Tena hao Wamalawi ndiyo wengi ajabu, amani tukiwaita Wanyasa. na wengine waliojaa walikuwa Warundi ndiyo hawa siku hizi wanaitwa waha.Hapo umeongea fact,tukijaribu kutrace kwa generation tatu tu,hata yule anayejiona mtanganyika pure atajikuta asilia yake ni malawi😀😀 ila kwa kuwa watanganyika ni wajinga hawazi mbali wacha tuwainjoyi
Trump alikuwa anawaza kujenga ukuta na Mexico, tuseme
wamarekani nao ni weakest!?
Uiingereza anapambana awapeleke rwanda wakimbizi naye ni weak!?
South Africa kuna xenophobia tuseme wa south nao ni
weakest!?
Nchi zote za ulaya zilizo endelea ukiingia kama panya bila taratibu zao kufuata
utaishi kama panya, nao ni weakest!?
Tanzania ni nchi pekee mgeni anapewa kipaumbele kuliko mzawa, wachimbaji wadogo mara ngapi
umesikia wamegundua eneo ghafla wanafukuzwa anapewa mwekezaji na faida haionekani
pesa na madini yanaishia nje!?
Hofu ya watanzania ni moja mifumo yetu haipo imara, imagine ofisi
ikisha kuwa na bosi mchaga tayari wataajiliwa wachaga wengi refer CRDB na kimei,
ofisi ikiwa na bosi mhaya wataajiriwa wahaya wengi.
Kwa mantiki hiyo mtusi akitoka huko kwa njia za panya akajitambulisha
msukuma ata wanyima watanganyika wangapi haki na kuwapendelea watusi!!?
Matter of fact; mtusi ajitambulishe mutusi na aishi kwa kufuata taratibu
Sio aseme msukuma huku nyuma ya mgongo ni mtusi, tutamuamini
vipi kama hana ajenda ya siri.
Mhutu ajitambulishe mhutu sio muha, sio kufichanficha
mwisho wa siku tutaamini anaficha kwa sababu ya ajenda zake za siri.
Lisemwalo lipo kama halipo..., Hata ukoloni na utumwa ulianza hivi hivi
walikuja watu kwa ukarimu wetu tukawapokea kwa mikono miwili
na moyo wote kumbe wameficha mapanga na minyororo ya kutufungia
kama kuku na kutuuza kama nyanya.
Hataki,anasema sio kila mwenye muonekano wa kitusi ni Mnyarwanda...anasema huko nyuma ilitokea akawapokea but this time wasijaribu kukatiza kuingia kwenye mipaka yake
kinachoongelewa hapa ni namna walivyo pata huo uraia, wameupata kwanKatika hizo nchi ni mkimbizi gani kawahi kupewa nafasi nyeti bila kuwa naturalized? Mtu akipata uraia wa nchi ni raia wa hiyo nchi fully kama raia wengine wote.
Arnold alikuwa governor California, UK wana PM mhindi, nani alipiga kelele? Bongo kwa inferiority complex na ujinga mngeita hao wakimbizi kila siku.
CDF anaposema kuna wakimbizi wamepewa nafasi nyeti anamaanisha hao watu bado status zao ni ukimbizi au ni raia tayari? Mtu akiwa naturalized hakuna sababu za kubring up ukimbizi wake kila dakika. Huko ni kunyanyapaa na inferiority complex kuwasumbua. Kama mnawapa watu ambao bado sio raia nafasi nyeti huo ni mfumo wenu mbovu.
Ni wakombizi walio pata uraia kwa magumashiKatika hizo nchi ni mkimbizi gani kawahi kupewa nafasi nyeti bila kuwa naturalized? Mtu akipata uraia wa nchi ni raia wa hiyo nchi fully kama raia wengine wote.
Arnold alikuwa governor California, UK wana PM mhindi, nani alipiga kelele? Bongo kwa inferiority complex na ujinga mngeita hao wakimbizi kila siku.
CDF anaposema kuna wakimbizi wamepewa nafasi nyeti anamaanisha hao watu bado status zao ni ukimbizi au ni raia tayari? Mtu akiwa naturalized hakuna sababu za kubring up ukimbizi wake kila dakika. Huko ni kunyanyapaa na inferiority complex kuwasumbua. Kama mnawapa watu ambao bado sio raia nafasi nyeti huo ni mfumo wenu mbovu.
Wacha tu mkuuMkuu umenifanya nicheke kwa uchungu, hawazii kabisa usalama wa taifa hili yeye anawazia ikulu tu binadamu yule.
Inasikitisha sana.Wacha tu mkuu
FAIZAFOXY nilidhani umeenda shule na kwamba nilikuwa nadhani unafahamu kwamba haki ya kuongelea kitu au taarifa yo yote inakwenda sambamba na ujuzi au ufahamu sahiihi wa eneo hilo. Faiza hufahamu chochote kuhusu jamii ya Kigoma . Hivyo acha kupotoshaTena hao Wamalawi ndiyo wengi ajabu, amani tukiwaita Wanyasa. na wengine waliojaa walikuwa Warundi ndiyo hawa siku hizi wanaitwa waha.
Mbeya yote mpaka ufike Dar kulijaa wanyasa, walikuwa wakija kutafuta kazi za kulima na za ndani. Sasa hivi huwezi kabisa kuwatofautisha na Tanzania. Kizazi kimoja au viwili tu nyuma.
Morogoro na Tanga walijaa amanamba wa Burundi na wanyasa. Mashamba ya mikonge yote walikuwa wao na wamakonde.
Kabla ya kuanza kufukuza hao wageni hakikisheni Takukuru na PCCCB zinafanya kazi kwa ufanisi at 100% rate. Vinginevyo mtakuwa mnapambana kulijaza kapu maji.Hii nchi watu wanajiingilia hovyo hovyo tu bila kufuata taratibu.
Kwamba serikali ikiamua itashindwa? Wanapigwa sumu tu mmoja baada ya mwengine na wanachakaa. Kama Circle yote ya mwendazake plus yeye ilipigwa Pollonium unadhani nini kinashindikana.Hawa watu wameanza kuingia tangu kipindi cha JK na sasa wanaitawala 50% ya Tanzania. Ni vigumu sana kuwaong'oa kwa kutumia TPDF tu. Inabidi tuombe msaada kutoka nje.
Tetesi zile za kusema kwamba mwendazake alikuwa analindwa na wao ni kweli au SI kweli?Huwezi amini wanashika hadi nafasi za juu kabisa za maamuzi. Nchi yetu sijui ina nini hii?
Hii inawezekana lakini kwa msaada wa Marekani. Sirikali tu haiwezi kufanya hili jambo aisee!Kwamba serikali ikiamua itashindwa? Wanapigwa sumu tu mmoja baada ya mwengine na wanachakaa. Kama Circle yote ya mwendazake plus yeye ilipigwa Pollonium unadhani nini kinashindikana.