Jogoo mbegu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 824
- 3,449
Asali + tangawizi + kitungu saumu + karanga mbichi = Motoš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna sehemu nimemuambia ale tikit za 150k? Au shida ni uelewa.Matikiti ya laki moja na nusu
Mkuu sijawahi kutumia dawa za aina hiyo mkuuKwahiyo iyo ni zaidi ya mkongo siyo?
Hiyo hela ingeitoa sadaka kwa nabii Malisa ungejichotea baraka tele ujue š150k. Mzee nikatuma pesa ikaletwa. Nilifanya hivyo ili nipate temporary solution kwani weekend nilikua nakutana na mpenzi wangu kwa ajili ya shoo.
Matikiti ya laki na nusu mkuu unataka nife?Sasa mkuu hyo 150k si ungekula tu matikiti ya kutosha unatafuna kabisa na mbegu zake ukapiga show ya uhakika kabisa
Mkuu mbona zamani nilikua nazini na napiga kwa wife vizuri kabisa bila shida yoyote? Iweje sasa?Yaani kwengne unapigia fresh ila kwa mkeo mapigo yanakata.....afu bado unamtafuta mchawi,umerogwa wewe sio buree....Acha zinaa
Nakubaliana na wewe mkuu. Hii short cut imenigharimu pesa na kichwa kuumaHua inanishangaza sana jinsi watu hawapendi kwenda kwa madaktari wanatafuta shortcut zinazoweza kuleta madhara zaidi.
Sipigi punyeto mkuuNa Punyeto anatumia huyu Mkuu.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
kumbe we kiazi eh, ndo maana ulinunua takataka kwa 150k.Matikiti ya laki na nusu mkuu unataka nife?
Kweli naweza kua kiazi lakini ushauri wako ni wa kipumbavu, ni ushauri wa mtu asie na akili.kumbe we kiazi eh, ndo maana ulinunua takataka kwa 150k.
Bado unaendelea kuthibitisha we ni kiazi pro, mkuu ungekaa tu kimya aisee.Kweli naweza kua kiazi lakini ushauri wako ni wa kipumbavu, ni ushauri wa mtu asie na akili.
Matikiti ya laki na nusu yote ya nini?
Halafu kwa nini matikiti, kwa nini isiwe maembe, mananasi, mastafeli ama mahindi ya kuchoma?
Wapi nimekuambia ule matikit ya 150k? au una shida ya uelewa?Matikiti ya laki na nusu yote ya nini?
Haya madawa Wanayo yasema ni dawa za asili kutoka nje ya Tanzania ni waongo wanachanganya na vidonge aka Viagra unatumia inakusaidia lakini baadae unakuja kudhurika unakuwa hauna nguvu zako za asili zakiume mujihadhari sana. Mimi ninazo dawa za asili za kuongeza nguvu za kiume na pia kuongeza Ukubwa wa uume pasipo na madhara yoyote yale .Unatumia kwa muda maalum uume wako utaongezeka na utakuwa na nguvu milele maishani mwako. Ukitumia dawa zangu hautahitaji tena kutumia dawa ingine yoyote ile ya kuongeza nguvu za kiume au kuongeza Uume uwe Mkubwa. Kwa Mtu mwenye kuhitaji anitafute kwa Wakati wake .Wakuu, habari za muda.
Kuna hii dawa inaitwa Honeymoon for Men & Women.
Ni Vifurushi vya asali ambavyo unapewa unatakiwa umeze kimoja baada ya siku 3.
Nimeambiwa kabla ya hapo ilikua ni vidonge, sasa wameboresha wamevileta kama asali.
Kwa nini nimejua hii dawa. Ni hivi, hivi karibuni nimetokea ku underperform kwa mpenzi wangu hadi kufanya nijisikie vibaya sana.
Mpenzi wangu hatukua tumeonana kama mwezi, so kwa expectations zake na zangu ilikua tukikutana ni shoo shoo, shoo ya kufa mtu. Ajabu tulipokutana nikapiga kamoja tena dakika 3 halafu mashine ikagoma kusimama, akafanya juu chini kuisimamisha inadimama kidogo inalala, kidogo inalala.
Hilo jambo likatokea kwa siku 2 mfululizo. Haikuishia hapo, tukapishana tena kwa muda wa wiki 2, tulipokutana hali ikawa vile vile. Kumbuka in between hapo naendelea kupiga show zangu za mtaani kama kawaida bila tatizo lolote, najipigia watoto wazuri bila shida, ila ikifikia yeye mxigo haiunuki baada ya goli la kwanza.
Hali hiyo ikanisosonesha sana, nikalazimika kuuliza wadau nafanyaje kupambana na hii aibu, ndio mdau mmoja ataka anipe suluhisho la hilo tatizo langu, nikasema sawa wacha nijaribu.
Nikaambiwa kuna dawa ya asili ya kigiriki, inaitwa Honeymoon for Men and Women. Inauzwa 150k. Mzee nikatuma pesa ikaletwa. Nilifanya hivyo ili nipate temporary solution kwani weekend nilikua nakutana na mpenzi wangu kwa ajili ya shoo.
Wakuu dawa ikaletwa, nikameza kapakti kamoja ka asali na kunywa maji mengi sana kama nilivyoelekezwa, nikasubiri nusu saa kama nilivyoelekezwa, nusu saa ikapita hakuna kitu, saa ikafika mashine imelala tu.
Baada ya saa 1 na nusu akaja yule mpenzi wangu. Tukaanza maandalizi, sioni maajabu yoyote, nikapiga goli la kwanza kawaida kama vile hua napiga, mzigo ukalala, tukapiga stori nyingi, baada ya lisaa hivi mzigo ukainuka wenyewe, nikaoiga show yangu kama kawaida yangu ambayo hua napiga, mzigo ukalala tena, nbaada ya muda nikarudia cha tatu na mechi ikaishia hapo.
Sasa hii dawa niliambiwa ukimeza nikimeza mshine haitalala, ni mwanzo mwisho naweza kupiga hata goli 5 haijalala, sijaona tofauti yoyote.
Leo nikaamua nijielimishe zaidi kuhusu hii dawa ndio nikaiona mtandaoni ikiwa na onyo kutoka shirika la madawa na chakula la Marekani kwamba ni Viagra iliyojificha kwenye jina la dawa za asili na watu wakatahadharishwa kuitumia.
So wakuu, mjihadhari na haya madawa yanayoitwa ya asili, ni Viagra. Kichwa kinaniuma toka juzi na nimeambiwa ni madhara ya viagra.
View attachment 2833871
lipia tangazo mkuuHaya madawa Wanayo yasema ni dawa za asili kutoka nje ya Tanzania ni waongo wanachanganya na vidonge aka Viagra unatumia inakusaidia lakini baadae unakuja kudhurika unakuwa hauna nguvu zako za asili zakiume mujihadhari sana. Mimi ninazo dawa za asili za kuongeza nguvu za kiume na pia kuongeza Ukubwa wa uume pasipo na madhara yoyote yale .Unatumia kwa muda maalum uume wako utaongezeka na utakuwa na nguvu milele maishani mwako. Ukitumia dawa zangu hautahitaji tena kutumia dawa ingine yoyote ile ya kuongeza nguvu za kiume au kuongeza Uume uwe Mkubwa. Kwa Mtu mwenye kuhitaji anitafute kwa Wakati wake .
View attachment 2834314