kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Umoja wa vijana na umoja wa wanawake umeimarika na umetoa viongozi wengi wa leo na kesho wa Taifa hili.
BAWACHA nadhani ndio umoja wa wanawake wa vyama vya siasa uliowahi kusimamisha wanachama wengi kugombea Ubunge Afrika na hata Duniani. Lakini pia umoja huu si tu umetoa wagombea wanawake Bali umetoa wagombea ambao wamefika kwenye majimbo nakuonyesha uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kusimamia kuwazidi wanaume wanaopambana nao.
Umoja wa vijana BAWACHA una historia ya kutoa vijana wanaotumika na chama lakini pia vijana wengi waliotoka kwenye umoja huu wamesajiliwa na chama Tawala na wanafanya kazi nzuri mara dufu ya vijana waliotokea UVCCM.
Natumai kundi kubwa la vijana hawa na wakina mama wapo tayari kulivusha Taifa na wameonyesha dhamira baada ya chama tawala kumilikiwa na Mwenyekiti huku akisaidiwa na katibu kwa mbali na Mwenezi.
Hakuna mwanamama,mzee Wala kijana aliyeonyesha kukipigania chama tawala Hadi Sasa, wote wamegeuka watu wa matukio na kujipitisha kwa ajili ya uteuzi.
Taifa linahitaji BAWACHA NA BAVICHA KWA SASA....SOLIDARITY