Hongera Dkt. Dorothy Gwajima, The Primary HealthCare Iron Lady

zipo hospitali kama K.C.MC zina uwezo wa kutengeneza jiulize kwa nini Muhimbili anunue maji*WATER FOR INJECTION kutoka UGANDA ??
C'MON FIELD MARSHALL MOVE ON AND QUICKLY!!
Umesahau kuwa hata sukari ya kuagiza nje ni ya bei nafuu kuliko sukari ya Mtibwa..
 
Kuna hospitali ya DDH ( St Francis) ndio inatoa huduma zote.
Kuhusu hospitali ya wilaya ni kweli hospitali kubwa ilijengwa.Lengo ni iwe ya wilaya...
Nilikuwa nakutambulishia tu ...how i now hii sekta and therefore how I know the people with character to change the sector!!
Karibu kwa mjadala!!
 
Primary Health Care ni ngazi ya Hospitali za wilaya(sometimes unaweza kuzijumuisha hospitali za mikoa)
Huku ndipo wananchi wengi walipo na wanahitaji kufikiwa na huduma za afya ya msingi.na ndio sehemu yenye malalamiko mengi.

KUHUSU HARDWARE/SOFTWARE chukulia kama lugha ya picha.
 
Mbona zipo clips za uhamasishaji wa Chf tena nyingi zilitoka miaka miwili au mitatu ....akiwa hapo TAMISEMI....?

Fursa ya kutengeneza maslahi ipo mikononi mwao watumishi ila hawakuwahi kuitumia naamini sasa wataitumia vyema.
Ukiona msomaji anashabikia ICHIF kuwa ni bima inayoweza kumsaidia mwananchi halafu anajisifu Kuwa anaifaham vizuri wizara ya afya naaza kutilia shaka elimo yake
 
You said it all stay blessed
 
Ukiona msomaji anashabikia ICHIF kuwa ni bima inayoweza kumsaidia mwananchi halafu anajisifu Kuwa anaifaham vizuri wizara ya afya naaza kutilia shaka elimo yake
una study yoyote ya kusupport fikra zako kwamba Ichf sio mkombozi?
 
Sasa mtu kaja juzi unataka afanye hayo yote, hana ata mwaka kazini
 
una study yoyote ya kusupport fikra zako kwamba Ichf sio mkombozi?
Hata haina Haja ya study ni simple observations tu , ichif kammwe hospitali zinazijiulewa wala hawapokei hawa wagonjwa maana mfumo wao wa Malipo hauelewaki.pili enrollment ya ichif ni kwa wagonjwa wale wa NCD na mara nyingi uhamsishaji inafanyikia mahospitalin maana yake bima inasajili wagonjwa ambao Tayari kwa kila mwezi matumizi yao ni zaidi ya 40000 kwa mwezi
Sasa mfuko unaosajili wagonjwa pekee unajiendeshaje ikis mtu anachangia 30000 kwa mwezi huku matumizi yake kwa kila mwezi ni zaidi ya 40000 .na nibima gani inayosajili wagonjwa tena kwa 30000 katika dunia hii ya utandawazi
 
ANAFANYA KAZI VIZURI LAKINI APUNGUZE DRAMA HASA KWENYE KAMERA .....WAANDISHI WANAKUINUA NA HAO HAO WANAKUDONDOSHA
 
Ni aibu kwakwel...na hayo maji ni muhimu saaaan katika sekta hii
 
Dr Gwajima anasifika kwa kuchapa kazi.

Hata hivyo Kuwaita watumishi wezi, waongo, wazushi, matapeli, wasio wazalendo kisha hachukui hatua za kinidhamu dhidi yao inatia doa utendaji wake.
Watumishi wa Afya wako kiajabu ndio maana anatumia lugha ya kuwafikisha kwenye mamlaka zao. Kuna walioko Tamisemi wengine Wizara ya Afya, Wengine Ulinzi,
 
Elimu ya kukariri ni mbaya sana. Mtaani mtu anaona sifa kujiita Daktari, Mfamasia, ama Mwanasayansi wakati hajuwi lolote.....jina tu. Ni haibu kukubali vyeo kama hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…