Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Achana na takataka hiyo inakupotezea muda wako bure, ndio maana unaona thread yenyewe imepuuzwa na wadau...ccm kwa muda mrefu imekuwa ikitumia mapolisi, mahakama, na tume ya uchaguzi, kuvikandamiza vyama mbadala vya siasa.
..ukandamizaji huo ndio unaosababisha mgawanyiko unaozungumziwa, na kauli za msisitizo kwamba tofauti za kisiasa zimalizwe kwa mazungumzo.