Hongera Dida

Hongera Dida

na wanaojitoa muhanga kuoa manamake ya style hii wana moyo....I am sure ni jobless and hopeless minded men.
 
994220_546974738695303_1707155247_n.jpg
harusi ya tatu ya mamaa dida...akikuchezea nae piga chini vuta kitu kipya shostiii...
Inaonekana yeye ndie anyeoa ,mpaka wafike wa 4
 
Ukiwa na stress we fungua Jf tena CELEBRITY FORUM! kuna mtu kanivuja mbavu humu eti nyie wanaume mnaopaka vikarolait hamtakiwi wanaotakiwa ni wapaka mikorogo kama hao mahazibandi wa bi shost!jamani unaweza paliwa kama unakula!
 
hongera dida lakini utulie huyu awe wamwisho kwani, uko ndoo maana kukaitwa sehemu za siri anaona mmoja tu wakizidi wa tatu sio sehemu za siri tena inakuwa sehemu ya wazi.
 
na wanaojitoa muhanga kuoa manamake ya style hii wana moyo....I am sure ni jobless and hopeless minded men.

umekosea sana kusema hopeless na jobless! mwanaume ni mfanyakazi... sema na yeye ni wa aina hiyohiyo ya dida. kwani ndege wenye mbawa za kufanana huruka pamoja lolest!
 
Huyo jamaa ni jembe sana kwenye career yake,nilikuwa namfatilia sana alipokuwa Kiss kwenye kipindi chake cha KISS COLLABO SHOW,kwa nilivyokuwa namuona misimamo/itikadi zake sikudhani kama kwenye malovee anaweza akaangukia kwa shankupe

shankupe ndo mwenyewe kwa taarifa yako. hao wanaojidai decent huwa ndo vicheche balaa. aaf shankupe akikupenda mbona anatulia tuuli best!
 
Na hizo harusi zake huwa watu wanachanga au simple tuuuu! Huyo aliyekuwa kiboko yake ni mchopanga mtu mzima yule alikuwa dawa yake....kidogo alikaa nae..halafu kuna watu wananichekesha sana eti ana bahati ya kuolewa...mbon zakehizo zinawezekana tu...baby nioe basi shela kwangu...ukumbi na mahali najitolea ..na wapenda vya bure walivyo wengi....ataolewa mpaka wakodisha shela wachoke! Hongera edzen ila ukaze moyo mana iyo ni habari ya mjini ati!![/QUOTE
kweli kabisaaa, wapenda vya bure wako kibao. mahari jitolee mwenyewe, ukumbi lipia mwenyewe na shela nunua mwenyewe. mkitoka harusini anahamia kwako! wanawake wengi hapa mjini wao ndo waliooa waume zao lol
 
Limwanamke lenyewe halina hata shepu, sijui watu wanashoboka nae kwa kipi?? infact mrs wangu mama koku is so beautiful

aliekwambia shepu ndo inat****mb*** nani? mambo iko kwenye mashine ya mtoto wa kitanga. wanawake wa kitanga oooo.....
 
hongera dida lakini utulie huyu awe wamwisho kwani, uko ndoo maana kukaitwa sehemu za siri anaona mmoja tu wakizidi wa tatu sio sehemu za siri tena inakuwa sehemu ya wazi.

sehemu ya siri gani wakati wa kuzaa manesi na madaktari wanacheza napo kuliko wewe ulieoa!
 
Back
Top Bottom