Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
wivu tu unawasumbua
Hakuna wivu hapo, zaidi ya ukweli na pia malighafi ni yakwake.
Ngoja namimi nijipange kwenye mstari, am sure jamaa naye atamiminwa muda sio mrefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wivu tu unawasumbua
wewe ulitaka afanyeje?mh.... Kazi kweli kweli
Mpaka anafikisha miaka 50 sijui wanafika wanaume wangapi atakaofunga nao ndoasina HATA BOYFRIEND ILA NAMPA BIG UPU SANA...HATA HUYU AKIZINGUA APIGWE CHINI KIVUTWE KITU KIPYA
hata mie nimejiuliza coz hata miezi mitatu haijapita tangu atangaze kurudiana na mume wake katika blog yake.hongera zake,mambo ya kun'gang'aniana hayataki.ndoa ya 3 si mchezo ni bahati kwake.kapiga chini wa 2,muda si mrefu kampata husband no.3.{lakini kuna kipindi alisema kuwa alirudiana na mume no2?}inaonyesha maybe hakukukuwa na mafanikio
wivu tu unawasumbua
pole yako wewe unayeumia na raha za wenzio.....
Usimpe pole.
Ezden nikama amekalia seat ys bus. Akifika mwisho atashuka, then anamuachia abaria mwngine akalie seat.
Nikama mtuanatoka, mwingine anaingia.
Hiyo maneno hainaga makombo
Hao waume zake waliopita alizaa nao watoto?
khadija binti mchopanga kaolewa na mtangazaji mwenzie ni vizuri wataelewana..
Sio wivu, ila ni hali halisi kwa huyu mdada, nadhani kwa namna hii anaweza akaweka historia ya mwanamke aliyeolewa na kuachika mara nyingi na kwa muda mfupi hapa tz, anyway sio mfano mzuri katika jamii yetu hii, hivi ndivyo inabidi tufahamu kwamba uliberaly unaingia kwa kasi sana nchini kwetu manake hivi ni baadhi ya vitanabaishi vya liberalism, muda si mrefu tutaanza ona na ndoa za miktaba. Sisi Millennial watoto wetu ujana wao utakuwa changamoto sana.