Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #161
hawa jamaa ni noma sijui itakuwa kwao Napoli siku ya marudiano..
juve 2-2 Genoa...
Teh teh teh
Naona mbio za Juve zimeshaanza kufifiapamoja na kutoka suluhu chama kubwa juventus bado linashika usukani huku wazee wenzake milan na inter hata wakishinda mechi zao za viporo bado hawawezi kuifikia juve!....ni matokeo ya ushindi ya udinese,cagliari,lazio ndo yanaweza kufanya usukani tuuweke rehani!
Naona mbio za Juve zimeshaanza kufifia
Naona mbio za Juve zimeshaanza kufifia
leo Milan 4 - 1 Parma naona mdogomdogo mnapanda..