Mkuu sio kwa ubaya ila taarifa yako haipo kamili, sababu wewe uko na mambo ya hear say, taarifa haisemi kanunua ndege gan?...Anyways tu assume kanunua Boeing ambayo hawez sababu Boeing 747-8 costs around $420 million in 2021, Diamond Platnumz has a net worth to be around $12 million, mkuu diamond anaweza nunua helicopter au PJ tena used, jitu kama boeng hapana mkuu sababu annual budget ya ndege kama hii ni $11,985,974., sa huoni kuiendesha ndege kama hii jamaa atafilisika mkuu ? Yote kwa yote diamond anapambana, mkuu alafu kwanini unamtetea lokole linavaaga nguo za kike lile, alafu wewe si inner circle wao, hawalipelekei moto lile ?