Hongera Dida

Hongera Dida

wivu tu unawasumbua

Hakuna wivu hapo, zaidi ya ukweli na pia malighafi ni yakwake.
Ngoja namimi nijipange kwenye mstari, am sure jamaa naye atamiminwa muda sio mrefu.
 
sina HATA BOYFRIEND ILA NAMPA BIG UPU SANA...HATA HUYU AKIZINGUA APIGWE CHINI KIVUTWE KITU KIPYA
Mpaka anafikisha miaka 50 sijui wanafika wanaume wangapi atakaofunga nao ndoa
 
hongera zake,mambo ya kun'gang'aniana hayataki.ndoa ya 3 si mchezo ni bahati kwake.kapiga chini wa 2,muda si mrefu kampata husband no.3.{lakini kuna kipindi alisema kuwa alirudiana na mume no2?}inaonyesha maybe hakukukuwa na mafanikio
hata mie nimejiuliza coz hata miezi mitatu haijapita tangu atangaze kurudiana na mume wake katika blog yake.
 
Na hizo harusi zake huwa watu wanachanga au simple tuuuu! Huyo aliyekuwa kiboko yake ni mchopanga mtu mzima yule alikuwa dawa yake....kidogo alikaa nae..halafu kuna watu wananichekesha sana eti ana bahati ya kuolewa...mbon zakehizo zinawezekana tu...baby nioe basi shela kwangu...ukumbi na mahali najitolea ..na wapenda vya bure walivyo wengi....ataolewa mpaka wakodisha shela wachoke! Hongera edzen ila ukaze moyo mana iyo ni habari ya mjini ati!!
 
wivu tu unawasumbua

Sio wivu, ila ni hali halisi kwa huyu mdada, nadhani kwa namna hii anaweza akaweka historia ya mwanamke aliyeolewa na kuachika mara nyingi na kwa muda mfupi hapa tz, anyway sio mfano mzuri katika jamii yetu hii, hivi ndivyo inabidi tufahamu kwamba uliberaly unaingia kwa kasi sana nchini kwetu manake hivi ni baadhi ya vitanabaishi vya liberalism, muda si mrefu tutaanza ona na ndoa za miktaba. Sisi Millennial watoto wetu ujana wao utakuwa changamoto sana.
 
Dida wa G... Gafla Dida wa E.....
Baada ya mfungo mtasikia amekua Dida wa wa N.....
Nabeba chombo changu kiulain ile kitu haina makombo.....
 
Usimpe pole.
Ezden nikama amekalia seat ys bus. Akifika mwisho atashuka, then anamuachia abaria mwngine akalie seat.
Nikama mtuanatoka, mwingine anaingia.
Hiyo maneno hainaga makombo

sawasawa
 
Dida wa mchops...dida wa G...dida wa E....dida wa mazafanta.....dida wa kuzimu
 
wanaume limewaumaaaaaaaaa, mlitaka avumilie vituko vyenu miaka yake yote, na huyo akicheza tu anapigwa chini n
 
Hongera Dida Ila hawa mahusband sijui wote wanatumia Mapowder
 
Sio wivu, ila ni hali halisi kwa huyu mdada, nadhani kwa namna hii anaweza akaweka historia ya mwanamke aliyeolewa na kuachika mara nyingi na kwa muda mfupi hapa tz, anyway sio mfano mzuri katika jamii yetu hii, hivi ndivyo inabidi tufahamu kwamba uliberaly unaingia kwa kasi sana nchini kwetu manake hivi ni baadhi ya vitanabaishi vya liberalism, muda si mrefu tutaanza ona na ndoa za miktaba. Sisi Millennial watoto wetu ujana wao utakuwa changamoto sana.

Huwezi jua ni kwa nini aanachika maana na nyie mna vikero usipokuwa mvumilivu utavunja ndoa mia
 
dida wa e
hongera mamy mkorogo umekubeba.
hongera mwayegoooooooo
 
dogo ez naona anaenjoy kweli honeymoon.
chuna chuna ila uwe unasave unaweza kupigwa china kama g.
 
Limwanamke lenyewe halina hata shepu, sijui watu wanashoboka nae kwa kipi?? infact mrs wangu mama koku is so beautiful
 
Anaenda pika uji..ramadhn ikiisha..chiniiii
 
Back
Top Bottom