dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Unajidanganya, sio Tanzania hii ya sasa.Lissu ni kichwa, hataibiwa kura. Anaposema patachimbika kweli anamaanisha.
Mamlaka ya uteuzi ikifanya mabadiliko ni kumuondoa kiongozi kwa nguvu?Lissu kazungumza ukweli mtupu, uzuri wa lissu ni mkweli sana na mzalendo wa nchi yetu.Tatizo la mtoa mada ni mnafiki sana.asemacho sicho anachokiamini kiamini. Anasema rais hawezi mtengua CAG ilihali aliyepita aliondolewa kwa nguvu
Kumhisi mtu yoyote au kumshuku mtu yoyote is your right, lakini kumtaja hadharani kwa majina huyo unayemhisi, is not right unless una ushahidi usiotia shaka, na ukiitwa kuthibitisha, utathibitisha pasipo kubabaika wala kujiuma umma.
Jamaa hajui mpaka muda huu ashike kipi aache kipi akiangalia Nyuso za watu wake anao waomba kura ndo anachoka mwili na akili.Sijui kama siku ya kesho itaisha salama kwa ITV. Mwenendo wa Campaign unaonyesha JPM kachoka na anaongea ongea tu, nimeanza kuelewa kwanini JPM anamuhofia sana Lissu
Hakika, Tume inasema wamejiandikisha watu m29, maana yake nusu ya watanzania wamejiandikisha kupiga kura, tunakaribia kufikia m60.Mpaka sasa keshaibiwa kura ml10.
Yule anaezunguka na wasanii wote, anajijua hana nondo wala mvuto.Kwanini hamtaki mjadala wa wagombea ili sisi wananchi tujue nani ana nondo na nani ana plasitik
Hebu tujifikirishe, hakuna nchi duniani ambayo wapigakura waliojiandikisha ikafika nusu ya idadi ya watu? Vinginevyo tume imeandaa kura za maruhani kwa aliyewateua.Hakika, Tume inasema wamejiandikisha watu m29, maana yake nusu ya watanzania wamejiandikisha kupiga kura, tunakaribia kufikia m60.
Sijui hili linawezekaje!!!!!
Unaambiwa watu wengi wamevutiwa kusomea sheria kutokana na lisuBINAFSI NIMEMKUBALI SANA. KUMBE AKITULIA ANASHUSHA VITU SANA.
NIMEPENDA SAANA REJEA ZAKE NA EXPOSURE, HAPANIKI. HAKI HUINUA TAIFA!
NIKIPATA MTOTO WA KIUME NITACOPY JINA HILI NA KUMBATIZA KIKATOLIKI!
Kwa hiyo unaamani angalao pachimbike.Fikiri kwanza.Kwani kura zishaibiwa marangapi na hapakuchimbika shimo?
Mbona mlipigwa pini kufanya siasa miaka mitano na hapakuchimbika?
Hamasa tu za kwenye mitandao hamna lolote ni ushuzi tu.
Ameandika wakati moyo unamuuma! Naamini alipokua anasikiliza roho ilikua karibu iachane na mwili... Tatizo sio ukada wake bali ni "UKABILA".Yaani leo mwandishi unampangia cha kuongea Mwanasheria