Unajua maana ya CCHP? Unajua maana ya busket fund wewe? Je unajua kwamba 60% ya bajet ya afya inategemea wazungu?Napenda kumtia moyo Mama Dorothy Gwajima kwani wachache wa namna hii ni adimu kuwapata....
Kakamata wangapi mpaka sasa???Unaona alivyoshika kiuno mama wa watu mtalaam wa kuwakamata weziView attachment 1679597
Watanzania wengi wanapenda "Show ya Kibabe" kuliko hiyo kazi yenyewe.Dr Gwajima anasifika kwa kuchapa kazi.
Hata hivyo Kuwaita watumishi wezi, waongo, wazushi, matapeli, wasio wazalendo kisha hachukui hatua za kinidhamu dhidi yao inatia doa utendaji wake.
Kwa miaka 5 tumeshadhibit wapigaji he tumejitegemeaa???Sababu ya upigaji wa pesa za umma ndiyo maana tumekuwa tunawategemea wazungu tukithibiti huo wizi nafikiri tutajitegemea.
Mjomba Naijua HSBF ....for how long sekta ya Afya imepokea HSBF kwa nini hatujaenda kujitegemea kwa kipindi kirefu??Unajua maana ya CCHP? Unajua maana ya busket fund wewe? Je unajua kwamba 60% ya bajet ya afya inategemea wazungu?
Hakuna lolote.Napenda kumtia moyo Mama Dorothy Gwajima kwani wachache wa namna hii ni adimu kuwapata...
Mbona kuna walioshikwa na wameanza kuwa wa mfano?Uzuri wake anawajua vibaka na anajua kuwachambua na hatimaye best way ya kuwashughulikia.Watanzania wengi wanapenda "Show ya Kibabe" kuliko hiyo kazi yenyewe.
Yani, ukiwa mwanasiasa mwenye maneno 10% na kazi 90%, watakuona zoba...
Bima ya Afya ndio wimbo wake....unajua historia yake katika kuonesha kuwa bima ya afya ni suluhisho la matatizo ya healthcare financing???Hakuna lolote.
Wanamchi wanataka bima za afya.Wahudumu wa afya wanataka ajira na mishahara mizuri.
Ashughulikie hayo kwanza sio mbwe mbwe kama za Dkt.Kangi Lugola
Kisu kimegusa mfupa, huyu mama mpaka makada wa ccm kina Jane lowasa hawamtaki.
Sasa hivi ni waziri.Na sio RMO.Ajikite na sera na sio kusuta.Bima ya Afya ndio wimbo wake....unajua historia yake katika kuonesha kuwa bima ya afya ni suluhisho la matatizo ya healthcare financing???
She did it Singida/Iramba...go fetch the details.
MWAKA HUU MACHAKA YOTE YAMECHOMWA
Anahamasisha Bima sana tu.Sasa hivi ni waziri.Na sio RMO.Ajikite na sera na sio kusuta....
Anahamasisha kusutana tu mkuu.Uwajibikaji lazima uende sambamba na marupurupu.Huwez kukamua ng'ombe bila kumlisha majani.Anahamasisha Bima sana tu.
Anahamasisha uwajibikaji
Anaelekeza usimamizi thabiti wa mapato ili dawa zipatikane,vituo viajiri watumishi ....unaweza kuhisi ni ndoto lakini these are the kind of leaders who will make it happen....STAY TUNE.