Alikuwepo Kangi Lugola, na nakumbuka kada mwenzangu
jingalao ulikuwa unamsifia Sana, lakini sote tunakumbuka mwisho wake. Huyu mama atulie, aweke misingi imara ya utoaji wa huduma za afya.
Pia, atambue kuwa kwa Sasa ni waziri, sio naibu Katibu Mkuu Tena. Mambo haya yalimpa umaarufu Sana Wakati akiwa naibu Katibu lakini kwa cheo Cha Uwaziri, anajishusha Sana.
Kwanza ieleweke, wezi wa dawa hawawezi kuisha. Pili, hakuna Daktari ambae hajawahi kula CCD akiwemo yeye mwenyewe enzi anapractise.
Style yake ya Uongozi itamjengea maadui wengi zaidi wizarani, inashusha morali ya wafanyakaz wa wizara na Idara zake, matokeo yake, wizara itaonekana inazingua mwisho atatumbuliwa.
Akae chini, ajenge team work nzuri. Ataacha legacy nzuri.