Nzelu za bwino
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 400
- 484
Naunga mkono hoja, huyu jamaa alianza siku nyingi, angalia tarehe ya bandiko hili⁶Salaam Wana jamvi.
Napenda kumpongeza Naibu Waziri wa Afya kwa majibu na maelezo yake kuhusu suala la Covid-19. Dkt. Ndungulile amekua akitoa majibu na maelezo ya kitabibu zaidi kama ilivyo taaluma yake.
Kuhusu maelezo ya baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa kupinga matumizi ya barakoa, Dkt. Ndungulile amesisitiza matumizi ya barakoa. Kuhusu kujifukiza alitahdharisha madhara yanayoweza kutokea kwenye mfumo wa hewa kutokana na kujifukiza. Kwa kweli huyu msomi amekataa kuwa kasuku, amesimamia taaluma yake kuliko cheo chake.
Hongera Dkt Faustine Ndungulile maana katika hili la Covid-19 ukweli ndio utakaotusaidia badala ya siasa za kujikomba.
Nawasilisha.
Liko wapi mzee baba?Naunga mkono hoja, huyu jamaa alianza siku nyingi, angalia tarehe ya bandiko hili
P
Duh acha fitna
Naunga mkono hoja, huyu jamaa alianza siku nyingi, angalia tarehe ya bandiko hili⁶
"Watanzania Tunaishi Kwa Kudra Za Mwenyezi Mungu Tuu!"-Mhe. Dr. Faustine Ndungulile. Jee ni Kweli?. - JamiiForums
P
Naona ngosha unasubiria kichupa from antananarivoNaunga mkono hoja, huyu jamaa alianza siku nyingi, angalia tarehe ya bandiko hili⁶
"Watanzania Tunaishi Kwa Kudra Za Mwenyezi Mungu Tuu!"-Mhe. Dr. Faustine Ndungulile. Jee ni Kweli?. - JamiiForums
P
Yes nilimpongeza Bingwa wa Kemia na bado nampongezaBraza wewe si ndio ulikuja na uzi wa kumpongeza mkemia baada ya kuibuka na tiba yake ya kujifukiza at 100c,
Huyu naye huenda akafukuzwa kama alivyofukuzwa Dr Mpoki Ulisubisya baada ya kumtibu lisuSalaam Wana jamvi.
Napenda kumpongeza Naibu Waziri wa Afya kwa majibu na maelezo yake kuhusu suala la Covid-19. Dkt. Ndungulile amekua akitoa majibu na maelezo ya kitabibu zaidi kama ilivyo taaluma yake.
Kuhusu maelezo ya baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa kupinga matumizi ya barakoa, Dkt. Ndungulile amesisitiza matumizi ya barakoa. Kuhusu kujifukiza alitahdharisha madhara yanayoweza kutokea kwenye mfumo wa hewa kutokana na kujifukiza. Kwa kweli huyu msomi amekataa kuwa kasuku, amesimamia taaluma yake kuliko cheo chake.
Hongera Dkt Faustine Ndungulile maana katika hili la Covid-19 ukweli ndio utakaotusaidia badala ya siasa za kujikomba.
Nawasilisha.
Mleta mada humtakii mema naibu waziri.Hivi hadi Leo tunaelekea half time hujui kuwa pongezi zote zinatakiwa kwenda wapi?Salaam Wana jamvi.
Napenda kumpongeza Naibu Waziri wa Afya kwa majibu na maelezo yake kuhusu suala la Covid-19. Dkt. Ndungulile amekua akitoa majibu na maelezo ya kitabibu zaidi kama ilivyo taaluma yake.
Kuhusu maelezo ya baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa kupinga matumizi ya barakoa, Dkt. Ndungulile amesisitiza matumizi ya barakoa. Kuhusu kujifukiza alitahdharisha madhara yanayoweza kutokea kwenye mfumo wa hewa kutokana na kujifukiza. Kwa kweli huyu msomi amekataa kuwa kasuku, amesimamia taaluma yake kuliko cheo chake.
Hongera Dkt Faustine Ndungulile maana katika hili la Covid-19 ukweli ndio utakaotusaidia badala ya siasa za kujikomba.
Nawasilisha.
Pamoja na hayo lakini anstahili sifa.Mleta mada humtakii mema naibu waziri.Hivi hadi Leo tunaelekea half time hujui kuwa pongezi zote zinatakiwa kwenda wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee!Umemsifu, utamsababishia matatizo. Hapo barua yake ya kutumbuliwa ipo tayari. Linasubiriwa kosa moja tu, la kutafutia sababu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli imetimiaUmemsifu, utamsababishia matatizo. Hapo barua yake ya kutumbuliwa ipo tayari. Linasubiriwa kosa moja tu, la kutafutia sababu.
Sent using Jamii Forums mobile app
DaaahMleta mada humtakii mema naibu waziri.Hivi hadi Leo tunaelekea half time hujui kuwa pongezi zote zinatakiwa kwenda wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app