Hongera Jacob kwa kupambana kwa jasho na damu na kufanikiwa kujenga kasri lako; watu kama ninyi ni vigumu kununulika na watawala

Wakati Bon Yai akiendelea kushamiri kiuchumi bila kuiba cha mtu , Kitila Mkumbo anazidi kutegemea salary na posho kuendesha maisha yake.[emoji419][emoji375]
 
Unasema?
Bony Yai anatarajiwa kuchukua Ubunge wa Ubunge mwakani.
Embu sokapo apa.
 
Nchi hii kuna maghorofa mangapi. Nayo si yamejengwa na watu? Cha ajabu kwa uliowataja?
 
Nyumba iko wapi? Weka picha tuione.
 
Jacob hajasubiri Katiba mpya wala Tume huru ya uchaguzi kuboresha maisha yake

Jacob hakusbiri CCM itoke madarakani kuimarisha uchumi wake

Vijana muigeni Jacob
Lakini alikuwa mayor na maisha yake yameboreka vya kutosha unafikiri kwanini hakujenga kabla hajawa Mayor?
 
Harafu mwijaku anasema eti ana nyumba ......!!!
 
Chawa bhana.

Ungemsifia tu jamaa yako bila kukandia wengine kwa vile pengine harakati zao hawaweki tu mitandaoni hivyo huzijui.

Kabla ya umeya huyo jamaa alikuwa na nini?
Well said.
 
Jumba hili hapa ila kumbuka huyu bon yai alishapata kuwa mayor na diwani so as a. Moyar anakuwa na madili makubwa mno

Hvyo yai pekee halitoshi kukupa ghorofa Kama Hilo bill back up ya maana nyuma yake

View attachment 2930656
Watu wajinga yaani mtu mweny miaka zaidi ya 40 na alikuwa kweny madili ya uongozi miaka kibao ,kujenga nyumba kama hiyo wanashangaa wakati ni kawaida.

Iyo nyumba ina thamani kama akimiliki kijana wa chini ya miaka 35 ,30.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…