Hongera Diamond kwa kununua ndege na helicopter. Wasafi Airlines itazalisha ajira

Hongera Diamond kwa kununua ndege na helicopter. Wasafi Airlines itazalisha ajira

Anatamani Mondi amjue walau apate hata ukaribu nae,
Ila sidhani hata huyo MwanaTandale anaijua JF [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiih
 
Eeh sahizi jamaa yuko kwenye ile level ambayo kiuchumi tunaita economic freedom.

Anaweza lipa Air Tanzania izunguke angani wakati anafanya birthday party yake hata kwa masaa kadhaa [emoji23][emoji23][emoji23]! Ni burudani ilioje hela inaingia kila sekunde kila dakika kila saa deals zinaingiza mtonyo.

Bado investments kibao Wasafi bet, Wasafi Tv, Wasafi Fm, Online Streaming yani mihela ni back to back inaingia. Branding ndio kila kitu biasharani.
Na lzm itakuwaa kachukuwa ma bond za bot au pengine hata hajui kuwa Kuna dili za namna hyo may be he don't know ishu za bond na treasure za government

Ngoja nimtafute Bab level anaunganishe nae nikampe Soma la bond za maana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sio kwa ubaya ila taarifa yako haipo kamili, sababu wewe uko na mambo ya hear say, taarifa haisemi kanunua ndege gan?...Anyways tu assume kanunua Boeing ambayo hawez sababu Boeing 747-8 costs around $420 million in 2021, Diamond Platnumz has a net worth to be around $12 million, mkuu diamond anaweza nunua helicopter au PJ tena used, jitu kama boeng hapana mkuu sababu annual budget ya ndege kama hii ni $11,985,974., sa huoni kuiendesha ndege kama hii jamaa atafilisika mkuu ? Yote kwa yote diamond anapambana, mkuu alafu kwanini unamtetea lokole linavaaga nguo za kike lile, alafu wewe si inner circle wao, hawalipelekei moto lile ?
 
Thread Imeanzishwa Na Chawa Sasa Anafikiria Watu Wote Humu Hawana Uelewa Kuhusu Masuala Ya Aviation

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom