Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

kama milan watacheza kama walivyocheza dhidi ya roma barca lazima alive mtu sio chini y tatu
 
Naomba niwe wa Kwanza kusema "REST IN PEACE AC MILAN". Kama umecheck game yao pia ya J'mosi na Formation waliyotumia basi mjiandae kulia.
 
Tupo pamoja bandugu ba Milan.Kuna uwezekano mkubwa Milan tukamkosa Thiago Silva..
 
kama milan watacheza kama walivyocheza dhidi ya roma barca lazima alive mtu sio chini y tatu
barcelona mziki mwingine wewe,wale balaa hawachagui uwanja hata tandahimba uwanja wenye vichuguu wanaweza kukufunga,usichezee vijana wa catalani la masia nou camp sabdell lleida barcelona nk
 
ni half time now.
Goli ni bila kwa bila.
Wanakuja golini kwetu na sisi tunakwenda golini kwao.
 
kule kwao lazima fitina itumike sana na marefa lazima wanunuliwe nmtolewe tu ila mafoward wenu wajipange zaidi kwa upande wa mabeki mmejitahidi..
 
asante.
Sasa wakusanye wenzako waliokuwa wanakurupuka kusema Barca lwo watampiga Milan si chini ya goli 3 then waambie kuwa ile ni AC Milan na si Inter
 
hahaha.... naona anafundoshwa soccer na arsenal B ... labda inabidi abadilike sana

siku nyingine ukiona AC Milan wamewapanga kwa pamoja Alesandro Nesta, Nahodha Massimo Ambrosini na Simba dume Clarence Seedorf basi uwe unafuta haraka hizi posti zako.
Milan sio sawa na Mji mpwapwa au Manchester UTD.

Forza Milan
 
ni aibu kubwa kujihami nyumbani, itakuwa ni balaa ugenini!

ni heri tu hii mechi ingekuwa kati ya arsenal a na arsenal b!
 
Tulijihami ili wao wasipate goli la ugenini, na wameshindwa kulipata.
Sasa jiulize je Barca wana timu ya kushambulia na kujilinda?

Milan tutakwenda kwao tukiwa na dhumuni la kushambulia.
Na tunaweza kuwashambulia Barca na hata kuwabaka bila kutumia wingback zetu, kitu ambacho wao hawawezi.

Wao mashambulizi yao ni lazima mabeki wao wa pembeni wapande kuongeza nguvu, kitu ambacho itakuwa risk kwao kwani Buluda watapiga counter za kufa mtu na matokeo yake itakuwa msiba kwa Guardiola.

Rejea mechi ya pili ya Arsenal waloshinda goli 3.
Kipindi cha kwanza Buluda walijihami mno kiasi ambacho kiliwapa nafasi wachezaji wa Arse4 kufanya watakalo.
Lakini kipindi cha pili milan waliamua kucheza kwa kushambulia na hatimae wakaweza kuwafanya mabeki wa Arse8 wasipande kwa kuhofia jamaa kupata goli la ugenini.

Hivyo ndivyo itakavyowagharimu Barca.
 
barcelona mziki mwingine wewe,wale balaa hawachagui uwanja hata tandahimba uwanja wenye vichuguu wanaweza kukufunga,usichezee vijana wa catalani la masia nou camp sabdell lleida barcelona nk

kaka nmeipenda hyo comment yako mwaka 2010 nlibahatika kufika wilaya ya tandahimba na kwa upenzi wa michezo nlifanikiwa kucheza mpira na vijana wa pale ktk ule uwanja.so naujua vizuri.kwahyo unaponiambia hata barca wakitupwa pale watatisha.hahahhaa c mchezo ila barca kaka n noma wale jamaa
 
barca hata siku moja hawajaumbwa kudeffend na huwezi kuja kuwaona hata mara moja wao n wanaume wa kwenda mbele tu.so kaz n kwenu.
 
siku nyingine ukiona AC Milan wamewapanga kwa pamoja Alesandro Nesta, Nahodha Massimo Ambrosini na Simba dume Clarence Seedorf basi uwe unafuta haraka hizi posti zako.
Milan sio sawa na Mji mpwapwa au Manchester UTD.

Forza Milan

haha kwa ile game ,mliyocheza jana shekh nakuhakikishia Nou camp hamtoki...!! mtalala zaidi ya goli tatu ... ukibisha ni ujeuri huo..! labda fitna itumike!
 
Tulijihami ili wao wasipate goli la ugenini, na wameshindwa kulipata.
Sasa jiulize je Barca wana timu ya kushambulia na kujilinda?

Milan tutakwenda kwao tukiwa na dhumuni la kushambulia.
Na tunaweza kuwashambulia Barca na hata kuwabaka bila kutumia wingback zetu, kitu ambacho wao hawawezi.

Wao mashambulizi yao ni lazima mabeki wao wa pembeni wapande kuongeza nguvu, kitu ambacho itakuwa risk kwao kwani Buluda watapiga counter za kufa mtu na matokeo yake itakuwa msiba kwa Guardiola.

Rejea mechi ya pili ya Arsenal waloshinda goli 3.
Kipindi cha kwanza Buluda walijihami mno kiasi ambacho kiliwapa nafasi wachezaji wa Arse4 kufanya watakalo.
Lakini kipindi cha pili milan waliamua kucheza kwa kushambulia na hatimae wakaweza kuwafanya mabeki wa Arse8 wasipande kwa kuhofia jamaa kupata goli la ugenini.

Hivyo ndivyo itakavyowagharimu Barca.

kwa nini hamtengenezi uwanja? uliwasaidia kuifunga arsenal kijanja! sasa umewapa sare ya kubahatisha.

Barcelona lodge AC Milan pitch complaint to UEFA - ESPN Soccernet

Pep Guardiola: Barcelona dominated despite poor AC Milan pitch - ESPN Soccernet
 
Back
Top Bottom