Hongera CCM: Umelijenga Taifa imara Kwa vizazi vijavyo

Kama unafikiri CCM inaendelea kutawala Kwa sababu ya unyonge wa watu basi mtazamo wako hauko sahihi. Ni kweli haki inapiganiwa inapoporwa lakini CCM haijawahi kupora haki ya yeyote ndio maana huwezi kuona watu wakizipigania.

Anza na sakata la mfuko wa bima wa Taifa NHIF, nenda kwenye mifuko mingine ya kijamii ndipo utaelewa haki za wanyonge zinavyoporwa kwa kisingizio cha tunajali maisha yako..

Serikali chini ya CCM kwa kupitia bunge lenye idadi kubwa ya CCM wanaleta tozo na kodi mpya kadiri wanavyoona inawafaa bila kujali maisha na kipato cha Mtanzania wa kawaida atamudu vipi gharama za maisha.
 
Leo Tanzania ni Mwalimu katika mambo mengi, inaaminiwa katika mengi na inatambulika Kwa mengi sio tu Afrika bali duniani Kwa ujumla.
kwa mfano katika kuiba kura, kushauri viongozi waibe, kudanganya wananchi, kutokua na reliable sources za nishati, utekaji, kuhusisha Jeshi na siasa, mahakama na bunge kuwa chini ya serikali ya kijangili ya ccm, ongeza
 
Anza na sakata la mfuko wa bima wa Taifa NHIF, nenda kwenye mifuko mingine ya kijamii ndipo utaelewa haki za wanyonge zinavyoporwa kwa kisingizio cha tunajali maisha yako..

Serikali chini ya CCM kwa kupitia bunge lenye idadi kubwa ya CCM wanaleta tozo na kodi mpya kadiri wanavyoona inawafaa bila kujali maisha na kipato cha Mtanzania wa kawaida atamudu vipi gharama za maisha.
Kodi ni msingi wa maendeleo ya nchi yoyote na watu hawatakiwi kubembelezwa kutoa Kodi, anayegoma anatakiwa kushughulikiwa vilivyo ili kuwe na nidhamu na uwajibikaji wa watu .

Unadhani Serikali inapoweka tozo au Kodi ,haifanyi tathmini ya kutosha bali inaweka Kwa ajili ya kuumiza watu?

Kama jibu la swali Hilo kwako ni ndio basi tatizo kwako ni kukosa uelewa na elimu ya Kodi ila kama jibu ni hapana hoja yako inakosa uhalali.

Kwenye suala la NHIF Serikali ipo sahihi na ipongezwe, afya isiwe mtaji wa sekta binafsi. Naamini Serikali itakuja na mageuzi makubwa kwenye sekta ya afya
 
kwa mfano katika kuiba kura, kushauri viongozi waibe, kudanganya wananchi, kutokua na reliable sources za nishati, utekaji, kuhusisha Jeshi na siasa, mahakama na bunge kuwa chini ya serikali ya kijangili ya ccm, ongeza
Kwanza tukubaliane kwamba kushindwa ni tukio linalotesa akili sana na athari za mtu kushindwa ni za muda mrefu. Baada ya kukubaliana kwenye Hilo, tujadili Sasa Kwa kina.

Wengi wanaoshindwa wanashindwa kuhimili hali hiyo na kupelekea kuamini wameibiwa kura ila ukweli wanakuwa wameathiriwa kisaikolojia Kwa kushindwa. Sio tu Afrika hata nchi zilizoendelea kabisa uwa hawakubali kushindwa ila tofauti yao na sisi ni kwamba kule hauna nafasi ya kufanya maandamano zaidi ya kulalamika. Trump aliposhindwa na Biden pia alilamika kufanyiwa faulo. Hayo ndio matokeo ya kushindwa, kulalamika, kuhisi umeibiwa kura,
 
kwa kweli katika mambo ambayo namuomba MUNGU kila siku ni kunipa uwezo wa kutambua ujinga na upumbavu na kwamba kunipa uwezo wa kuzuia kinywa changu kisiongee UPUMBAVU kama huu ulioandika. unawezaje kutumia akili alizokupa MUNGU kuandika upupu namna hii??
 
Leo Tanzania ni Mwalimu katika mambo mengi, inaaminiwa katika mengi na inatambulika Kwa mengi sio tu Afrika bali duniani Kwa ujumla. Licha ya kwamba wanasema Nabii hakubaliki kwao lakini anayeifanya Tanzania kuwa hivi alivyo Leo ni Nabii anayekubalika ndio maana nataka hongera kwake, HONGERA CHAMA CHA MAPINDUZI.

Hongera CCM mwanamapinduzi wa kweli kwenye uchumi,siasa na maendeleo. Bila CCM pengine Tanzania tuliyonayo ingekuwa ni historia. Unaamini uchumi bora na maendeleo na siasa safi yanaletwa na utulivu na umoja na msingi huo umetusaidia kujenga na kuleta Mapinduzi makubwa ya kimaendeleo. Hakika wewe ni Chama Cha Mapinduzi.

Hongera CCM, Umetusaidia kuonesha njia ya kutokuwa na Tamaa ya madaraka kwa viongozi, tunajivunia Hilo. Tangu awamu wa ya kwanza mpaka sasa hatujasikia wala kusimuliwa kwamba Kuna kiongozi aliyewahi kugoma kutoka madarakani na umekuwa mstari wa mbele kutukumbusha falsafa ya kuachiana vijiti vya uongozi.

Hongera CCM, mpaka sasa umetupatia wenyeviti 6 ,ambao wameomesha dhamira ya dhati katika utumishi na uongozi. Viongozi mashujaaa wenye kiu ya kulibadilisha Taifa na kuwa kielelezo Cha demokrasia duniani.

Hongera CCM, busara na hekima zako za uongozi zimevuka mipaka na bahari na kama Afrika Leo ingekuwa nchi ninaamini Bado ungekuwa ni Chama tawala.

Hongera CCM, Mwalimu bora wa wakati wote wa siasa safi, demokrasia ,uhuru wa kutoa maoni , uvumilivu na mageuzi ya kiuchumi. Bila wewe hivi vitu vingekuwa ni anasa kwenye maisha ya watanzania.

Hongera CCM, kutupatia Rais Samia ambaye ni nembo ya mabadiliko ya kisera Kwa Taifa letu katika karne ya 21. Tanzania inajivunia wewe.

Hongera sana CCM ,wewe ni zawadi bora katika vifurushi vya zawadi walizozawadiwa watanzania.HONGERA CCM
Mbwa wewe

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Eti tumwachie Mungu, Mungu amewahi kuijenga nchi gani,

Yeye ametupa akili iii sisi tuijenge nchi lkn ccm wamegoma kutumia akili
 
kwa kweli katika mambo ambayo namuomba MUNGU kila siku ni kunipa uwezo wa kutambua ujinga na upumbavu na kwamba kunipa uwezo wa kuzuia kinywa changu kisiongee UPUMBAVU kama huu ulioandika. unawezaje kutumia akili alizokupa MUNGU kuandika upupu namna hii??
Kitu ambacho nilikataa maishani ni kuambiwa hiki ni kijiko kikubwa wakati naona ni koleo, nikikubali hivyo uwa najiona Sina akili lakini Kwa kuwa najua kutofautisha hiki na kile najivunia Kwa Hilo.

Unajua Kwa nini CCM itaendelea kushinda na inawezekana ikashinda milele ? Ni Kwa sababu kuu mbili:

Kwanza, upinzani haushindi na haukubali kushindwa. Kukubali kushindwa ni njia ya kujipanga Upya ,kuja na mikakati na mbinu mpya. Sasa kama kazi yako ni kutokubali kushindwa ,huko kujipanga Upya kunakujaje? Ni kama mtu aliyepo kwenye shindano la mbio , akaanguka baada ya hapo anataka shindano lisitishwe Kwa kuanguka kwake. Mshindani wa kweli hapo atasimama na kuamini Mimi ni mshindi natakiwa kusonga mbele.

Jambo la pili, mengi yanayofanywa na upinzani ni utoto wa kisiasa. Kadiri watu wanavyoendelea kuelimika wanazidi kuamini upinzani Bado ni mchanga sana Tena sana kwenye siasa bora. Siasa bora ni uchumi, ni maendeleo ,ni kilimo ,ni amani na ni Kila kitu . Huu mtazamo upinzani hawana wanaamini siasa ni nani atawale ndio maana wapinzani wengine wamekuwepo bungeni miaka 20 na zaidi lakini hatujaona mabadiliko yoyote majimboni Kwa sababu niliyosema hapo
 
Eti tumwachie Mungu, Mungu amewahi kuijenga nchi gani,

Yeye ametupa akili iii sisi tuijenge nchi lkn ccm wamegoma kutumia akili
Zaburi 127:1-2 “Bwana asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi”
 
Wewe ni muhuni kama wahuni wengine.
Kwa hiyo Mungu ataingilia mipango ya mafisadi ya ccm aijenge nchi?
 
Akili zenu BAVICHA mbona za kitoto sana? Yaani Bado na nukuu hiyo ya kwenye Biblia Takatifu bado unasema ni ya kihuni? Sio bure BAVICHA imelaaniwa
 
Leo Tanzania ni Mwalimu katika mambo mengi, inaaminiwa katika mengi na inatambulika Kwa mengi sio tu Afrika bali duniani Kwa ujumla. Licha ya kwamba wanasema Nabii hakubaliki kwao lakini anayeifanya Tanzania kuwa hivi alivyo Leo ni Nabii anayekubalika ndio maana nataka hongera kwake, HONGERA CHAMA CHA MAPINDUZI.

Hongera CCM mwanamapinduzi wa kweli kwenye uchumi,siasa na maendeleo. Bila CCM pengine Tanzania tuliyonayo ingekuwa ni historia. Unaamini uchumi bora na maendeleo na siasa safi yanaletwa na utulivu na umoja na msingi huo umetusaidia kujenga na kuleta Mapinduzi makubwa ya kimaendeleo. Hakika wewe ni Chama Cha Mapinduzi.

Hongera CCM, Umetusaidia kuonesha njia ya kutokuwa na Tamaa ya madaraka kwa viongozi, tunajivunia Hilo. Tangu awamu wa ya kwanza mpaka sasa hatujasikia wala kusimuliwa kwamba Kuna kiongozi aliyewahi kugoma kutoka madarakani na umekuwa mstari wa mbele kutukumbusha falsafa ya kuachiana vijiti vya uongozi.

Hongera CCM, mpaka sasa umetupatia wenyeviti 6 ,ambao wameomesha dhamira ya dhati katika utumishi na uongozi. Viongozi mashujaaa wenye kiu ya kulibadilisha Taifa na kuwa kielelezo Cha demokrasia duniani.

Hongera CCM, busara na hekima zako za uongozi zimevuka mipaka na bahari na kama Afrika Leo ingekuwa nchi ninaamini Bado ungekuwa ni Chama tawala.

Hongera CCM, Mwalimu bora wa wakati wote wa siasa safi, demokrasia ,uhuru wa kutoa maoni , uvumilivu na mageuzi ya kiuchumi. Bila wewe hivi vitu vingekuwa ni anasa kwenye maisha ya watanzania.

Hongera CCM, kutupatia Rais Samia ambaye ni nembo ya mabadiliko ya kisera Kwa Taifa letu katika karne ya 21. Tanzania inajivunia wewe.

Hongera sana CCM ,wewe ni zawadi bora katika vifurushi vya zawadi walizozawadiwa watanzania.HONGERA CCM
Chawa katika ubora wa kunguni
 
IMG_8869.jpg
 
Take Action Now!
Dear Avaaz family,​
I write at a time of great danger for my people -- I'm even scared to show my face.

The Tanzanian government is on the attack. First they poisoned the water and killed our animals. Now they're coming for us.

I was there when they shot our Maasai mothers to the ground. We ran for our lives.

The government wants our land for luxury tourism and hunting holidays -- but thanks to your support, we've been fighting the evictions in court. I want you to know that thousands of us still have our way of life, and our place on Earth, because of your donations before.

But now the government is back, and 20,000 Maasai could be evicted in weeks. I'm humbly asking for your help again. I believe we can win -- but my people are cattle herders, living gently on these lands, and we simply can't afford more legal battles.

I'm not asking for charity. I'm asking you to stand with us again -- help fund our fight, so we can protect our lands and all the life they hold. You'll also be supporting Avaaz campaigns with other Indigenous communities, from the Amazon to Vanuatu. Donate what you can now:
My people live by a sacred oath to our ancestors, a promise to protect these lands and the delicate balance of life. Our grasslands are thriving because of that promise… and it's why the government now wants them for elite tourism.

Where we see life and love, they only see money.

It's happening around the world. The guardians of rainforests, wetlands, and savannahs are being attacked and forced from our homes -- with almost nothing to fight back.

The Avaaz community has been a steadfast ally. You've helped my people win important victories -- but new evictions are coming and more court cases are too costly for us. With enough funding, Avaaz could:
  • Fund the Maasai legal defence, supporting research, evidence-gathering, and a bold legal team to stop all evictions and free those being illegally detained;
  • Support Indigenous communities fighting to block a monstrous oil pipeline tearing through East Africa;
  • Support the uprising of Amazon Indigenous leaders to defend the rainforest from loggers, miners, and mega cattle farms; and
  • Run urgent campaigns to win and protect Indigenous rights and the balance of life on Earth.
We, the Maasai of Ngorongoro, are only able to keep fighting today because of the legal victories you helped to make possible. But now we need you again -- please help to fund our legal cases and defend the rights of Indigenous people around the world. Donate what you can now:​
Brothers and sisters of the world, thank you. Mwanga wa jua ukuangazie, may the sunlight shine upon you.

Maasai Elder from Ngorongoro and the whole team at Avaaz

Why your support matters, right now
  1. The Maasai are Earth Defenders: They aren't just fighting for their home; they're the stewards of lands that are rich in biodiversity. By supporting the Maasai, we help to protect those ecosystems.

  2. They depend on international support: Our donations enable the Maasai to resist government evictions -- without support, their fight would be near impossible. If you believe in the fundamental rights of Indigenous people; this is a unique opportunity to stand with them.

  3. The Maasai are winning: Thanks to global backing, the Maasai have won critical court cases. But further evictions are imminent, and they need immediate support.
Notes:
As this Maasai community is under attack, including arbitrary arrests and detention, the consequences of writing an email like this could be severe. For that reason, names have been removed and the photo is anonymous.

PS. This might be your first donation to our movement ever. But what a first donation! Did you know that Avaaz relies entirely on small donations from members like you? That's why we're fully independent, nimble and effective. Join the over 1 million people who've donated to make Avaaz a real force for good in the world.​
 
Kwakweli haina budi tuipongeze CCM imetutoa mbali, ila yote na yote ashukuriwe aliye juu maana kuna wengine hawana kabisa hata amani ktk nchi zao
Ni nchi ngapi zisizo na amani duniani Hadi uone Tanzania ina bahati sana? Nchi zenye vita hazifiki hata 10% ya nchi zote duniani, Sasa what so special kwa Tanzania kuwa na amani?
 
Back
Top Bottom