Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

Acha niwe mjinga we mtusi kuliko mtuharibie nchi yetu Tz na tutawafagia haswa ile ya awamu ya nne ilikuwa ya mtoto
 
Kichwa kinafikiria kushika Dola zaidi hata kwa MSAADA wa wakimbizi waliopo kwenye idara nyeti huko ndani Ila uchaguzi ashinde kwanza alafu ndio turudi kwenye topic ya wakimbizi
Mtihani mkubwa mzee
 
Fear of the unknown
 
Afro man. Mzee wa Luangwa

Acha kunisumbua bwana unajifanya hujui. Tafuta habari za msiba wa dada wa No. 2. uliofanyika tabora alafu linganisha majina yake na mchezaji wa Simba anaetokea Burundi
LORD Denning, naona sasa unataka ku victimise watu. Ngoja nikueleze makabila yafuatayo almost yanatumia lugha moja lakini rahaja tofauti ( one language but different dialect) . Makabila haya ni Waha na wahangaza ambao wapo Tanzania, Burundi utawakuta Watwa, wahutu na watutsi, Rwanda utawakuta watwa, wahutu na Watutsi, DRC utawakuta wafulelo , wanyamulenge etc , Uganda utawakuta wakiga ambao wako western part . Watu hawa utakuta majina yao yanafana. Jina la Mungu kwao anaitwa imana, mfalme (King or Queen) ainsitwa Mwami nk. Majina yao yana maana kulingana na lugha yao. Sasa usishangae majina ya Muha au mhangaza wa Tanzania kufanana na ya mfulelo wa DRC au Mhutu, mtusi wa Rwanda au Uganda nk. Mfano mwingine jina Nkurunzinza lina maana ya habari njema Nkuru ni habari au taarifa na nziza ni jema au nzuri. Kwa waha jina hilo lingekuwa Nkurunyiza nkuru ni habari na nyiza ni njema au nzuri. Hivyo basi kwa mkutadha huo acha kutumia majina uta discriminate watu
 
Asipotumia majina ataangalia pua, ubaguzi haujawahi acha mtu salama
 
CDF anacho fanya ni ku alert jamii. Kwa sababu hao viongozi wenu wameahaambiwa hawataki kuchukua hatua.

CDF akichukua hatua tunajua kua tayari ni mapinduzi kitu ambacho bado hatujafika huko.

Wakuchukua hatua sasa ni sisi raia kwa kuondoa viongozi ambao wanafumbia macho haya mambo kwa interest zao

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna anayekuwa victimised. Taratibu zifuatwe tu kama sio watanzania waombe uraia wa Tanzania ili wajulikane rasmi. Sio kutuingilia kwa kificho. Hapo ndo tunahoji wana ajenda gani maana wanayoyafanya Congo yanajulikana
 
Wao wanaangalia mtu anayeisifu CCM na viongozi wake tu basi! Vetting imeisha.

Mzalendo aliyewahi kulalamika kuoanda kwa sukari mtandaoni huyo anahesabika kama adui wa taifa!!!

Sijui tutatokaje hapa!!
Inasikitisha sana
 
Balaa
 
Unaenda Uhamiaji ukimuangalia mtu anaehoji watu Uraia ni Mnyarwanda kabisaa na anamkatalia Mtanganyika Passport unabaki kutema mate kama Koboko tu kwa hasira maana washapeana nafasi nyeti kwa faida yao na si Watanzania...
 
Hapo umeongea fact,tukijaribu kutrace kwa generation tatu tu,hata yule anayejiona mtanganyika pure atajikuta asilia yake ni malawi😀😀 ila kwa kuwa watanganyika ni wajinga hawazi mbali wacha tuwainjoyi
 
Wabongo tatizo ujinga umejaa,tena ujinga wa next level,maana unakuta mtu mwenyewe anayejiona ni mzawa asili,tukiingia maabara na tukatrace genes zake tunakuta zina resemble na genes za Koo fulani botswana,kweli watanganyika wajinga sana ,inferiority complex imewajaa sana
 
Aise. Hapa ndo watu wa TISS inatakiwa kufanya kazi sasa kama viongozi ni vipofu.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…