Sitaki kucheka ila imenibidi nicheke baada ya kusoma mwanzo wa comment yako.kama unasomea udaktari basi ndio maana viongozi wanakwenda kutibiwa nje.
na hiko chuo kikuu mna haki ya kuongozwa na Kikwete.
ngoja nikufundishe sasa, hayo ni jumla ya makombe yote ambayo timu imebeba, yaani ya ndani na ya kimataifa.
hapo namaanisha kwa mfano Madrid amebeba la liga ngapi, kombe la mfalme ngapi, super cup ya spain ngapi, jumlisha champions league, uefa cup, super cup na klabu bingwa ya Dunia.
natumai umenielewa mtoto mzuri.