 2-0 Juve ndio timu nafagilia toka enzi za Roberto Baggio.
pazi na Belo tuwe wote kesho kwenye kauwanja kenu kama kale ka Chamazi na muone jinsi tutakavyowavalisha Hijab kina Pirlo, Buffon, Krasic, na Del Peter yeye ndio tutamvalisha Baibui kabisa kwa sababu yeye ni kungwi.
Napoli anaendelea kugawa doziinter 0-3 Napoli...
Teh teh mtani pole kwa kuchambia stili waya.
Napoli anaendelea kugawa dozi
muuaji wa leo ni Matri!naona unaomba dua fundi Pirlo asijisikie afadhali!