mbwe
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 1,174
- 2,912
Nchi ambayo ni rahisi kuingia ni tanzania yaan nimekaa ngara warundi wanaingia kama wanaenda chooni na Kuna wengine wanawapiga makofi watanzania na matus juu na hakuna nayejar.Mwaka 2014 nilikutana na konda stand anapiga debe,Mwanza
akaniambia kwao ni Rwanda ila Tz anaijua vizuri kazunguka sehemu nyingi na anapiga kiswahili vizuri tu,huezi fikiri kua ni mnyarwanda
Nikashangaa,kumbe Kuingia Tz ni rahisi hivi
Yaan nilipata hasira kuona warundi wanamiliki NIDA Tena wanatamba kabisa kua sisi watanzania tunapenda pesa so NIDA wananunua Kwa 50k tu hapo Ngara mjini ofisi za NIDA.