Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Acha undezi wewe mwanamke hakuhusu unavaa kibwebwe.Sio mke wangu mke wa mwanetu, lengo ilikuwa kumjulisha na wadau zake namna ya kumfikia imeshajulikana
MATAGA wanasemaje??Hivi nchi nyingine wana hii kitu au ni made in Tanzania????
Hahahahaha unawasagia kunguniNaomba kujua kazi ya hao wadhibiti ubora. Katika halmashauri ya Tanga Jiji wapowapotu hawajulikani kwa walimu,hawafiki mashuleni,hawafuatilii miradi ya ujenzi.
Wadhibiti ubora Tanga waondolewe wakapangiwe vipindi kwanza kuna uhaba wa walimu
Mtoto apumzike hayo mengine yote Ni kumchosha tu .Mimi nimelipishwa 15000 KWA wiki tatu za likizo, wiki ya nne watakuwa nyumbani. Wanaingia saa mbili asubuhi wanatoka saa sita mchana. Wazazi tulikubaliana suala hili kupitia kikao rasmi . Suala hili Linasaidia sana kwani mtoto anapata muda wa kusoma nusu siku na kuendelea na mapumziko na sio siku nzima anazurula tu au anakaa kucheza PS 5.
Mwambie Jamaa ako hivi "if seeking for revenge dig two graves ,one for yourself"Huyo mvula jamaaa ana screenshots zake zote na by then jamaa alihack namba za mkewe jamaa huwezi jua kama hio ishu anayo kichwani, anaendelea na maisha yake anasema anasubiria muda sahihi na sehemu sahihi
Wengi huwa wanapangiwa sio kuwa wanapendaIla walimu watu wa ajabu sana, badala wale likizo yao, wao ni kujiongezea siku za kufundisha tu.
Jamani kuna shule standard six wameingia boarding likizo hii[emoji119][emoji119]
Maandalizi ya kuingia class 7
Sio mke wangu mke wa mwanetu, lengo ilikuwa kumjulisha na wadau zake namna ya kumfikia imeshajulikana
JF rahaa sana!!haya Mr Mvula Kama umesikia jipange huko![emoji3][emoji38][emoji3][emoji38]
Hivi Tanga kuna Nini!? Mbona kila sector inalalamikiwa!? Wahusika pls ebu tupieni jicho hapo Tanga,kabla hakujawaka Moto, maana tunaona kuna Moshi wafukuta huko!!Naomba kujua kazi ya hao wadhibiti ubora. Katika halmashauri ya Tanga Jiji wapowapotu hawajulikani kwa walimu,hawafiki mashuleni,hawafuatilii miradi ya ujenzi.
Wadhibiti ubora Tanga waondolewe wakapangiwe vipindi kwanza kuna uhaba wa walimu
Kwa alivyo revenge ni must hayo mengine apambane nayo kama hirizonMwambie Jamaa ako hivi "if seeking for revenge dig two graves ,one for yourself"
Tuna screenshots zake aliomba hadi atumiwe kisimi cha mke wa jamaa. Na hilo ni onyo au angalizo au ushauri? Na msingi wako ni nini hasa, mtayarishe kwa utayari yapo mengi chini ya carpet, naishia hapa kuhusu huyu Mathis I Mvula.Unanunua ugomvi wa mwanao? Be careful, kuwa na mipaka. Usiingilie saaaana mambo binafsi ya watu hata kama ninyi ni marafiki. Kuwa na kiasi, ni hayo tu. [emoji120]
Wengi huwa wanapangiwa sio kuwa wanapenda
Mkurugenzi wa shule atawalzamisha wafundishe likizo shule ipae kitaaluma wapate ujiko .
Au afisa elimu atawalazimisha wafundishe ili wilaya yake ipae kitaaluma ale ujiko mkoani au wizarani .
Upo sahihi kabisa. Hakuna muda wa kumfundisha kitu kingine zaidi ya kukariri tu. Akimaliza darasa la saba anaunga pre-form one. Akimaliza form form anaunga pre-form five. Ni pre-university tu imekosekanaHata hii ya ukosefu wa ajira na vijana kukosa ubunifu, ukiangalia kwa kina imrchangiwa na huu utaratibu haramu wa kusoma siku nzima, mwaka mzima.
Nikiwa primary kuna wanafunzi walikuwa wabovu darasani, ila walikuwa wajasiriamali wazuri sana kama kuuza matunda, kupika na kuuza maandazi, n.k. Kwa sasa watoto hawapati muda wa kukifunza ujuzi wowote. Wanalazimishwa kutafuta thamani ya X.
Hata mzazi hapati muda wa kumrisisha mtoto misingi halisi ya maisha ya familiar kama kilimo, uvuvi, ufugaji, n.k.
Kwani hujasikia wahitimu wengi wakitafuta mbegu ya cake waoteshe bustanini ?Kwamba madogo wengine wanajua spinachi inachimbwa kama viazi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kakuharibia dili nini mwalimu. Usimkasirikie . Anatimiza wajibu wake kitaalamu !!Wadau huyu Mathias I Mvula anamawasiliano ya kimapenzi na mke wa rafiki yangu tunamtafuta kwa yeyote aliepo Dodoma tafadhari mpaka alishawahi pigiwa simu kuonywa na bado akaendelea yakihitajika na mengine tutayafikisha kwawaziri husika huyu mwanamke yupo morogoro shule za manispaa, aliwahi kumfundisha Ilonga chuo cha walimu kilosa. Popote ulipo Mathias I Mvula ujipange haswaa kwa hilo.