Hongera Baba Askofu Shao wa Kanisa Katoliki Zanzibar

Achana na takataka hiyo inakupotezea muda wako bure, ndio maana unaona thread yenyewe imepuuzwa na wadau.
 
Achana na takataka hiyo inakupotezea muda wako bure, ndio maana unaona thread yenyewe imepuuzwa na wadau.
Nimeleta ujumbe mzuri wa Christmas kutoka kwa Baba Askofu Shao siyo kutafuta 'like'. Wapo waliosoma kimya kimya ujumbe umefika. Hata wewe ni mdau tosha na ulisoma. πŸ™πŸ™πŸ˜€πŸ˜€
 
Nimeleta ujumbe mzuri wa Christmas kutoka kwa Baba Askofu Shao siyo kutafuta 'like'. Wapo waliosoma kimya kimya ujumbe umefika. Hata wewe ni mdau tosha na ulisoma. πŸ™πŸ™πŸ˜€πŸ˜€
Hivi wewe ni Semtawa Ramadhani au ni Semtawa yupi? Maana ni mjinga sana.
 
Matola, halafu tujenge utaratibu wa kujadili hoja. Hilo gazeti ukijadili heshima yake na mchango wake ktk nchi hii na ukombozi wa Afrika, huwezi kulitaja kirahisi hivyo. Unless knowledge yako iko Limited ktk historia ya hilo gazeti.
Lilikuwa na sifa hiyo enzi za Nyerere lakini siyo leo.Leo watu wanakataa kulisoma hata wakinunuliwa.
 
CHADEMA waliomba maridhiano muda mrefu sn tena mbele ya dikteta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…