Katika hizo nchi ni mkimbizi gani kawahi kupewa nafasi nyeti bila kuwa naturalized? Mtu akipata uraia wa nchi ni raia wa hiyo nchi fully kama raia wengine wote.
Arnold alikuwa governor California, UK wana PM mhindi, nani alipiga kelele? Bongo kwa inferiority complex na ujinga mngeita hao wakimbizi kila siku.
CDF anaposema kuna wakimbizi wamepewa nafasi nyeti anamaanisha hao watu bado status zao ni ukimbizi au ni raia tayari? Mtu akiwa naturalized hakuna sababu za kubring up ukimbizi wake kila dakika. Huko ni kunyanyapaa na inferiority complex kuwasumbua. Kama mnawapa watu ambao bado sio raia nafasi nyeti huo ni mfumo wenu mbovu.
kinachoongelewa hapa ni namna walivyo pata huo uraia, wameupata kwan
kudanganya ni watanzania wazawa na si wakimbizi ndio maana wanaficha asili zao kwa kusema ni wasukuma,
Waha, wahaya.
Mkunda kasema wazi wamekaa na kujichanganya na wazawa na kisa kusema ni wazawa.
Mtu aliyepata uraia kwa kudanganya ndio ahesabiwe mtanzania!?
Hao ulio wataja wameupata uraia kwa njia za haki na taratibu zinazo kubalika.
Yule waziri simbachawene 2022 alisema hata kuwa na NIDA sio kigezo cha kuwa mtanzania
kwa sababu tunajua hata hizo NIDA ni pesa zako tu unapata.
Lastly usilinganishe nchi mifumo ya marekani iliyo imara na nchi zetu
ambazo kwa 50000 tu unanunua uraia.
Mimi nimesoma na mtu ni Mkenya anapokea boom na alipo maliza akarudi kwao kenya.
Nimekuwa na demu mrwanda status zote anampost kagame japoana uraia wa bongo.
Waalimu wa English medium wengi wakenya na wana uraia wa bongo.
Na huo uraia waliupata kwa njia zisizo halali kuhonga, kujichanganya na wazawa au kufoji
taarifa zao.