Hongera Dkt. Faustine Ndugulile, Naibu Waziri wa Afya

Nzelu za bwino

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
400
Reaction score
484
Salaam Wana jamvi.

Napenda kumpongeza Naibu Waziri wa Afya kwa majibu na maelezo yake kuhusu suala la Covid-19. Dkt. Ndugulile amekuwa akitoa majibu na maelezo ya kitabibu zaidi kama ilivyo taaluma yake.

Kuhusu maelezo ya baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa kupinga matumizi ya barakoa, Dkt. Ndungulile amesisitiza matumizi ya barakoa. Kuhusu kujifukiza alitahdharisha madhara yanayoweza kutokea kwenye mfumo wa hewa kutokana na kujifukiza. Kwa kweli huyu msomi amekataa kuwa kasuku, amesimamia taaluma yake kuliko cheo chake.

Hongera Dkt Faustine Ndungulile maana katika hili la Covid-19 ukweli ndio utakaotusaidia badala ya siasa za kujikomba.

Nawasilisha.
 
Salaam Wana jamvi.

Napenda kumpongeza Naibu Waziri wa Afya kwa majibu na maelezo yake kuhusu suala la Covid-19. Dkt. Ndungulile amekua akitoa majibu na maelezo ya kitabibu zaidi kama ilivyo taaluma yake.

Naunga mkono hoja, huyu jamaa alianza siku nyingi, angalia tarehe ya bandiko hili⁶

"Watanzania Tunaishi Kwa Kudra Za Mwenyezi Mungu Tuu!"-Mhe. Dr. Faustine Ndungulile. Jee ni Kweli?. - JamiiForums

P
 
Alafu ni msaidizi wa mwanasheria. Sheria inaongoza medicine kwahiyo sio ajabu tukiendelea kuathirika na magonjwa kama inavyoendelea covid 19 pandemic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam Wana jamvi.

Napenda kumpongeza Naibu Waziri wa Afya kwa majibu na maelezo yake kuhusu suala la Covid-19. Dkt. Ndungulile amekua akitoa majibu na maelezo ya kitabibu zaidi kama ilivyo taaluma yake.

Kuhusu maelezo ya baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa kupinga matumizi ya barakoa, Dkt. Ndungulile amesisitiza matumizi ya barakoa. Kuhusu kujifukiza alitahdharisha madhara yanayoweza kutokea kwenye mfumo wa hewa kutokana na kujifukiza. Kwa kweli huyu msomi amekataa kuwa kasuku, amesimamia taaluma yake kuliko cheo chake.

Hongera Dkt Faustine Ndungulile maana katika hili la Covid-19 ukweli ndio utakaotusaidia badala ya siasa za kujikomba.

Nawasilisha.
Huyu naye huenda akafukuzwa kama alivyofukuzwa Dr Mpoki Ulisubisya baada ya kumtibu lisu
 
Salaam Wana jamvi.

Napenda kumpongeza Naibu Waziri wa Afya kwa majibu na maelezo yake kuhusu suala la Covid-19. Dkt. Ndungulile amekua akitoa majibu na maelezo ya kitabibu zaidi kama ilivyo taaluma yake.

Kuhusu maelezo ya baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa kupinga matumizi ya barakoa, Dkt. Ndungulile amesisitiza matumizi ya barakoa. Kuhusu kujifukiza alitahdharisha madhara yanayoweza kutokea kwenye mfumo wa hewa kutokana na kujifukiza. Kwa kweli huyu msomi amekataa kuwa kasuku, amesimamia taaluma yake kuliko cheo chake.

Hongera Dkt Faustine Ndungulile maana katika hili la Covid-19 ukweli ndio utakaotusaidia badala ya siasa za kujikomba.

Nawasilisha.
Mleta mada humtakii mema naibu waziri.Hivi hadi Leo tunaelekea half time hujui kuwa pongezi zote zinatakiwa kwenda wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom