Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo unafanya waafrika tuonekane wajinga.hatupimi kiongozi mzuri kwa ustadi wa lugha mbali uchapakazi wake.kwa uchapakazi jamaa ni takataka.Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Ninasikitika sanaHivi watu wa hii nchi wana matatizo ya kiakili?
Makamba jr ni genius, wagalatia na sukuma gang ndio wanamchukiaWadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
We juma lokolole uliyepata ufaulu bora una nini zaidi yakuoza mm/knduJanuary huyu alifeli SECONDARY YA GHALANOS
We upo wapi hujaona kule Kenya. Anajitahidi sana kwa kweli na atatufikisha mbali.Uwezo wake wa kuzungumza kingereza, umekua na mchango gan kujenga Nchi na kuleta unafuu Kwa Wananchi?.
WACHINA wangejikita kuzungumza kingereza, basi wasingeweza hata kugusa sayari ya MARS .
Hongera sana sana! Umefanikiwa sana kumtukanisha Waziri!!Ndiyo huyo aliye Waziri mambo ya nje
Uko sahihi 100%. Sio mshabiki wake lakini ukweli utabaki kuwa ukweli. Prof. Kabudi angekua waziri basi kidogo contest ingekuwa ngumu kidogo ila January hana mshindani!. Nafuatilia hotuba zake na mazungumzo yake ya kidoplomasia!Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Mmmh! Kuna Cha ajabu hapo kwani!mbona na sisi tuliosoma Kayumba sekondari schools tuko vizuri tu kwenye hiyo lugha ya mkoloni! Ila ninachojua kuhusu Makamba anasoma sana vitabu...yuko vizuri kwenye lugha na maudhui.Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Never!!Tumkosoe Makamba tusimkosoe. Sio kwamba nampigia debe kwani Kuna vitu tunapishana lakini ndiyo rais wetu 2030.
2025 atakua waziri mkuu.
Hongera January.
Hivi zile b2 alizopiga huko NSSF alizirudisha?Kwa nini anataka NSSF kujenga maghorofa Kenya badala ya Tanzania??
Wacha ushamba wewe hata ukiwa mpishi wa mzungu unaongea kiingereza vizuri tu!Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Kumbe kaanza wizi kitambo tuThread 'January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo' January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo
Tena atakata miuno ya hatariEeh yaani ww kwa akili hizi za kumsifia jamaa, siku akikuomba utampa
Hatumchukii bali matendo yake hatuyapendiMakamba jr ni genius, wagalatia na sukuma gang ndio wanamchukia
Jamaa kazingua, unamsifia mwanaume mwenzio et anaongea vizuri?Tena atakata miuno ya hatari
Machawa wote ni mashoga hili halina ubishiJamaa kazingua, unamsifia mwanaume mwenzio et anaongea vizuri?