OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Daah inabidi nichangamke kabla sijafika 40. Niwe na mjengo mkali nipostiwe hata na watu wa kijijini kwetu tuJumba hiloo View attachment 2930658
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah inabidi nichangamke kabla sijafika 40. Niwe na mjengo mkali nipostiwe hata na watu wa kijijini kwetu tuJumba hiloo View attachment 2930658
Wakati Bon Yai akiendelea kushamiri kiuchumi bila kuiba cha mtu , Kitila Mkumbo anazidi kutegemea salary na posho kuendesha maisha yake.[emoji419][emoji375]Kuna mwizi serikalini ameishia kumiliki mademu wengi kwa sababu anajua akijenga au kuwekeza ipo siku atakamatwa kwa wizi.
Wapo viongozi wa kisiasa wamefanya nchi kama shamba na wanawekeza fedha nje ya nchi
Kijana BoN Yai alipokoseshwa ubunge aliamua kwa dhati kuingia kwenye ufugaji. Amefanya business yake kwa moyo mmoja na akitoa ajira kwa watanzania wengi. Leo hii anasherekea mafanikio yakujituma kwake.
Wakati Bon Yai akiendelea kushamiri kiuchumi bila kuiba cha mtu , Kitila Mkumbo anazidi kutegemea salary na posho kuendesha maisha yake. Kitila Mkumbo hana ajira anayotoa kwa Watanzania badala yake anaweza akazima ndoto za Watanzania wengi akifeli kuweka mipango mizuri ya kiuchumi.
Bony Yai anatarajiwa kuchukua Ubunge wa Ubunge mwakani akiwa anajiweza kiuchumi na siyo tegemezi. Hii ni wake-up call kwa vijana wengi kujikita katika kujitegemea kuepukana na uchawa.
Kama ambavyo Bony amefanya , namwona kijana mwingine Ally Hapi akifuata nyayo za wajasiriamali na kuungana wakulima
Aina hii ya viongozi wanaweza wakatafakari sawasawa tofauti na wale wanaotegemea kulishwa na kupachikwa kwenye miradi ya ufisadi.
Bony Yai hii nyumba yako inapaswa kuwekwa kwenye makumbusho ya Taifa kama Ishara ya kuwakumbusha CCM kuwa kuiba kura siyo mwisho wa maisha, ni mwanzo wa harakati mpya.......big up Savimbi
Fwala kweli kweli Sasa Vilema au akigongwa na boda ataingiaje ktk mjengo?Jumba hili hapa ila kumbuka huyu bon yai alishapata kuwa mayor na diwani so as a. Moyar anakuwa na madili makubwa mno
Hvyo yai pekee halitoshi kukupa ghorofa Kama Hilo bill back up ya maana nyuma yake
View attachment 2930656
AhsanteHii ndiyo CHADEMA na maendeleo ya watu. Siyo kile chama dola kikongwe kinahubiri uzuri wa umasikini na unyonge wa waTanzania
Nchi hii kuna maghorofa mangapi. Nayo si yamejengwa na watu? Cha ajabu kwa uliowataja?Kuna mwizi serikalini ameishia kumiliki mademu wengi kwa sababu anajua akijenga au kuwekeza ipo siku atakamatwa kwa wizi.
Wapo viongozi wa kisiasa wamefanya nchi kama shamba na wanawekeza fedha nje ya nchi
Kijana BoN Yai alipokoseshwa ubunge aliamua kwa dhati kuingia kwenye ufugaji. Amefanya business yake kwa moyo mmoja na akitoa ajira kwa watanzania wengi. Leo hii anasherekea mafanikio yakujituma kwake.
Wakati Bon Yai akiendelea kushamiri kiuchumi bila kuiba cha mtu , Kitila Mkumbo anazidi kutegemea salary na posho kuendesha maisha yake. Kitila Mkumbo hana ajira anayotoa kwa Watanzania badala yake anaweza akazima ndoto za Watanzania wengi akifeli kuweka mipango mizuri ya kiuchumi.
Bony Yai anatarajiwa kuchukua Ubunge wa Ubunge mwakani akiwa anajiweza kiuchumi na siyo tegemezi. Hii ni wake-up call kwa vijana wengi kujikita katika kujitegemea kuepukana na uchawa.
Kama ambavyo Bony amefanya , namwona kijana mwingine Ally Hapi akifuata nyayo za wajasiriamali na kuungana wakulima
Aina hii ya viongozi wanaweza wakatafakari sawasawa tofauti na wale wanaotegemea kulishwa na kupachikwa kwenye miradi ya ufisadi.
Bony Yai hii nyumba yako inapaswa kuwekwa kwenye makumbusho ya Taifa kama Ishara ya kuwakumbusha CCM kuwa kuiba kura siyo mwisho wa maisha, ni mwanzo wa harakati mpya.......big up Savimbi
Nyumba iko wapi? Weka picha tuione.Kuna mwizi serikalini ameishia kumiliki mademu wengi kwa sababu anajua akijenga au kuwekeza ipo siku atakamatwa kwa wizi.
Wapo viongozi wa kisiasa wamefanya nchi kama shamba na wanawekeza fedha nje ya nchi
Kijana BoN Yai alipokoseshwa ubunge aliamua kwa dhati kuingia kwenye ufugaji. Amefanya business yake kwa moyo mmoja na akitoa ajira kwa watanzania wengi. Leo hii anasherekea mafanikio yakujituma kwake.
Wakati Bon Yai akiendelea kushamiri kiuchumi bila kuiba cha mtu , Kitila Mkumbo anazidi kutegemea salary na posho kuendesha maisha yake. Kitila Mkumbo hana ajira anayotoa kwa Watanzania badala yake anaweza akazima ndoto za Watanzania wengi akifeli kuweka mipango mizuri ya kiuchumi.
Bony Yai anatarajiwa kuchukua Ubunge wa Ubunge mwakani akiwa anajiweza kiuchumi na siyo tegemezi. Hii ni wake-up call kwa vijana wengi kujikita katika kujitegemea kuepukana na uchawa.
Kama ambavyo Bony amefanya , namwona kijana mwingine Ally Hapi akifuata nyayo za wajasiriamali na kuungana wakulima
Aina hii ya viongozi wanaweza wakatafakari sawasawa tofauti na wale wanaotegemea kulishwa na kupachikwa kwenye miradi ya ufisadi.
Bony Yai hii nyumba yako inapaswa kuwekwa kwenye makumbusho ya Taifa kama Ishara ya kuwakumbusha CCM kuwa kuiba kura siyo mwisho wa maisha, ni mwanzo wa harakati mpya.......big up Savimbi
Hata huyo ex mayor wa chadema ni mwizi piaCCM ni wezi , kwanini tunapinga ukweli.
Liko wapi?Dah bonge la jumba
Lakini alikuwa mayor na maisha yake yameboreka vya kutosha unafikiri kwanini hakujenga kabla hajawa Mayor?Jacob hajasubiri Katiba mpya wala Tume huru ya uchaguzi kuboresha maisha yake
Jacob hakusbiri CCM itoke madarakani kuimarisha uchumi wake
Vijana muigeni Jacob
Wenye sonona tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HIvi mnakwama wapi kuambatanisha habari na picha?
Ninaona wenye sonona wakisifia immaginary house bila kujua unawaingiza chaka
Mwijaku angejenga kama hili mjini tungehama
Well said.Chawa bhana.
Ungemsifia tu jamaa yako bila kukandia wengine kwa vile pengine harakati zao hawaweki tu mitandaoni hivyo huzijui.
Kabla ya umeya huyo jamaa alikuwa na nini?
Simu zenu feki hazina Google?Utafikir wooote sisi tuna kaz ya kumfuatilia Bony tuu.
Watu wajinga yaani mtu mweny miaka zaidi ya 40 na alikuwa kweny madili ya uongozi miaka kibao ,kujenga nyumba kama hiyo wanashangaa wakati ni kawaida.Jumba hili hapa ila kumbuka huyu bon yai alishapata kuwa mayor na diwani so as a. Moyar anakuwa na madili makubwa mno
Hvyo yai pekee halitoshi kukupa ghorofa Kama Hilo bill back up ya maana nyuma yake
View attachment 2930656
unataka umsingizie amejenga eneo la open space, hamshindwi ninyi!!Hilo jumba liko wapi?
Sio ya kawaida hiyo ni watanzaia wangapi wenye uwezo wa kumiliki nyumba kama hiyoMboni ya kawaida yaan ndio Mnaita Kasri mmewahi kuyaona makasri nyinyi au ni ushamba?