Rebeca 83, njoo 'Usiku wa Manane'Mwenzangu katika kugombea uteuzi usiwe kinyonga huku na kule,kuwa consistent. So kwa vile Magufuli hayupo madarakani,wala Lissu, ndio uwatupie vijembe, hawatakukumbuka ng'o!....endelea tu kama ulivyokuwa unam praise Magu..
Mgombea mwenza wa uteuzi!,,lol
Mayala acha hizo aliye sema Spika amemuuliza afanyeje wakati wa kuunda kamati za bunge tena pale Ikulu vyombo vikitangaza live imekaaje hiyo?Tundu Lissu amesema mtu fulani hawezi kufanya maamuzi hadi amuulize aliyemteua!, jee akiitwa kuthibitisha, ataweza?.
Hatuna IMANI na VICHAA.Huyo anayejiita KICHAA alitaka kumuua THE GREATEST wetu Mwenyezi Mungu akamponya [emoji1431][emoji1431][emoji1431]
Tatizo la kuanza kampeni miaka 4 nyuma ya wenzakoSijui kama siku ya kesho itaisha salama kwa ITV. Mwenendo wa Campaign unaonyesha JPM kachoka na anaongea ongea tu, nimeanza kuelewa kwanini JPM anamuhofia sana Lissu
...hizi Ni Dalili nzuri kwa Lissu!Kwani kura zishaibiwa marangapi na hapakuchimbika shimo?
Mbona mlipigwa pini kufanya siasa miaka mitano na hapakuchimbika?
Hamasa tu za kwenye mitandao hamna lolote ni ushuzi tu.
π ππππππ ππ€£Sisi Chadema tunatuma Maombi Maalum kwa Mgombea Urais wa CCM Mzee Daktari bingwa wa kemia duniani Bwana Magufuli Kukubali Kuwa na MDAHALO na Mgombea Urais Wa Chadema Kamanda Tundu Lissu ili Kushindanisha SERA na Mitazamo Yao kwa Nchi Yetu Live kwenye TV na Redio Zote za Duniani na Wananchi Wote Watasikiliza!:
Nchi yetu inawahitaji akina Lissu wa upande ule, akina Zitto wa upande mwingine ila sioni kama CCM imeaandaa watu wanaoweza kusimama wao wenyewe kihoja bila favor za kuwa chama dola.nchi hii Lissu anaongozs kwa IQ kubwa.
CCM wote hawana uhuru wa kufikiri tena, wamekuwa brainwashed na jiwe kwamba kama hausifii kaa kimya au utashughulikiwa, ukisifia kuna vizawadi vidogo vidogo utapata, so wanashindana kumsifia jiwe kwa lolote badala ya kuthink otside the box nini watu wanataka.huyo mzee amezungukwa na watu wanaomuogopa wanaomfuata si kwa sababu ya itikadi bali kutetea mkate wao. Na hawatamsaidia kujibu hoja za Lissu.
Kumwelewa lissu unahitaji kuwa na IQ kubwa sanaYapo mambo kadhaa aliyoyazungumza Lissu ambayo, in theory, ndivyo yanavyopaswa yawe. Lakini, in practice, hasa katika mchi yetu, ukiyatekeleza ni kama kufungulia shimo la choo.
Uhuru wa kiuchumi. Kweli siasa za ujamaa zilitushinda. Alipokuja mzee Ruksa na uhuru wake wa kiuchumi wafanyakazi waliishi kama mashetani. Alipokuja mzee Mkapa na uhuru wake wa kiuchumi Lissu huyu huyu alikuwa akigombana naye takribani kila siku. Alipokuja Kikwete na uhuru wake wa kiuchumi nchi ikawa kama shimo la panya. Magufuli katight mambo kiaina kama ujamaa fulani but mambo yote yanakwenda. Not perfect lakini inaonekana uhuru wa kiuchumi kwa nchi yetu haiendi kama theory inavyosema.
So kwa kumjibu Lissu, nchi yetu inahitaji bado top-down control ya serikali.