Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

Kuna watanzania ni raia wa US, Canada, UK na nchi nyingine, tukianza kutaja watu na asili zao ambao ni raia wa TZ itakuwa shida kubwa.

Sasa ongeza wengine kwenye list yako, Bashe ni msomali, .....
Hao wa Tz walioko USA hawawezi kufanya state damage. Hata akijichanganya tu kumnyanyasa mwanamke anawesa rudishwa bongo.

Kwetu ni tofauti lazima tuwe makini mara 10

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Jeshi si wanashirikiana na maccm kuiba kura. Na kudhurumu uchaguzi.

Sasa kitu gani kinawafanya walalamike?
 
Ni aibu mkubwa sana mkuu kutoa kauli ile hadharani yani hata majirani wanaona kumbe Tanzania ulinzi hamna. Kajiabisha yeye na Amri Jeshi wake Mkuu.
Marekani mpaka Trump aliwaza kujenga ukuta na Mexico sisi
wamatumbi wa Tandahimba tujidangaye kukaa komya ndio tumedhibiti
wakimbizi(wahamiaji haramu) wakati uhalisia unatusaliti
 
Wabongo tatizo ujinga umejaa,tena ujinga wa next level,maana unakuta mtu mwenyewe anayejiona ni mzawa asili,tukiingia maabara na tukatrace genes zake tunakuta zina resemble na genes za Koo fulani botswana,kweli watanganyika wajinga sana ,inferiority complex imewajaa sana

Wana inferiority complex ya hali ya juu. Wanaogopa kila kitu. Hawaamini uwezo wao wanaona wao ni watu wa kuibiwa na kuendeshwa tu. Hao watu wanaowagopa wana akili kiasi gani na uwezo kiasi gani hadi wapenye kwenu na nyie mshindwe kupenya kwao? Mbongo haamini kabisa kama anaweza kushindana na mtu kutoka nchi yeyote ile ya nje hii ni kuanzia ngazi za familia hadi viongozi wa nchi. Hii statement ya CDF binafsi naona ni the weakest statement ever from someone of his stature.
 
Watanzania tazameni ramani halafu mnambie mtazuwia vipi wageni wa nchi zinazotuzunguka? Au utabaguwa, wageni hawa tunawataka, hawa hatuwataki?

Au fitina tayari za kuanza kuuwana?
Hatutakiwi kuzuia kuja kwa wageni. Tunataka waje kwa kufuata sheria. Lkn hata kama watazamia sio mpaka kujiingiza katika system za uongozi/Jeshi huku ni kuangamiza Taifa.

Swala la uhamiaji sio shida Tanzania hata nchi zilizo endelea kama Marekani ni shida sna. Ila atleast wao hao wahamiaji sio tishio kwa usalama wa Taifa.

Wakijichanganya sana wanaishia kua wauza unga tu na kuuawa na polisi

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kuwaita watu wakimbizi ambao waliingia nchini 1972 miaka 52 iliyopita,wamezaa hapa wamesoma ,wameoa na kuolewa Tz hao ni raia wa Tz tatizo serikali ya ccm labda haijawapa uraia,wanastahir na kuwaita ni wakimbizi ni roho mbaya na kuwadharirika
Ukiwaendekeza wataanza kua na umoja mara saccos mara vyam mwisho wa siku watataka kua na empire

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna anayekuwa victimised. Taratibu zifuatwe tu kama sio watanzania waombe uraia wa Tanzania ili wajulikane rasmi. Sio kutuingilia kwa kificho. Hapo ndo tunahoji wana ajenda gani maana wanayoyafanya Congo yanajulikana
Lord Denning tafadhali soma hiyo pdf file ujifunze kuhusu lugha ya kinyarwanda kirundi na kiha(Giha)
 
Attachments

Wana inferiority complex ya hali ya juu. Wanaogopa kila kitu. Hawaamini uwezo wao wanaona wao ni watu wa kuibiwa na kuendeshwa tu. Hao watu wanaowagopa wana akili kiasi gani na uwezo kiasi gani hadi wapenye kwenu na nyie mshindwe kupenya kwao? Mbongo haamini kabisa kama anaweza kushindana na mtu kutoka nchi yeyote ile ya nje hii ni kuanzia ngazi za familia hadi viongozi wa nchi. Hii statement ya CDF binafsi naona ni the weakest statement ever from someone of his stature.
Trump alikuwa anawaza kujenga ukuta na Mexico, tuseme
wamarekani nao ni weakest!?
Uiingereza anapambana awapeleke rwanda wakimbizi naye ni weak!?
South Africa kuna xenophobia tuseme wa south nao ni
weakest!?
Nchi zote za ulaya zilizo endelea ukiingia kama panya bila taratibu zao kufuata
utaishi kama panya, nao ni weakest!?
Tanzania ni nchi pekee mgeni anapewa kipaumbele kuliko mzawa, wachimbaji wadogo mara ngapi
umesikia wamegundua eneo ghafla wanafukuzwa anapewa mwekezaji na faida haionekani
pesa na madini yanaishia nje!?
Hofu ya watanzania ni moja mifumo yetu haipo imara, imagine ofisi
ikisha kuwa na bosi mchaga tayari wataajiliwa wachaga wengi refer CRDB na kimei,
ofisi ikiwa na bosi mhaya wataajiriwa wahaya wengi.
Kwa mantiki hiyo mtusi akitoka huko kwa njia za panya akajitambulisha
msukuma ata wanyima watanganyika wangapi haki na kuwapendelea watusi!!?
Matter of fact; mtusi ajitambulishe mutusi na aishi kwa kufuata taratibu
Sio aseme msukuma huku nyuma ya mgongo ni mtusi, tutamuamini
vipi kama hana ajenda ya siri.
Mhutu ajitambulishe mhutu sio muha, sio kufichanficha
mwisho wa siku tutaamini anaficha kwa sababu ya ajenda zake za siri.
Lisemwalo lipo kama halipo..., Hata ukoloni na utumwa ulianza hivi hivi
walikuja watu kwa ukarimu wetu tukawapokea kwa mikono miwili
na moyo wote kumbe wameficha mapanga na minyororo ya kutufungia
kama kuku na kutuuza kama nyanya.
 
CDF anacho fanya ni ku alert jamii. Kwa sababu hao viongozi wenu wameahaambiwa hawataki kuchukua hatua.

CDF akichukua hatua tunajua kua tayari ni mapinduzi kitu ambacho bado hatujafika huko.

Wakuchukua hatua sasa ni sisi raia kwa kuondoa viongozi ambao wanafumbia macho haya mambo kwa interest zao

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Na bila kupepesa wa kuondolewa ni mteuzi anayeteua Watutsi kwenye nafasi za maamuzi.
 
Hakuna anayekuwa victimised. Taratibu zifuatwe tu kama sio watanzania waombe uraia wa Tanzania ili wajulikane rasmi. Sio kutuingilia kwa kificho. Hapo ndo tunahoji wana ajenda gani maana wanayoyafanya Congo yanajulikana
Kweli mnyarwanda Biteko ni wa kuwa Naibu Waziri Mkuu? Lawama zote kwa mteuzi.
 
Cha kushangaza aliyepewa ujumbe anajibu mambo ya uchaguzi wa mitaa tu.
Mkuu umenifanya nicheke kwa uchungu, hawazii kabisa usalama wa taifa hili yeye anawazia ikulu tu binadamu yule.
 
Hatutakiwi kuzuia kuja kwa wageni. Tunataka waje kwa kufuata sheria. Lkn hata kama watazamia sio mpaka kujiingiza katika system za uongozi/Jeshi huku ni kuangamiza Taifa.

Swala la uhamiaji sio shida Tanzania hata nchi zilizo endelea kama Marekani ni shida sna. Ila atleast wao hao wahamiaji sio tishio kwa usalama wa Taifa.

Wakijichanganya sana wanaishia kua wauza unga tu na kuuawa na polisi

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Ndiyo muwashike wasiofata sheria. Kama kuna mapungufu ya watu kupewa Uraia, idara ya uhamiaji kuna matatizo. Tena huko rushwa nasikia ndiyo kwao.
 
Hii jamii ni hatari sana. Iliweza kupenetrate Uganda na sasa wanaitawala, ikaweza kuchukua Rwanda na sasa wanaitawala.

Baadhi walikimbia Congo Mashariki waka kaa kama wakimbizi alafu badae wakasema pale ni kwao.

Wa Congo waliposhtuka kusema waondoke wakagoma na sasa ndo wanaendesha vikundi vya waasi Congo Mashariki kwa faida ya ndugu zao waliopo Rwanda na Uganda

Kiusalama wa taifa hawa watu ni tishio sana na wanachotaka sasa ni kuimega Congo ili waiunganishe na Rwanda na baadae hata Uganda wataifanyia hivyo hivyo kupitia vikundi vyao kikiwemo M23

Inaonekana Intelejensia ya Jeshi letu ipo vizuri sana kuliko hawa TISS.

Kwa Tanzania mikoa ya Magharibi wamedominate wao kwa sehemu kubwa hasa Geita, Kigoma na Kagera. Hivi karibuni wameanza kuingia Katavi

Kesho wakilianzisha wakisema Kagera, Kigoma na Geita au Katavi ziwe sehemu ya empire yao msishangae.
Na ndio maana kuna watu wanapigia debe suala la uraia pacha
 
Back
Top Bottom