Pre GE2025 Hongera January Makamba, Waziri mwenye weledi mkubwa sana kuzungumza na kuongea lugha ya Kiingereza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni

Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa

Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu

Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao

Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!

Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Wewe ndo unafanya waafrika tuonekane wajinga.hatupimi kiongozi mzuri kwa ustadi wa lugha mbali uchapakazi wake.kwa uchapakazi jamaa ni takataka.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni

Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa

Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu

Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao

Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!

Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Makamba jr ni genius, wagalatia na sukuma gang ndio wanamchukia
 
Kwakweli mkoloni alifanya kosa sana kuondoka barani Africa ni wazi kabisa tulistahili kutawaliwa mpaka mwisho wa uzao wetu.

Ngozi nyeusi ni nyeusi tu kwakweli.
 
Uwezo wake wa kuzungumza kingereza, umekua na mchango gan kujenga Nchi na kuleta unafuu Kwa Wananchi?.

WACHINA wangejikita kuzungumza kingereza, basi wasingeweza hata kugusa sayari ya MARS .
We upo wapi hujaona kule Kenya. Anajitahidi sana kwa kweli na atatufikisha mbali.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni

Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa

Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu

Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao

Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!

Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Uko sahihi 100%. Sio mshabiki wake lakini ukweli utabaki kuwa ukweli. Prof. Kabudi angekua waziri basi kidogo contest ingekuwa ngumu kidogo ila January hana mshindani!. Nafuatilia hotuba zake na mazungumzo yake ya kidoplomasia!
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni

Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa

Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu

Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao

Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!

Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Mmmh! Kuna Cha ajabu hapo kwani!mbona na sisi tuliosoma Kayumba sekondari schools tuko vizuri tu kwenye hiyo lugha ya mkoloni! Ila ninachojua kuhusu Makamba anasoma sana vitabu...yuko vizuri kwenye lugha na maudhui.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni

Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa

Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu

Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao

Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!

Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Wacha ushamba wewe hata ukiwa mpishi wa mzungu unaongea kiingereza vizuri tu!
 
Back
Top Bottom