Honeymoon for Men & Women, dawa ya kuongeza nguvu za kiume ya Viagra iliyojificha kwenye jina la dawa za Asili kutoka Uturuki

Yaani kwengne unapigia fresh ila kwa mkeo mapigo yanakata.....afu bado unamtafuta mchawi,umerogwa wewe sio buree....Acha zinaa
Mkuu mbona zamani nilikua nazini na napiga kwa wife vizuri kabisa bila shida yoyote? Iweje sasa?
 
Kama ni muangaliaji video za ngono na mpigaji wa punyeto tafadhali acha.
 
kumbe we kiazi eh, ndo maana ulinunua takataka kwa 150k.
Kweli naweza kua kiazi lakini ushauri wako ni wa kipumbavu, ni ushauri wa mtu asie na akili.

Matikiti ya laki na nusu yote ya nini?

Halafu kwa nini matikiti, kwa nini isiwe maembe, mananasi, mastafeli ama mahindi ya kuchoma?
 
Kweli naweza kua kiazi lakini ushauri wako ni wa kipumbavu, ni ushauri wa mtu asie na akili.

Matikiti ya laki na nusu yote ya nini?

Halafu kwa nini matikiti, kwa nini isiwe maembe, mananasi, mastafeli ama mahindi ya kuchoma?
Bado unaendelea kuthibitisha we ni kiazi pro, mkuu ungekaa tu kimya aisee.
 
Nashukuru sijawai kuwa na tatizo la namna hii, mke wangu akipita amevaa kanga moja tu mnara unasoma 4G, anapigwa show akiwa hajakaa sawa mpira unarudishwa kati, ndio tunaanza pasi
 
Haya madawa Wanayo yasema ni dawa za asili kutoka nje ya Tanzania ni waongo wanachanganya na vidonge aka Viagra unatumia inakusaidia lakini baadae unakuja kudhurika unakuwa hauna nguvu zako za asili zakiume mujihadhari sana. Mimi ninazo dawa za asili za kuongeza nguvu za kiume na pia kuongeza Ukubwa wa uume pasipo na madhara yoyote yale .Unatumia kwa muda maalum uume wako utaongezeka na utakuwa na nguvu milele maishani mwako. Ukitumia dawa zangu hautahitaji tena kutumia dawa ingine yoyote ile ya kuongeza nguvu za kiume au kuongeza Uume uwe Mkubwa. Kwa Mtu mwenye kuhitaji anitafute kwa Wakati wake .



 
lipia tangazo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…