Hongera JamiiForums, Sauti yenu Imefika Wizara ya Elimu kuhusu Watoto kutokufunga Shule Likizo

Nakweli mkuu watoto wasasa wanakosa mda kabisa kujifunza mambo mengine ndohao baadae tunawambia wakajiajiri

Sent from my TECNO WX4 using JamiiForums mobile app
 
Ni sahihi ila Walioweka likizo sio Wajinga, watoto wanahitaji mapumziko ujue. Kuna extra curricular activities. Sasa kuwashindilia tu masomo mwanzo mwisho ni kuwakaririsha, which is not health at all
Shule nayo inaboa kama ilivyo likizo kazini. Watoto wanachoka pia na hizi shule za hapa mjini mtoto anaamka saa 11 alfajiri anarudi saa 11 jioni lazima achoke.

No wonder wengine wanaamua kukariri tu na wengine hata hawahangaiki hata kukariri kwanza masomo lukuki mtoto anabeba begi mpaka unamuonea huruma. Tena afadhali sisi ambao kidogo tumewalipia school bus sasa wale wa kayumba kupanda daladala mpaka unawaonea huruma.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Dogo lika fight kambi
 
H
Hao Walimu wenyewe wanaangalia mshiko tu
 

Jamani kuna shule standard six wameingia boarding likizo hii[emoji119][emoji119]

Maandalizi ya kuingia class 7
 
Nilipokuwa napanda daladala kwakweli nilikuwa nikimuona mtoto ametoka shule wakati mwingine nilikuwa nawaachia seat wakae tu. Wanachoka sana na ni wadogo kuwaexpise kwenye hizi shida basi tu uwezo wa mzazi unakuta ni mdogo.
Wanachoka sana, hizi shule haziwajengi watoto kuwa Na uwezo wa kujitegemea. Tunaua vipaji vingi sana
 
Wadau huyu Mathias I Mvula anamawasiliano ya kimapenzi na mke wa rafiki yangu tunamtafuta kwa yeyote aliepo Dodoma tafadhari mpaka alishawahi pigiwa simu kuonywa na bado akaendelea yakihitajika na mengine tutayafikisha kwawaziri husika huyu mwanamke yupo morogoro shule za manispaa, aliwahi kumfundisha Ilonga chuo cha walimu kilosa. Popote ulipo Mathias I Mvula ujipange haswaa kwa hilo.
 
Wanachoka sana, hizi shule haziwajengi watoto kuwa Na uwezo wa kujitegemea. Tunaua vipaji vingi sana
Kiukweli watoto hawapati uwezo wa kufanya mambo ya ziada so suala la likizo ni muhimu sana at least wapate kufanya extra curricular activities.

Hapo mzazi inabidi kuwa makini na maendeleo ya mtoto ili kumuendeleza hata umlipie kozi za judo au tennis au uchoraji au muziki otherwise unakuta Mtoto anamaliza shule hata kipaji chake hujui maana amelundikiwa masomo tu as if shule ni kusoma tu.

Shule pia kuna kukua, kufahamiana na Mambo kibao. Waweke hata mapumziko kipindi cha kupiga soga tu anaingia mwalimu anawapigisha soga tu anawapa experience za maisha na kuwamotivate kwenye mambo mbalimbali.

Hizi shule ndio zimetupatia wenza wa maisha, partners wa kibiashara , washkaji wanaokupa channel za deal na Mambo kibao ambayo ni nje na masomo pia.
 
Sasa mdau Waziri ndiyo atamfanya nini Bwana Mathias?Hapo kuna namna mbili tu kumdhibiti.Weka mtego akijaa kwenye frem kaisha au nenda Congo kule kuna wataalamu wachache wanamroga haitasimama dede maisha. Ila uwe makini matapeli wengi pia
 
Ndio nani huyo? Nipe kazi ya kumfumania, nitaifanya kwa weledi mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…