Hongera Dkt. Dorothy Gwajima, The Primary HealthCare Iron Lady

Hongera Dkt. Dorothy Gwajima, The Primary HealthCare Iron Lady

Hivi inakuaje Kuna baraza la wafamasia halafu halijawahi kuja na resolution ya kutengeneza Maji ya IV FLUIDS (NaCL,Dextrose 10%)badala yake tunaimport kutoka UGANDA?

How come P.O.P(CaCO3) (chokaa) tunaimport kutoka nje??

Iweje hadi nguo za kuvaa madaktari/manesi zitoke nje??
Ni rahisi kusema kuliko kutenda. Investment ya pharma products especially sterile ones ni multi million dollars projects.

Kwenye mazingira yenye unpredictable investemnt policy na high political risk kama Tanzania, nani yuko tayari kuweka mabilioni yake hapa?
 
kuanzia wizarani hadi zahanati ....FIELD MARSHAL ANA MISSION MOJA TU KUFUMUA HII SEKTA ILI IJITEGEMEE NA SIO KUWA CHAKA LA HISANI YA WATU WA MAREKANI.

amechallange kuwa kama unaitaka nafasi yake fanya vizuri uonekane usimletee majungu wewe piga mzigo tu halafu onesha uhodari wako atajiuzulu na kukuachia kijiti kiroho safi tu.
Kwani huyu Waziri majungu wamemletea lini? Mbona ana muda mfupi sana ofsini? Naona ana shida ya kuwa NARCISSIST and EGOCENTRIC. Kwa nini kwanza anapenda kufanya kazi na media na kufokea watendaji?

Pili kwa nini anapenda kuchamba chamba kama vile hajasoma akina Mishi na Juma Lokole?
Tatu sisi kama wananchi hatuhitaji kujua CV yake as long as aliyemteua anaijua, sisi tunataka matokeo chanya kwenye sekta ya afya. Mtu anayependa kutaja taja CV yake na mafanikio yake ya zamani ni dalili kwamba HAJIAMINI kwenye nafasi hiyo.
 
Back
Top Bottom