Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri


P 3126 kns nyayo

P 3127 kns umoja
KNS Nyayo and Umoja foreground, Harambee II in the middle and either Tana/Galana in the background

P 3131 kns shupavu.
P 101 class inshore patrol vessels
Btw Sijaweka jasiri kwa hio list ju naona inaumiza watu sana
 

Attachments

  • images (19).jpeg
    15.6 KB · Views: 3
  • images (21).jpeg
    19 KB · Views: 4
  • images (20).jpeg
    22.1 KB · Views: 3
Nyinyi kwani mna destroyers ngapi?🤣🤣
 
Kama madai yako ni kweli basi wale maharamia wa Kisomali waliosumbua pwani ya Mombasa hadi Red sea wasingeshindwa kuja upande wa kusini kufanya uharamia wa kuteka meli ktk pwani yetu.

Vv
 
Hizo meli zote ni mitumba, zilinunuliwa zamani sana na sasa hivi hazifanyi Kazi. Meli zinazofanya Kazi ni zile zilizokuwepo katika Mashujaa Day celebration.

Ninarudia, Kenya haina meli mpya na inayotumia technology ya kisasa. Meli kubwa ni moja tu, MV- Jasiri pekee.

Tanzania tuna meli kubwa na za kisasa mbili, na meli ndogo na za kisasa zenye uwezo wa kubeba " Amphibious tanks. Ninyi hamuwezi kununua amphibious tank hata moja, Hahahaha, Hahahaha.
 
For your information very few countries in the world use amphibious tanks .
 
On a serious note, kwanini mapolisi wa Kenya wako dhaifu sana!?

Hata uniforms zao za hovyo hovyo sana. Wengine wanavaa mpaka raba mtoni!
 
Ombeni mechi tuone nani kenge baina yetu, hivi Tanzania mna jeshi la wanamaji kweli? Au meli za kivita hata moja.
Najua mnao wale wapasua matofali wa maonyesho, ila pia nakumbuka kuna kipindi mlifanya maonyesho ya kulipua minazi kwenye fukwe...hehehe
Jibu swali we mbugila

Ova
 
ha ha Bongolalas always coming to dissaprove KDF capabilities with empty words... mara ..hamna, hamuwezi.. sisi tuna uwezo wa..
leteni data / pictures / videos ...
Waliwasaidia sana kwenye uokoaji???? Ule

Ova
 

Ni jeshi lenu au base ya Marekani ndio mnajivunia nayo nyie kenge
 
Leta ushahidi hapa, acha kuhirodhesha mambo bila ushahidi ili kujiliwaza. Hiyo MV Jasiri ni "very old technology", na Kenya meli mnayotegemea kupiga mizinga ni hiyo moja pekee, zingine zote ni ndogo na chakavu.
We endelea kutroll..yaonekana walipwa kufanya ivo
 
Kenya mumeshindwa hata kununua jet fighters za kisasa badala yake bado mnatumia F-5, very old model, mtaweza kununua meli kubwa ya kivita ambayo ni mpya?, maendeleo kununua used weapons ndio uwezo wenu ulipoishia.
Off topic kabisa! Twaongelea navy na wewe waleta Mambo ya airforce
 
Meli second hand donated by Chinese ndio mnasema ni morden? Smaller Kenya's smaller warships. Hahaha
 
Yaani unaleta link that contradicts yourself?! Link yako imesema they were built in spain brand new in 1997. The weapons systems were upgraded in 2016 in your link. Sasa unaonyesha meli za Kenya ziko mzuri sana.
 
Yaani unaleta link that contradicts yourself?! Link yako imesema they were nuilt in spain brand new in 1997. The weapons systems were upgraded in 2016 in your link. Sasa unaonyesha meli za Kenya ziko mzuri sana.
They were not built from scratch the two ships were research ships before being bought and converted to a military use by KDF! Look at the way they r old!
 
For your information very few countries in the world use amphibious tanks .
Nchi zote kubwa duniani na zenye nguvu za kivita, lazima zimiliki Amphibious tanks. Huwezi kushindwa vita vya ufukweni bila kutumia "Amphibious landing" kama huna hizo tanks, unless adui wako ni very weak, hana jeshi na vifaa vya kisasa
 
Off topic kabisa! Twaongelea navy na wewe waleta Mambo ya airforce
Nimesema kama Hamna uwezo wa kununua hata ndege za kisasa ambazo ni "far cheap" ukilinganisha na meli ya kivita, hamuwezi kununua meli mpya. Meli moja ya kivita mpya, ni sawa na kununua ndege mpya 40.
 
Nimesema kama Hamna uwezo wa kununua hata ndege za kisasa ambazo ni "far cheap" ukilinganisha na meli ya kivita, hamuwezi kununua meli mpya. Meli moja ya kivita mpya, ni sawa na kununua ndege mpya 40.
Bado uko off topic! Lakini acha nikuelimishe kidogo ndugu... Ndege za kivita huwa hazinunuliwi Kama mandazi kwa duka,unapaswa kufanya lobbying ambayo yaweza chukua muda mrefu. Kenya Sasa ivi inapanga kununua ndege Kati ya SAAB Gripen ama F16/ F14 tomcat.

Anyway, Tz mna jet za Aina gani ambazo ni hatari kuliko za Kenya?
 
Nimesema kama Hamna uwezo wa kununua hata ndege za kisasa ambazo ni "far cheap" ukilinganisha na meli ya kivita, hamuwezi kununua meli mpya. Meli moja ya kivita mpya, ni sawa na kununua ndege mpya 40.
Tz sasa wako na uwezo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…