Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Just a joke BrotherNo it's not me!.
P
Just a joke BrotherNo it's not me!.
P
Kama kuna mtu anataka kusema ukweli asubiri awamu ya Sita, safari hii taaluma zote ziko likizo kusubiri maamuzi ya Omaga!
Kishujaa! Anastahili hongera nyingi sana!!Kweli imetimia
Alafu Mkuu usipongeza sana,mimi nimekua kwa kujifukiza kwa mafua na nimekua , japo haikua corona ,diseSalaam Wana jamvi.
Napenda kumpongeza Naibu Waziri wa Afya kwa majibu na maelezo yake kuhusu suala la Covid-19. Dkt. Ndugulile amekuwa akitoa majibu na maelezo ya kitabibu zaidi kama ilivyo taaluma yake.
Kuhusu maelezo ya baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa kupinga matumizi ya barakoa, Dkt. Ndungulile amesisitiza matumizi ya barakoa. Kuhusu kujifukiza alitahdharisha madhara yanayoweza kutokea kwenye mfumo wa hewa kutokana na kujifukiza. Kwa kweli huyu msomi amekataa kuwa kasuku, amesimamia taaluma yake kuliko cheo chake.
Hongera Dkt Faustine Ndungulile maana katika hili la Covid-19 ukweli ndio utakaotusaidia badala ya siasa za kujikomba.
Nawasilisha.
Hapn ataishiiii Bali kwa kuwa na mipakaUmemsifu, utamsababishia matatizo. Hapo barua yake ya kutumbuliwa ipo tayari. Linasubiriwa kosa moja tu, la kutafutia sababu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemsifu, utamsababishia matatizo. Hapo barua yake ya kutumbuliwa ipo tayari. Linasubiriwa kosa moja tu, la kutafutia sababu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kasimamia taaluma yake ndio imemgharimu,sio kabudi yeye ni uwongo mwanzo mwishoSalaam Wana jamvi.
Napenda kumpongeza Naibu Waziri wa Afya kwa majibu na maelezo yake kuhusu suala la Covid-19. Dkt. Ndugulile amekuwa akitoa majibu na maelezo ya kitabibu zaidi kama ilivyo taaluma yake.
Kuhusu maelezo ya baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa kupinga matumizi ya barakoa, Dkt. Ndungulile amesisitiza matumizi ya barakoa. Kuhusu kujifukiza alitahdharisha madhara yanayoweza kutokea kwenye mfumo wa hewa kutokana na kujifukiza. Kwa kweli huyu msomi amekataa kuwa kasuku, amesimamia taaluma yake kuliko cheo chake.
Hongera Dkt Faustine Ndungulile maana katika hili la Covid-19 ukweli ndio utakaotusaidia badala ya siasa za kujikomba.
Nawasilisha.
Wewe jinga naweka CV yake hapa ufananishe na ya huyo bwana wako ambaye hata kutamka sentensi mbili za kiingereza hawezi.Ndugulile ni Mng'oa Meno tu (Dentist ) aliekuwa anadhalilisha Serikal kwa makusudi kwa kujifanya Specialist wa Covid
Asipotii mamlaka na Jimbo la Kigamboni aporwe apewe Dr Emanuel Masanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona kweli unamjua baba kama halipo laja,jamaa atakuwa amekalia kuti kavu ,anampinga baba.Huyu naye huenda akafukuzwa kama alivyofukuzwa Dr Mpoki Ulisubisya baada ya kumtibu lisu
Ila nini kaka Pascal Mimi huwa nakukubali sometimes ila sema tu wengine wanaleta chuki zao. Naomba ukila uteuzi usinisahau ndgu yako.Naunga mkono hoja, huyu jamaa alianza siku nyingi, angalia tarehe ya bandiko hili⁶
"Watanzania Tunaishi Kwa Kudra Za Mwenyezi Mungu Tuu!"-Mhe. Dr. Faustine Ndungulile. Jee ni Kweli?. - JamiiForums
P
Mimi siwezi kula uteuzi kwasababu bado sio CCM, namtafuta Polepole kwa udi na uvumba ili nijiunge, hapatikaniki.Ila nini kaka Pascal Mimi huwa nakukubali sometimes ila sema tu wengine wanaleta chuki zao. Naomba ukila uteuzi usinisahau ndgu yako.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi siwezi kula uteuzi kwasababu bado sio CCM, namtafuta Polepole kwa udi na uvumba ili nijiunge, hapatikaniki.
P
Heshima kama hiyo ni nadra kwa taifa letu.Kwanza yeye mwenyewe kafurahi kutenguliwa
Hogwash.Rule no1: Never outshine your master. Thanks Robert Greene i have learned a lot from your power philosophical masterpiece.