Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

Hata we mwenyewe tukitrace gene zako maabara tunagundua inawezekana generation zako mbili zinatatoka zambia ,kutokana na gene resemblance,tukiichukulia hii issue serious watabaki watanganyika wachache hawazidi hata millioni ishirini,ila tatizo elimu elimu elimu na rudia elimu plus ujinga unapata ujuaji na upumbafu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Acha niwe mjinga we mtusi kuliko mtuharibie nchi yetu Tz na tutawafagia haswa ile ya awamu ya nne ilikuwa ya mtoto
 
Kichwa kinafikiria kushika Dola zaidi hata kwa MSAADA wa wakimbizi waliopo kwenye idara nyeti huko ndani Ila uchaguzi ashinde kwanza alafu ndio turudi kwenye topic ya wakimbizi
Mtihani mkubwa mzee
 
Hii jamii ni hatari sana. Iliweza kupenetrate Uganda na sasa wanaitawala, ikaweza kuchukua Rwanda na sasa wanaitawala.

Baadhi walikimbia Congo Mashariki waka kaa kama wakimbizi alafu badae wakasema pale ni kwao.

Wa Congo waliposhtuka kusema waondoke wakagoma na sasa ndo wanaendesha vikundi vya waasi Congo Mashariki kwa faida ya ndugu zao waliopo Rwanda na Uganda

Kiusalama wa taifa hawa watu ni tishio sana na wanachotaka sasa ni kuimega Congo ili waiunganishe na Rwanda na baadae hata Uganda wataifanyia hivyo hivyo kupitia vikundi vyao kikiwemo M23

Inaonekana Intelejensia ya Jeshi letu ipo vizuri sana kuliko hawa TISS.

Kwa Tanzania mikoa ya Magharibi wamedominate wao kwa sehemu kubwa hasa Geita, Kigoma na Kagera. Hivi karibuni wameanza kuingia Katavi

Kesho wakilianzisha wakisema Kagera, Kigoma na Geita au Katavi ziwe sehemu ya empire yao msishangae.
Fear of the unknown
 
Afro man. Mzee wa Luangwa

Acha kunisumbua bwana unajifanya hujui. Tafuta habari za msiba wa dada wa No. 2. uliofanyika tabora alafu linganisha majina yake na mchezaji wa Simba anaetokea Burundi
LORD Denning, naona sasa unataka ku victimise watu. Ngoja nikueleze makabila yafuatayo almost yanatumia lugha moja lakini rahaja tofauti ( one language but different dialect) . Makabila haya ni Waha na wahangaza ambao wapo Tanzania, Burundi utawakuta Watwa, wahutu na watutsi, Rwanda utawakuta watwa, wahutu na Watutsi, DRC utawakuta wafulelo , wanyamulenge etc , Uganda utawakuta wakiga ambao wako western part . Watu hawa utakuta majina yao yanafana. Jina la Mungu kwao anaitwa imana, mfalme (King or Queen) ainsitwa Mwami nk. Majina yao yana maana kulingana na lugha yao. Sasa usishangae majina ya Muha au mhangaza wa Tanzania kufanana na ya mfulelo wa DRC au Mhutu, mtusi wa Rwanda au Uganda nk. Mfano mwingine jina Nkurunzinza lina maana ya habari njema Nkuru ni habari au taarifa na nziza ni jema au nzuri. Kwa waha jina hilo lingekuwa Nkurunyiza nkuru ni habari na nyiza ni njema au nzuri. Hivyo basi kwa mkutadha huo acha kutumia majina uta discriminate watu
 
Asipotumia majina ataangalia pua, ubaguzi haujawahi acha mtu salama
 
Upuuzi, mtupu, jwtz ile ya, zamani sawa, wakati wa brigadier Hashim Mbita, hii ya sasa hv, imejaa vilaza watupu na makada wa CCM,
Inawezekana vipi mkuu wa majeshi,aliyebobea, akasimama hadharani na kukili kuwa "kuna watu wameajiliwa na kuteuliwa serikalini ambao sio raia,"ni kuivua nchi nguo, hii, kitu sio ya kusema hadharani, yeye kama mkuu wa, jeshi, ilibidi azuie hii kitu, sasa
CDF anacho fanya ni ku alert jamii. Kwa sababu hao viongozi wenu wameahaambiwa hawataki kuchukua hatua.

CDF akichukua hatua tunajua kua tayari ni mapinduzi kitu ambacho bado hatujafika huko.

Wakuchukua hatua sasa ni sisi raia kwa kuondoa viongozi ambao wanafumbia macho haya mambo kwa interest zao

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
LORD Denning, naona sasa unataka ku victimise watu. Ngoja nikueleze makabila yafuatayo almost yanatumia lugha moja lakini rahaja tofauti ( one language but different dialect) . Makabila haya ni Waha na wahangaza ambao wapo Tanzania, Burundi utawakuta Watwa, wahutu na watutsi, Rwanda utawakuta watwa, wahutu na Watutsi, DRC utawakuta wafulelo , wanyamulenge etc , Uganda utawakuta wakiga ambao wako western part . Watu hawa utakuta majina yao yanafana. Jina la Mungu kwao anaitwa imana, mfalme (King or Queen) ainsitwa Mwami nk. Majina yao yana maana kulingana na lugha yao. Sasa usishangae majina ya Muha au mhangaza wa Tanzania kufanana na ya mfulelo wa DRC au Mhutu, mtusi wa Rwanda au Uganda nk. Mfano mwingine jina Nkurunzinza lina maana ya habari njema Nkuru ni habari au taarifa na nziza ni jema au nzuri. Kwa waha jina hilo lingekuwa Nkurunyiza nkuru ni habari na nyiza ni njema au nzuri. Hivyo basi kwa mkutadha huo acha kutumia majina uta discriminate watu
Hakuna anayekuwa victimised. Taratibu zifuatwe tu kama sio watanzania waombe uraia wa Tanzania ili wajulikane rasmi. Sio kutuingilia kwa kificho. Hapo ndo tunahoji wana ajenda gani maana wanayoyafanya Congo yanajulikana
 
Wao wanaangalia mtu anayeisifu CCM na viongozi wake tu basi! Vetting imeisha.

Mzalendo aliyewahi kulalamika kuoanda kwa sukari mtandaoni huyo anahesabika kama adui wa taifa!!!

Sijui tutatokaje hapa!!
Inasikitisha sana
 
Yaan ni shida hii jamii ni wakuogopwa Sana ila bahat mbaya tushachelewa maana wamepenya tayar Tena Kwa idadi kubwa Sana.
Ajabu Sasa ukikutana na mrundi au mnyarwanda kwenye wallet yake hakosi KADI ya ccm so washaujua udhaifu WA hii nchi .
Mrundi hakosi KADI ya ccm na tishet hata Moja ya ccm ya kuzugia .
Mtu WA namna hiyo ataguswa na kiongoz yup?
Balaa
 
Unaenda Uhamiaji ukimuangalia mtu anaehoji watu Uraia ni Mnyarwanda kabisaa na anamkatalia Mtanganyika Passport unabaki kutema mate kama Koboko tu kwa hasira maana washapeana nafasi nyeti kwa faida yao na si Watanzania...
 
Mnaongelea "infiltaration" za Kizayuni kabisa duniani.

Mshafikiria chini huku kwenye ngazi za kawaida ambazo siyyp za kisiasa wala nyadhifa kubwa za Kiserikali? Huku ndiyo wageni wamejaa, tukisema tuwachambuwe kwa kina tutajikuta Watanzania asilimia 80 ni wageni.

Tanzania inazungukwa na mipaka ya nchi nyingi sana, tena ipo wazi kabisa. Huwezi kuzuwia kabisa uwepo wa wageni wahamiaji, kihalali au kiharamu.

Unaemdhania siye kumbe ndiye.
Hapo umeongea fact,tukijaribu kutrace kwa generation tatu tu,hata yule anayejiona mtanganyika pure atajikuta asilia yake ni malawi😀😀 ila kwa kuwa watanganyika ni wajinga hawazi mbali wacha tuwainjoyi
 
Wabongo mna ujinga sana vichwani. Mnaogopa wageni, mnaogopa uraia pacha, mnaogopa majirani, mnaogopa kwenda nje, watu wamekua naturalized bado mnawaita wakimbizi, wabongo bado wajinga sana. Aliyewajaza ujinga kafanikiwa 1000% mmekua inferior kupita maelezo. Kila kitu mnaona mnaonewa au kuibiwa as though nyie hamna akili za kuibia wengine. Inferiority complex of the highest order.
Wabongo tatizo ujinga umejaa,tena ujinga wa next level,maana unakuta mtu mwenyewe anayejiona ni mzawa asili,tukiingia maabara na tukatrace genes zake tunakuta zina resemble na genes za Koo fulani botswana,kweli watanganyika wajinga sana ,inferiority complex imewajaa sana
 
Sina uhakika na Bashiru. Lakini lililo dhahiri kabisa Dotto Biteko siyo mtanzania. Na amepewa unaibu waziri mdogo. Pacha wake naye yumo ndani ya Serikali. Na jamaa ni mafia hasa. Licha ya madudu yake mengi lakini amemkamata Rais vibaya sana kwa mbinu mbalimbali chafu. Na Rais amedanganyika na kumwamini. Huyu ni hatari kuliko wote maana amefanikiwa kujipenyeza mpaka nafasi za juu kabisa.
Aise. Hapa ndo watu wa TISS inatakiwa kufanya kazi sasa kama viongozi ni vipofu.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom