Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
barcelona mziki mwingine wewe,wale balaa hawachagui uwanja hata tandahimba uwanja wenye vichuguu wanaweza kukufunga,usichezee vijana wa catalani la masia nou camp sabdell lleida barcelona nkkama milan watacheza kama walivyocheza dhidi ya roma barca lazima alive mtu sio chini y tatu
gangchomba sheikh upo... ?
yupo meaza network ipo low kwa full mawazo..
ni half time now.
Goli ni bila kwa bila.
Wanakuja golini kwetu na sisi tunakwenda golini kwao.
kule kwao lazima fitina itumike sana na marefa lazima wanunuliwe nmtolewe tu ila mafoward wenu wajipange zaidi kwa upande wa mabeki mmejitahidi..
hahaha.... naona anafundoshwa soccer na arsenal B ... labda inabidi abadilike sana
ni aibu kubwa kujihami nyumbani, itakuwa ni balaa ugenini!
ni heri tu hii mechi ingekuwa kati ya arsenal a na arsenal b!
barcelona mziki mwingine wewe,wale balaa hawachagui uwanja hata tandahimba uwanja wenye vichuguu wanaweza kukufunga,usichezee vijana wa catalani la masia nou camp sabdell lleida barcelona nk
siku nyingine ukiona AC Milan wamewapanga kwa pamoja Alesandro Nesta, Nahodha Massimo Ambrosini na Simba dume Clarence Seedorf basi uwe unafuta haraka hizi posti zako.
Milan sio sawa na Mji mpwapwa au Manchester UTD.
Forza Milan
Tulijihami ili wao wasipate goli la ugenini, na wameshindwa kulipata.
Sasa jiulize je Barca wana timu ya kushambulia na kujilinda?
Milan tutakwenda kwao tukiwa na dhumuni la kushambulia.
Na tunaweza kuwashambulia Barca na hata kuwabaka bila kutumia wingback zetu, kitu ambacho wao hawawezi.
Wao mashambulizi yao ni lazima mabeki wao wa pembeni wapande kuongeza nguvu, kitu ambacho itakuwa risk kwao kwani Buluda watapiga counter za kufa mtu na matokeo yake itakuwa msiba kwa Guardiola.
Rejea mechi ya pili ya Arsenal waloshinda goli 3.
Kipindi cha kwanza Buluda walijihami mno kiasi ambacho kiliwapa nafasi wachezaji wa Arse4 kufanya watakalo.
Lakini kipindi cha pili milan waliamua kucheza kwa kushambulia na hatimae wakaweza kuwafanya mabeki wa Arse8 wasipande kwa kuhofia jamaa kupata goli la ugenini.
Hivyo ndivyo itakavyowagharimu Barca.
kwa nini hamtengenezi uwanja? uliwasaidia kuifunga arsenal kijanja! sasa umewapa sare ya kubahatisha.
Barcelona lodge AC Milan pitch complaint to UEFA - ESPN Soccernet
Pep Guardiola: Barcelona dominated despite poor AC Milan pitch - ESPN Soccernet