Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

kama unasomea udaktari basi ndio maana viongozi wanakwenda kutibiwa nje.

na hiko chuo kikuu mna haki ya kuongozwa na Kikwete.

ngoja nikufundishe sasa, hayo ni jumla ya makombe yote ambayo timu imebeba, yaani ya ndani na ya kimataifa.

hapo namaanisha kwa mfano Madrid amebeba la liga ngapi, kombe la mfalme ngapi, super cup ya spain ngapi, jumlisha champions league, uefa cup, super cup na klabu bingwa ya Dunia.

natumai umenielewa mtoto mzuri.
Sitaki kucheka ila imenibidi nicheke baada ya kusoma mwanzo wa comment yako.
 
barca ndani ya miaka 10 iliopita ina champions league 4 unataka ufundishwe vp wewe ili ukiri ubora wao
afu hata hao mashabiki wa barca unaosema wameanza kuipenda barca mwaka 2006 acha waipende hata kama barca hii ingeibuka jana mtu anaejua soka ni nini ataipenda tu,
alichotuuzi huyo mtoa post ni kusema milan ndo timu bora milele wakati dunia nzima inajua hakuna kizaz cha kutandaza kabumbu kilichotokea mfano wa hawa la masia
sahau kuhusu brazil ya pele,total football ya holland,milan ya van basten had weah,kizaz hiki cha bayern ya thomas muller na wengine wote
tunachokueleza ni kuwa hiki kizaz cha gaucho xavi iniesta messi ndiyo haswa kilichotupa mashabiki wa soka ulimwengun burudan ya soka hao wengine wasifiane sababu ya unazi wenu tu na wala sio ubora wa kutandaza soka
Atakaebishana na wewe ni mwehu ktk ulimwengu wa soka.
 
kama unasomea udaktari basi ndio maana viongozi wanakwenda kutibiwa nje.

na hiko chuo kikuu mna haki ya kuongozwa na Kikwete.

ngoja nikufundishe sasa, hayo ni jumla ya makombe yote ambayo timu imebeba, yaani ya ndani na ya kimataifa.

hapo namaanisha kwa mfano Madrid amebeba la liga ngapi, kombe la mfalme ngapi, super cup ya spain ngapi, jumlisha champions league, uefa cup, super cup na klabu bingwa ya Dunia.

1.natumai umenielewa mtoto mzuri.
hao viongoz wana akil kama zako zilizojaa usaha lazma wakatibiwe nje
2.chuo ninqchosoma mm akiongozwi na kikwete labda ww kwenu kikwete ndo anamuomgoza babako
3. nimekuelewa mama wa mtoto mzur
 
Sehem kama hii ambayo kuna watu weng ua kila mtu ana mawazo yake ukiwaza A mwnge anawaza B so ukija kwa njia ya kumjibu mtu vibaya eti tu ukiwa unaamin kwamba ww ndo uko sahihi unakosea usidhan ni ww peke yako tu ndo una majib mabaya kuna watu wana majib mabaya zaidi tuheshimiane hakuna mtu dunian asie jua kejel na hakuna mtu dunian asiejua matus dunian ila tunatofautina jins ya kuyawasilisha
 
Chelsea ndio nin bhana acha kutuharibia sherehe yetu hapa sisi tunataja mafanikio ww unakuja na head to head zako za 2000's hapa.
 
Mimi kukuelewa nilikuelewa ijapokuwa hujaniquote mimi ila niseme tu kuwa hiyi Milan ingekutana na ile Barca ambayo ilimpiga Man U 2-0 pale france, ingeweza kumtandika huyo Milan hata hizo bao 9.
Kuna kitu kimoja kwa Barca, Barca hana tabia ya kukamia kukufunga nyingi, isipokuwa anataka tu akusumbue uwanjani kwa style yake achezayo. Kungekuwa na uwezekana hiyo squad ya Milan ikarudishwa na kukutana na Barca ya 2016 kila timu ktk ubora wake basi dunia nzima tungeandamana kuwa Barca amekiuka haki za kimpira kwa kuidharirisha Milan.
bahati mbaya sana mimi na wewe hatukuiona hiyo AC Milan wakati inacheza
 
Ac Milan safi sana sasa wewe MTU wa milano safi ila naomba historia ya Kugawanyika kwa Ac na inter Milan chanzo na muafaka ilikuwaje mnama wangu,pia nirushia Toto ya mmoja toka Messina wanawatoto wazuri sana wana Messina
 
Jamani wanasema mchezaji bora duniani alipaswa kuwa Garricha je wataalamu wa mpira Hapa kuna ukweli na maana bora kwa wakati wote na sio Pele au maradona
 
Jamani wanasema mchezaji bora duniani alipaswa kuwa Garricha je wataalamu wa mpira Hapa kuna ukweli na maana bora kwa wakati wote na sio Pele au maradona

wapo Garincha mpaka msata huko...
wapo Pele mpaka Nyakanazi huko...
wapo akina Maradona mpaka Vwawa huko.

ila hutokaa na kusikia kuna Gaucho mpya kazaliwa.
Dinho Magic ndie alama ya Soka.
ndie Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka
 
So it is finally time for the second Derby della Madonnina of the season, Inter won the first one 1-0 after a goal from now, former Inter-player Fredy Guarin. Who will win this one? Are Inter strong enough to win both derbys? On Sunday we will find out! Here are some interesting numbers from Whoscored presented to you
 
Goal-Scoring

Inter have not won a game in the Serie A since the 6th of January when we won 0-1 against Empoli. Since then we have (like usual) scored one goal per game (apart from the Sassuolo game) but we have drawn the games instead. Milan are better at scoring goals than Inter at least if we look at the stats. Milan have scored 29 goals this season and Inter have scored 26 this season. Milan’s Top Goalscorer in the club is Carlos Bacca, he has scored 10 times this season. Inter also have a striker as Top Goalscorer in the club, Mauro Icardi, he has scored 8 times this season.
 
Goal-Stopping

Inter still(!) have the best defense statistically in the Serie A. We have only conceded 14 goals so far. Milan have conceded 25 goals this season, Milan have the 8th best defense in the Serie A but then again Atalanta who are 13th in the league have the 7th best defense. Milan have conceded 9 goals from Set Pieces, Inter have only conceded 3 goals from Set Pieces.
 
Passing the ball

Inter average 526 passes per game with each passing streak lasting about 4.8. Milan’s passing-stats are a bit worse than Inter’s. Milan average 443 passes per game with each passing streak lasting about 4. These stats show that Inter are better at passing the ball than Milan, Inter average are more passes per game and they miss less passes than Milan do as well. This can also be seen in the average possession stats where Inter average 55% possession and Milan average 49%.
 
Best players so far

Alex Telles is Inter’s highest rated Whoscored player with a 7.28 rating. Giacomo Bonaventura is both Milan’s highest rated player and the highest rated player between the two teams with a 7.54 rating. Samir Handanovic is the only player between the two teams to appear in every game so far this season. On Sunday we could be seeing Eder’s debut for Milan and Inter as well!
 
Back
Top Bottom