Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wanaojitoa muhanga kuoa manamake ya style hii wana moyo....I am sure ni jobless and hopeless minded men.
mi simo
na wanaojitoa muhanga kuoa manamake ya style hii wana moyo....I am sure ni jobless and hopeless minded men.
eheheee kila shela linalotoka mwenzetu analo.... Madam B upooo!
Inaonekana yeye ndie anyeoa ,mpaka wafike wa 4harusi ya tatu ya mamaa dida...akikuchezea nae piga chini vuta kitu kipya shostiii...![]()
Nawaonya wenye vikalalaiti vyao wapite mbali,mwanaume mkorogo banaalopigwa chini![]()
![]()
kwa maneno ya muolewaji. mume no2 hakuwa na kizazi ila yeye yupo safi. tungoje ndoa no 3.
duh majanga.co.tz ndo maana wengine tunakosa waume maana wengine wanaolewa kila mwaka LOL
na wanaojitoa muhanga kuoa manamake ya style hii wana moyo....I am sure ni jobless and hopeless minded men.
Huyo jamaa ni jembe sana kwenye career yake,nilikuwa namfatilia sana alipokuwa Kiss kwenye kipindi chake cha KISS COLLABO SHOW,kwa nilivyokuwa namuona misimamo/itikadi zake sikudhani kama kwenye malovee anaweza akaangukia kwa shankupe
Na hizo harusi zake huwa watu wanachanga au simple tuuuu! Huyo aliyekuwa kiboko yake ni mchopanga mtu mzima yule alikuwa dawa yake....kidogo alikaa nae..halafu kuna watu wananichekesha sana eti ana bahati ya kuolewa...mbon zakehizo zinawezekana tu...baby nioe basi shela kwangu...ukumbi na mahali najitolea ..na wapenda vya bure walivyo wengi....ataolewa mpaka wakodisha shela wachoke! Hongera edzen ila ukaze moyo mana iyo ni habari ya mjini ati!![/QUOTE
kweli kabisaaa, wapenda vya bure wako kibao. mahari jitolee mwenyewe, ukumbi lipia mwenyewe na shela nunua mwenyewe. mkitoka harusini anahamia kwako! wanawake wengi hapa mjini wao ndo waliooa waume zao lol
Limwanamke lenyewe halina hata shepu, sijui watu wanashoboka nae kwa kipi?? infact mrs wangu mama koku is so beautiful
hongera dida lakini utulie huyu awe wamwisho kwani, uko ndoo maana kukaitwa sehemu za siri anaona mmoja tu wakizidi wa tatu sio sehemu za siri tena inakuwa sehemu ya wazi.