Hongera CCM: Umelijenga Taifa imara Kwa vizazi vijavyo

Labda nizungumze Kwa mifano labda nitaeleweka zaidi. Mfano, kusingekuwa na nchi nyingine duniani na Tanzania ingekuwa ni nchi pekee, unafikiri maendeleo yangeletwa na katiba au utashi wa watu?

Nimekuuliza swali Hilo Kwa maana ya kwamba nimekusoma katikati na mstari na nimebaini tatizo lako. Unaamini bila katiba hakuna maendeleo na utashi bila katiba ni Bure.
Unatoa mifano mfu, tufanye umeshinda, tangu lini Katiba ikawa utashi wa MTU? You mean Utashi WA Rais ndio Katiba?? Basi wacha nikubali kushindwa!
 
B
Kabisa, kama mtaendelea kukaa madarakani kwa shuruti, sioni ni kwa jinsi gani kusitokee machafuko. Naona mnategemea mtaendelea kukaa madarakani kwa muda mrefu bila ridhaa ya walio wengi, hivyo uoga ambao mmeupa jina amani ndio nguzo yenu, mnajua siku uoga ukiondoka ndio mwisho wenu.

Hivyo mnang'ang'ania neno amani kama kichaka, lakini kiuhalisia mnataka uoga utamalaki Ili muendelee kukaa madarakani kwa shuruti. Machafuko tu, ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mabadiliko ya kweli ndani ya nchi hii.

Unatoa mifano mfu, tufanye umeshinda, tangu lini Katiba ikawa utashi wa MTU? You mean Utashi WA Rais ndio Katiba?? Basi wacha nikubali kushindwa!
Duuh! Bro umejichanganya sana ,nimekusoma mijadala ya hoja huiwezi wewe unaweza malumbano yasiyo na maana.

Umeamua kubadili kabisa nilichosema na ukanijaza maneno mdomoni mwangu. Nakushauri tu, usiwe unapaniki maana kufanya hivyo kunakuondolea utulivu
 
Kwakweli haina budi tuipongeze CCM imetutoa mbali, ila yote na yote ashukuriwe aliye juu maana kuna wengine hawana kabisa hata amani ktk nchi zao

Akili zenu BAVICHA mbona za kitoto sana? Yaani Bado na nukuu hiyo ya kwenye Biblia Takatifu bado unasema ni ya kihuni? Sio bure BAVICHA imelaaniwa
Usitafute huruma kwa Bavicha wala Biblia? hata shetani alimuuliza Yesu swali kwa kunukuu andiko ndani ya Biblia naye Yesu akamjibu, akamwambia, nenda zako shetani, maana imeandikwa usimjaribu BWANA Mungu wako, jibu hoja usiwajaribu Watanzania, Bavicha inahusika vipi.
 
Leo Tanzania ni Mwalimu katika mambo mengi, inaaminiwa katika mengi na inatambulika Kwa mengi sio tu Afrika bali duniani Kwa ujumla. Licha ya kwamba wanasema Nabii hakubaliki kwao lakini anayeifanya Tanzania kuwa hivi alivyo Leo ni Nabii anayekubalika ndio maana nataka hongera kwake, HONGERA CHAMA CHA MAPINDUZI.

Hongera CCM mwanamapinduzi wa kweli kwenye uchumi,siasa na maendeleo. Bila CCM pengine Tanzania tuliyonayo ingekuwa ni historia. Unaamini uchumi bora na maendeleo na siasa safi yanaletwa na utulivu na umoja na msingi huo umetusaidia kujenga na kuleta Mapinduzi makubwa ya kimaendeleo. Hakika wewe ni Chama Cha Mapinduzi.

Hongera CCM, Umetusaidia kuonesha njia ya kutokuwa na Tamaa ya madaraka kwa viongozi, tunajivunia Hilo. Tangu awamu wa ya kwanza mpaka sasa hatujasikia wala kusimuliwa kwamba Kuna kiongozi aliyewahi kugoma kutoka madarakani na umekuwa mstari wa mbele kutukumbusha falsafa ya kuachiana vijiti vya uongozi.

Hongera CCM, mpaka sasa umetupatia wenyeviti 6 ,ambao wameomesha dhamira ya dhati katika utumishi na uongozi. Viongozi mashujaaa wenye kiu ya kulibadilisha Taifa na kuwa kielelezo Cha demokrasia duniani.

Hongera CCM, busara na hekima zako za uongozi zimevuka mipaka na bahari na kama Afrika Leo ingekuwa nchi ninaamini Bado ungekuwa ni Chama tawala.

Hongera CCM, Mwalimu bora wa wakati wote wa siasa safi, demokrasia ,uhuru wa kutoa maoni , uvumilivu na mageuzi ya kiuchumi. Bila wewe hivi vitu vingekuwa ni anasa kwenye maisha ya watanzania.

Hongera CCM, kutupatia Rais Samia ambaye ni nembo ya mabadiliko ya kisera Kwa Taifa letu katika karne ya 21. Tanzania inajivunia wewe.

Hongera sana CCM ,wewe ni zawadi bora katika vifurushi vya zawadi walizozawadiwa watanzania.HONGERA CCM
Mkuu umebweka wenyewe wamekusikia watakufikiria.
 
B

Duuh! Bro umejichanganya sana ,nimekusoma mijadala ya hoja huiwezi wewe unaweza malumbano yasiyo na maana.

Umeamua kubadili kabisa nilichosema na ukanijaza maneno mdomoni mwangu. Nakushauri tu, usiwe unapaniki maana kufanya hivyo kunakuondolea utulivu
Sawa nimekubali, umeshinda
 
Usitafute huruma kwa Bavicha wala Biblia? hata shetani alimuuliza Yesu swali kwa kunukuu andiko ndani ya Biblia naye Yesu akamjibu, akamwambia, nenda zako shetani, maana imeandikwa usimjaribu BWANA Mungu wako, jibu hoja usiwajaribu Watanzania, Bavicha inahusika vipi.
Nawaza sana kama na wewe pia ni kijana wa kuaminiwa hapo Ufipa unatoa mchango wa namna kukisaidia Chama maana Kwa mawazo haya safari ya upinzani ni ndefu sana .

Ilibidi urudi nyuma kwenye hiyo comment ili upate picha kubwa zaidi
 
Leo Tanzania ni Mwalimu katika mambo mengi, inaaminiwa katika mengi na inatambulika Kwa mengi sio tu Afrika bali duniani Kwa ujumla. Licha ya kwamba wanasema Nabii hakubaliki kwao lakini anayeifanya Tanzania kuwa hivi alivyo Leo ni Nabii anayekubalika ndio maana nataka hongera kwake, HONGERA CHAMA CHA MAPINDUZI.

Hongera CCM mwanamapinduzi wa kweli kwenye uchumi,siasa na maendeleo. Bila CCM pengine Tanzania tuliyonayo ingekuwa ni historia. Unaamini uchumi bora na maendeleo na siasa safi yanaletwa na utulivu na umoja na msingi huo umetusaidia kujenga na kuleta Mapinduzi makubwa ya kimaendeleo. Hakika wewe ni Chama Cha Mapinduzi.

Hongera CCM, Umetusaidia kuonesha njia ya kutokuwa na Tamaa ya madaraka kwa viongozi, tunajivunia Hilo. Tangu awamu wa ya kwanza mpaka sasa hatujasikia wala kusimuliwa kwamba Kuna kiongozi aliyewahi kugoma kutoka madarakani na umekuwa mstari wa mbele kutukumbusha falsafa ya kuachiana vijiti vya uongozi.

Hongera CCM, mpaka sasa umetupatia wenyeviti 6 ,ambao wameomesha dhamira ya dhati katika utumishi na uongozi. Viongozi mashujaaa wenye kiu ya kulibadilisha Taifa na kuwa kielelezo Cha demokrasia duniani.

Hongera CCM, busara na hekima zako za uongozi zimevuka mipaka na bahari na kama Afrika Leo ingekuwa nchi ninaamini Bado ungekuwa ni Chama tawala.

Hongera CCM, Mwalimu bora wa wakati wote wa siasa safi, demokrasia ,uhuru wa kutoa maoni , uvumilivu na mageuzi ya kiuchumi. Bila wewe hivi vitu vingekuwa ni anasa kwenye maisha ya watanzania.

Hongera CCM, kutupatia Rais Samia ambaye ni nembo ya mabadiliko ya kisera Kwa Taifa letu katika karne ya 21. Tanzania inajivunia wewe.

Hongera sana CCM ,wewe ni zawadi bora katika vifurushi vya zawadi walizozawadiwa watanzania.HONGERA CCM
Itakuwa umepigika kimaisha, itabidi usubili Lucas Mwashambwa aonekane kwanza ndipo wewe usogezwe kwenye benchi.
 
Back
Top Bottom