Hongera Dkt. Faustine Ndugulile, Naibu Waziri wa Afya

Salaam Wana jamvi.

Napenda kumpongeza Naibu Waziri wa Afya kwa majibu na maelezo yake kuhusu suala la Covid-19. Dkt. Ndugulile amekuwa akitoa majibu na maelezo ya kitabibu zaidi kama ilivyo taaluma yake.

Kuhusu maelezo ya baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa kupinga matumizi ya barakoa, Dkt. Ndungulile amesisitiza matumizi ya barakoa. Kuhusu kujifukiza alitahdharisha madhara yanayoweza kutokea kwenye mfumo wa hewa kutokana na kujifukiza. Kwa kweli huyu msomi amekataa kuwa kasuku, amesimamia taaluma yake kuliko cheo chake.

Hongera Dkt Faustine Ndungulile maana katika hili la Covid-19 ukweli ndio utakaotusaidia badala ya siasa za kujikomba.

Nawasilisha.

Kimsingi mkuu Nzelu za bwino, kinyume cha unayosema unaweza kuwa ndiyo ukweli wenyewe wa mambo lakini ni suala linalohitaji akili kubwa zaidi kuweza kutambua hilo.

Raisi John Pombe Magufuli hajakosea kabisa kutengua uteuzi wa Ndugulile

kwa sababu ukimsikiliza Ndugulile na ukachambua anayoyaongea kwa kutumia akili isiyo na makandokando ya kisiasa wala chuki yoyote utagundua haraka sana kwamba huyu bwana anakosa sifa nyingi muhimu za kuendelea kubaki katika wadhifa nyeti kama ule naomba nizitaje tu baadhi ili wanajamvi wapate kunyumbua misuli ya mawazo yao na kufikia hitimisho lenye tija.

Kwanza kabisa Ndugulile anaonekana ni mtu ambaye hatambui kwamba kwamba uzoefu yaani "experience" wa mtu husika ndio mamlaka ya mwisho ambayo inapaswa kuheshimiwa kuliko kitu kingine chochote. Alitakiwa apate mrejesho kutoka kwa watu waliojifukiza.

Kuhusu suala la kujifukiza(Steam Inhalation or Aromatherapy) amekurupuka kwa sababu inaonesha hana uzoefu wala taaluma yoyote kuhusu kujifukiza. Kwanza inaonekana yeye mwenyewe hajawahi kujifukiza kwa hiyo alitakiwa arejee vichapo vingi kutoka kwenye vyanzo vyenye uzoefu na mamlaka ya taaluma hiyo ambayo imetumika kwa karne nyingi na inaendelea kutumika. Lakini pia kwa sababau watanzania wengi wamejifukiza alitakiwa angalau afanye Qualitative research kujua faida na madhara kwa waliojifukiza kuliko kuja na maneno tupu kwenye vyombo vya habari.

Pili Ndugulile anaonekana hajui madhara na faida za saikojia ya mwanadamu dhidi ya afya.. na kama anasema analijua hili atakuwa analijua juu juu hivyo anapaswa kujiwivisha zaidi katika hilo. Kwa kutotambua hilo anaonekana ni mtu asiye na imani kabisa na hivyo kuwa katika dimbwi kubwa la kutofahamu faida na hasara za imani.

Tatu huyu ndugu anaonekana ni mtu aliyekosa busara ya kawaida (common wisdom)

Nne, Anaonekana ni mtu ambaye hawezi kutumia vizuri nguvu ya maneno hivi kwamba hawezi kufundisha wala kufikisha ujumbe ipasavyo kwa watu wanaomzunguka.

Tano, Anaonekana ni mtu mwenye uwezo mdogo sana wa kujenga taswira ya jambo fulani na kufanyia kazi taswira hiyo mpaka inapokuja kwenye uhalisia. Hivyo anaweza kuwa ni mtu mwenye mawazo mgando na aliyekosa ubunifu wa asili na wa kuiga.

Hili nililiona kwa mara ya kwanza alipopinga barakoa ya kitambaa ilipowasilishwa na mheshimiwa marehemu Ndasa barakoa ambazo kwa sasa ndizo zinazovaliwa na watanzania wengi, wakati anapinga sikusikia akitoa ufafanuzi wowote wa kiutafiti zaidi ya kusema hizo hazifai na pengine ndio sababu marehemu Ndasa alimjibu laivu bila chenga kwamba " Pamoja na kwamba umezema hizi hazifai lakini bado nitakukabidhi ili mkazifanyie uchunguzi na watu wako"

Kwa kweli inasikitisha sana kuona mtu anayejiita ni daktari kukataa kitu kabla ya uchunguzi kufanyika dhidi ya kitu hicho.

Sita, Anaonekana ni mtu asiyeweza kufikiri kwa ufasaha (accurate thinking).
Ni mtu anyetumia muda mwingi sana kushughulika na mambo ya nyuma na yale ambayo hayapo na hivyo daima kujikuta katika mkanganyiko na kukosa uwezo wa kutafuta suluhi ya matatizo ya wakati uliopo kama lilivyo janga la Covid 19.

Mimi ninaona muda muafaka kupinga jambo hili ilikuwa wakati ule Mheshimiwa Raisi anatoa maagizo kwamba wizara ya Afya itoe maelekezo ya namna watu wanavyoweza kujifukiza badala ya kuja kutoa maelekezo na maonyo ya kukariri baada ya siku nyingi kupita

Unatoa maonyo wakati asilimia kubwa ya Watanzania wamejifukiza.
Kama kujifukiza kungekuwa na madhara basi mamilioni wangekuwa tayari wameathirika

Bahati nzuri sana kujifukiza ni sawa na kuota moto wakati wa baridi, huwezi kumkataza mtu asiote moto wakati wa baridi kali kwa kuhofia kuungua Kinachotakiwa ni kumfundisha mtu utaratibu mzuri wa kufanya jambo fulani "best practices"

Sasa Ikumbukwe kwamba kujifukiza kumeleta matokea mazuri zaidi kwa watanzania wengi kuliko madhara na hivyo hoja ya ndugulile inakosa nguvu Alichotakiwa ni kufanya Qualitative research ili kuona matokeo ya tiba hiyo yakoje na namna ya kuboresha protocol ya kujikiza kwa siku zijazo..

Saba, Ndugulile anaonesha ni mtu ambaye moyoni mwake hana upendo wa dhati kabisa kwa kazi yake na taifa
. Wewe unajua Kwamba kitu kina madhara unaacha wenzako wakitumie baada ya kumaliza kukitumia mwishowe ndo unafungua mdomo kusema madhara ya kitu hicho,huu ni unafiki na uzandiki mkubwa sana ambao hauwezi kuvumilika hata kidogo.

Mwisho muda sio rafiki lakini kwa kifupi Ndugulile amekosa kabisa sifa za kuendelea kubaki katika nafasi ya unaibu waziri wa afya.

Binafsi ninampongeza Mheshimiwa Raisi MAGUFULI kwa kufanya mabadiliko katika kipindi hiki ambacho tuko kwenye vita dhidi ya virusi vya Korona kwa maslahi ya watanzania leo na hapo baadae.

Hongera sana JPM. Mungu Ibariki Tanzania
 
Huu muda ulioandika hili Shudu ungefuta hata vioo kwenye Murano yako 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Ndugulile ni Mng'oa Meno tu (Dentist ) aliekuwa anadhalilisha Serikal kwa makusudi kwa kujifanya Specialist wa Covid

Asipotii mamlaka na Jimbo la Kigamboni aporwe apewe Dr Emanuel Masanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba ushawahi kujifukiza na mvuke wa 100°C? sasa kama ni mng'oa meno tu huoni kuwa unadhalilisha mamlaka yake ya uteuzi? Bwana wako anapenda sana sifa. Ndio maana ukienda kinyume nae lazima uliwe kichwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi mkuu Nzelu za bwino, kinyume cha unayosema unaweza kuwa ndiyo ukweli wenyewe wa mambo lakini ni suala linalohitaji akili kubwa zaidi kuweza kutambua hilo.

Raisi John Pombe Magufuli hajakosea kabisa kutengua uteuzi wa Ndugulile

kwa sababu ukimsikiliza Ndugulile na ukachambua anayoyaongea kwa kutumia akili isiyo na makandokando ya kisiasa wala chuki yoyote utagundua haraka sana kwamba huyu bwana anakosa sifa nyingi muhimu za kuendelea kubaki katika wadhifa nyeti kama ule naomba nizitaje tu baadhi ili wanajamvi wapate kunyumbua misuli ya mawazo yao na kufikia hitimisho lenye tija.

Kwanza kabisa Ndugulile anaonekana ni mtu ambaye hatambui kwamba kwamba uzoefu yaani "experience" wa mtu husika ndio mamlaka ya mwisho ambayo inapaswa kuheshimiwa kuliko kitu kingine chochote. Alitakiwa apate mrejesho kutoka kwa watu waliojifukiza.

Kuhusu suala la kujifukiza(Steam Inhalation or Aromatherapy) amekurupuka kwa sababu inaonesha hana uzoefu wala taaluma yoyote kuhusu kujifukiza. Kwanza inaonekana yeye mwenyewe hajawahi kujifukiza kwa hiyo alitakiwa arejee vichapo vingi kutoka kwenye vyanzo vyenye uzoefu na mamlaka ya taaluma hiyo ambayo imetumika kwa karne nyingi na inaendelea kutumika. Lakini pia kwa sababau watanzania wengi wamejifukiza alitakiwa angalau afanye Qualitative research kujua faida na madhara kwa waliojifukiza kuliko kuja na maneno tupu kwenye vyombo vya habari.

Pili Ndugulile anaonekana hajui madhara na faida za saikojia ya mwanadamu dhidi ya afya.. na kama anasema analijua hili atakuwa analijua juu juu hivyo anapaswa kujiwivisha zaidi katika hilo. Kwa kutotambua hilo anaonekana ni mtu asiye na imani kabisa na hivyo kuwa katika dimbwi kubwa la kutofahamu faida na hasara za imani.

Tatu huyu ndugu anaonekana ni mtu aliyekosa busara ya kawaida (common wisdom)

Nne, Anaonekana ni mtu ambaye hawezi kutumia vizuri nguvu ya maneno hivi kwamba hawezi kufundisha wala kufikisha ujumbe ipasavyo kwa watu wanaomzunguka.

Tano, Anaonekana ni mtu mwenye uwezo mdogo sana wa kujenga taswira ya jambo fulani na kufanyia kazi taswira hiyo mpaka inapokuja kwenye uhalisia. Hivyo anaweza kuwa ni mtu mwenye mawazo mgando na aliyekosa ubunifu wa asili na wa kuiga.

Hili nililiona kwa mara ya kwanza alipopinga barakoa ya kitambaa ilipowasilishwa na mheshimiwa marehemu Ndasa barakoa ambazo kwa sasa ndizo zinazovaliwa na watanzania wengi, wakati anapinga sikusikia akitoa ufafanuzi wowote wa kiutafiti zaidi ya kusema hizo hazifai na pengine ndio sababu marehemu Ndasa alimjibu laivu bila chenga kwamba " Pamoja na kwamba umezema hizi hazifai lakini bado nitakukabidhi ili mkazifanyie uchunguzi na watu wako"

Kwa kweli inasikitisha sana kuona mtu anayejiita ni daktari kukataa kitu kabla ya uchunguzi kufanyika dhidi ya kitu hicho.

Sita, Anaonekana ni mtu asiyeweza kufikiri kwa ufasaha (accurate thinking).
Ni mtu anyetumia muda mwingi sana kushughulika na mambo ya nyuma na yale ambayo hayapo na hivyo daima kujikuta katika mkanganyiko na kukosa uwezo wa kutafuta suluhi ya matatizo ya wakati uliopo kama lilivyo janga la Covid 19.

Mimi ninaona muda muafaka kupinga jambo hili ilikuwa wakati ule Mheshimiwa Raisi anatoa maagizo kwamba wizara ya Afya itoe maelekezo ya namna watu wanavyoweza kujifukiza badala ya kuja kutoa maelekezo na maonyo ya kukariri baada ya siku nyingi kupita

Unatoa maonyo wakati asilimia kubwa ya Watanzania wamejifukiza.
Kama kujifukiza kungekuwa na madhara basi mamilioni wangekuwa tayari wameathirika

Bahati nzuri sana kujifukiza ni sawa na kuota moto wakati wa baridi, huwezi kumkataza mtu asiote moto wakati wa baridi kali kwa kuhofia kuungua Kinachotakiwa ni kumfundisha mtu utaratibu mzuri wa kufanya jambo fulani "best practices"

Sasa Ikumbukwe kwamba kujifukiza kumeleta matokea mazuri zaidi kwa watanzania wengi kuliko madhara na hivyo hoja ya ndugulile inakosa nguvu Alichotakiwa ni kufanya Qualitative research ili kuona matokeo ya tiba hiyo yakoje na namna ya kuboresha protocol ya kujikiza kwa siku zijazo..

Saba, Ndugulile anaonesha ni mtu ambaye moyoni mwake hana upendo wa dhati kabisa kwa kazi yake na taifa
. Wewe unajua Kwamba kitu kina madhara unaacha wenzako wakitumie baada ya kumaliza kukitumia mwishowe ndo unafungua mdomo kusema madhara ya kitu hicho,huu ni unafiki na uzandiki mkubwa sana ambao hauwezi kuvumilika hata kidogo.

Mwisho muda sio rafiki lakini kwa kifupi Ndugulile amekosa kabisa sifa za kuendelea kubaki katika nafasi ya unaibu waziri wa afya.

Binafsi ninampongeza Mheshimiwa Raisi MAGUFULI kwa kufanya mabadiliko katika kipindi hiki ambacho tuko kwenye vita dhidi ya virusi vya Korona kwa maslahi ya watanzania leo na hapo baadae.

Hongera sana JPM. Mungu Ibariki Tanzania
Umeandika upumbavu mtupu

Umekuja kusifu boss wako haya tayari umeshinda hongera vipi wamepona wangapi kwenye kujifukiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwigulu na mollel wamebebwa na speech zao za kumsifia mungu wao.Check speech yake ya juzi izungumzia sayansi pilato uyunani mwisho lzm wamtukuze mungu wao awapae riziki.Dunia na vyote ving'aavo ni vyangu ukinisujudia nitakupa umiliki shetani alimwambia Yesu juu ya jengo lefu.
 
Back
Top Bottom