Mbona zipo clips za uhamasishaji wa Chf tena nyingi zilitoka miaka miwili au mitatu ....akiwa hapo TAMISEMI....?aAnahamasisha kusutana tu mkuu.Uwajibikaji lazima uende sambamba na marupurupu.Huwez kukamua ng'ombe bila kumlisha majani.
Stay TUNED.
Mkuu naona upo nyuma sana.Mbona zipo clips za uhamasishaji wa Chf tena nyingi zilitoka miaka miwili au mitatu ....akiwa hapo TAMISEMI....?
Fursa ya kutengeneza maslahi ipo mikononi mwao watumishi ila hawakuwahi kuitumia naamini sasa wataitumia vyema.
Uzi mzuri ila matumizi ya:Napenda kumtia moyo Mama Dorothy Gwajima kwani wachache wa namna hii ni adimu kuwapata....
Waziri anaweza na anatakiwa kuwasema wahalifu bila kuwavunjq moyo wafanyakazi wasio wahalifu.Mbona kuna walioshikwa na wameanza kuwa wa mfano?Uzuri wake anawajua vibaka na anajua kuwachambua na hatimaye best way ya kuwashughulikia.
Kumbuka Tz ilifika mahali kibaka hafungiki.
Soft ware inayohitajika ni kuajiri wahudumu wengi zaidi wa afya na kuboresha marupurupu yao.Watu wana miaka 6 hawana nyongeza.Uzi mzuri ila matumizi ya:
1. Primary healthcare= una maanisha ngazi ya Dispensaries & Healthcare Centres au
Kwa sababu ktk sekta ya Afya kuna Level za Primary, Secondary, Tertiary
2. Hardware na Software sio matumizi sahii labda ungetumia Physical Infrastructures
Vituko haviwezi kuisha mzee,anajitekenya afu anajichekesha [emoji1787]Unamuuliza nani sasa au unaongea na magufuli kwenye simu?
Well said mkuu.Watanzania wengi wanapenda "Show ya Kibabe" kuliko hiyo kazi yenyewe.
Yani, ukiwa mwanasiasa mwenye maneno 10% na kazi 90%, watakuona zoba...
Tatizo linakuja pale wanapomdanganya kisha anawashtukia..inabaki aibu tu.Kuna wizi mkubwa sana ndani ya sekta ya afya. Ila kwa anavyokurupuka na kuropoka hata fanya chochote zaidi ya kufoka foka tu kama Baba yao.
Shida yako unajilaumu mwenyewe. Tulipata uhuru 1961 nchi haijawahi wakiwa na mpinzani ni walewale kina MAGUFULI.Mjomba Naijua HSBF ....for how long sekta ya Afya imepokea HSBF kwa nini hatujaenda kujitegemea kwa kipindi kirefu??
JIBU ANAKUJA NALO GWAJIMA AND THE REAL DREAM TEAM BEHIND HER!!
Hivi kwanini hawa watu wanaovaa bendera za taifa uongozi wao huwa ni wa kutumia nguvu badala ya akili?
Ameshakwambia kuwa ni muhimu kuanza na hamasa then sekta ijiweke tayari kuwahudumia halafu Sera.Mkuu naona upo nyuma sana.
Kazi ya waziri sio kuhamasisha bali kuja na mikakati ya kuwawezesha watu woote kupata bima...
Ok...Ameshakwambia kuwa ni muhimu kuanza na hamasa then sekta ijiweke tayari kuwahudumia halafu Sera...
nitakuja kukutembelea hapo IFOZA...!Ok...
Basi mimi nipo huku Ifakara nasubiri maboresho ya bima za afya.Hayo mambo ya kusutana kwenye media hayana faina kwangu na familia yangu huku kijijini.
Nimewahi kuhudumu Hospitali Teule ya Wilaya ya Muleba Rubya (sijuhi kama bado ni hospitali ya wilaya) Masista Wafamasia walikuwa wanatengeneza Iv fluids aina zote kuanzia Dextrose 50%, 10% na 5%, RL, NS syrups za watoto pale kabla MSD na upigaji wa 10% hawajaingilia kati.Hivi inakuaje Kuna baraza la wafamasia halafu halijawahi kuja na resolution ya kutengeneza Maji ya IV FLUIDS (NaCL,Dextrose 10%)badala yake tunaimport kutoka UGANDA?
How come P.O.P(CaCO3) (chokaa) tunaimport kutoka nje??
Iweje hadi nguo za kuvaa madaktari/manesi zitoke nje??
Kuna hospitali ya DDH ( St Francis) ndio inatoa huduma zote.nitakuja kukutembelea hapo IFOZA...!
Umewahi kujiuliza kwa nini hatuna hospitali ya wilaya hapo?
zipo hospitali kama K.C.MC zina uwezo wa kutengeneza jiulize kwa nini Muhimbili anunue maji*WATER FOR INJECTION kutoka UGANDA ??Nimewahi kuhudumu Hospitali Teule ya Wilaya ya Muleba Rubya (sijuhi kama bado ni hospitali ya wilaya) Masista Wafamasia walikuwa wanatengeneza Iv fluids aina zote kuanzia Dextrose 50%, 10% na 5%, RL, NS syrups za watoto pale kabla MSD na upigaji wa 10% hawajaingilia kati.
Wizara ya Afya inaweza kuwa inashikilia rekodi ya kuwa pango la wapigaji dili kuliko hata Bandari ya enzi zile.
Go! go! go! Dkt. Gwajima....fitina, upendeleo, wizi, nk vilitufanya sisi wenye mapenzi mema na wagonjwa tuache hii kazi na kuwa wakulima!