Sherlock
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 1,375
- 1,362
P 3126 kns nyayo
P 3127 kns umoja
P 3131 kns shupavu.
P 101 class inshore patrol vessels
Btw Sijaweka jasiri kwa hio list ju naona inaumiza watu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi kwani mna destroyers ngapi?🤣🤣Hahahaha, weka picha hapa tuzione, hizo zote hazifanyi Kazi, zilishaacha kutumika ndio sababu mlilazimika kwenda kununua MV Jasiri na Shupavu ili kuchukua nafasi ya hizo vyuma chakavu.
Kenya mpo na meli moja tu ambayo ina uwezo wa kupiga mizinga ambayo ni MV Jasiri, vimeli vingine vyote ni vidogo havina uwezo wa kupiga mizinga. Hahahaha, Hahahaha.
Kama madai yako ni kweli basi wale maharamia wa Kisomali waliosumbua pwani ya Mombasa hadi Red sea wasingeshindwa kuja upande wa kusini kufanya uharamia wa kuteka meli ktk pwani yetu.Jibu nimelipata kumbe hamuna meli za kivita, ila mnazo mbili za doria za kuwafukuzia wezi wa samaki kwenye eneo lenu la bahari, hizi mbili zilizinduliwa na rais Kikwete. Hivyo hamna haja ya kuomba mechi maana tutakua tunapigana wenyewe kwenye uwanja wa mapambano, ni kama timu moja iingie kwenye uwanja wa mpira na kucheza dhidi yake yenyewe.
Kweli Kenya kiboko, kuna baadhi ya haya mambo wengi hatuyajui, hadi ufuatiie ndio ujue uwezo tulionao dhidi ya nyau na kenge wote.
![]()
Tanzanian navy commissions new vessels - defenceWeb
Tanzanian president Jakaya Kikwete has commissioned into service two new warships supplied by China’s Poly Technologies. The vessels, TNS Mwitongo (P77) and TNS Msoga (P78), were commissioned on April 28 at Kigamboni Command’s base in Dar es Salaam. Kikwete said strengthening the navy’s...www.defenceweb.co.za
Hizo meli zote ni mitumba, zilinunuliwa zamani sana na sasa hivi hazifanyi Kazi. Meli zinazofanya Kazi ni zile zilizokuwepo katika Mashujaa Day celebration.View attachment 1240508View attachment 1240500
P 3126 kns nyayo
View attachment 1240512
P 3127 kns umoja
View attachment 1240515KNS Nyayo and Umoja foreground, Harambee II in the middle and either Tana/Galana in the background
View attachment 1240518
P 3131 kns shupavu.View attachment 1240532
P 101 class inshore patrol vessels
Btw Sijaweka jasiri kwa hio list ju naona inaumiza watu sana
For your information very few countries in the world use amphibious tanks .Hizo meli zote ni mitumba, zilinunuliwa zamani sana na sasa hivi hazifanyi Kazi. Meli zinazofanya Kazi ni zile zilizokuwepo katika Mashujaa Day celebration.
Ninarudia, Kenya haina meli mpya na inayotumia technology ya kisasa. Meli kubwa ni moja tu, MV- Jasiri pekee.
Tanzania tuna meli kubwa na za kisasa mbili, na meli ndogo na za kisasa zenye uwezo wa kubeba " Amphibious tanks. Ninyi hamuwezi kununua amphibious tank hata moja, Hahahaha, Hahahaha.
Jibu swali we mbugilaOmbeni mechi tuone nani kenge baina yetu, hivi Tanzania mna jeshi la wanamaji kweli? Au meli za kivita hata moja.
Najua mnao wale wapasua matofali wa maonyesho, ila pia nakumbuka kuna kipindi mlifanya maonyesho ya kulipua minazi kwenye fukwe...hehehe
Waliwasaidia sana kwenye uokoaji???? Uleha ha Bongolalas always coming to dissaprove KDF capabilities with empty words... mara ..hamna, hamuwezi.. sisi tuna uwezo wa..
leteni data / pictures / videos ...
Jibu nimelipata kumbe hamuna meli za kivita, ila mnazo mbili za doria za kuwafukuzia wezi wa samaki kwenye eneo lenu la bahari, hizi mbili zilizinduliwa na rais Kikwete. Hivyo hamna haja ya kuomba mechi maana tutakua tunapigana wenyewe kwenye uwanja wa mapambano, ni kama timu moja iingie kwenye uwanja wa mpira na kucheza dhidi yake yenyewe.
Kweli Kenya kiboko, kuna baadhi ya haya mambo wengi hatuyajui, hadi ufuatiie ndio ujue uwezo tulionao dhidi ya nyau na kenge wote.
![]()
Tanzanian navy commissions new vessels - defenceWeb
Tanzanian president Jakaya Kikwete has commissioned into service two new warships supplied by China’s Poly Technologies. The vessels, TNS Mwitongo (P77) and TNS Msoga (P78), were commissioned on April 28 at Kigamboni Command’s base in Dar es Salaam. Kikwete said strengthening the navy’s...www.defenceweb.co.za
We endelea kutroll..yaonekana walipwa kufanya ivoLeta ushahidi hapa, acha kuhirodhesha mambo bila ushahidi ili kujiliwaza. Hiyo MV Jasiri ni "very old technology", na Kenya meli mnayotegemea kupiga mizinga ni hiyo moja pekee, zingine zote ni ndogo na chakavu.
Off topic kabisa! Twaongelea navy na wewe waleta Mambo ya airforceKenya mumeshindwa hata kununua jet fighters za kisasa badala yake bado mnatumia F-5, very old model, mtaweza kununua meli kubwa ya kivita ambayo ni mpya?, maendeleo kununua used weapons ndio uwezo wenu ulipoishia.
Meli second hand donated by Chinese ndio mnasema ni morden? Smaller Kenya's smaller warships. HahahaHizo meli zote ni mitumba, zilinunuliwa zamani sana na sasa hivi hazifanyi Kazi. Meli zinazofanya Kazi ni zile zilizokuwepo katika Mashujaa Day celebration.
Ninarudia, Kenya haina meli mpya na inayotumia technology ya kisasa. Meli kubwa ni moja tu, MV- Jasiri pekee.
Tanzania tuna meli kubwa na za kisasa mbili, na meli ndogo na za kisasa zenye uwezo wa kubeba " Amphibious tanks. Ninyi hamuwezi kununua amphibious tank hata moja, Hahahaha, Hahahaha.
Yaani unaleta link that contradicts yourself?! Link yako imesema they were built in spain brand new in 1997. The weapons systems were upgraded in 2016 in your link. Sasa unaonyesha meli za Kenya ziko mzuri sana.KNS Shujaa and Shupavu r second hand ships from Spain that for number of times had to be refitted with wepons after purchase!
The Kenyan patrol ship KNS Shujaa has returned from a 21-month midlife refit and training voyage, the Kenya Defence Forces (KDF) announced on 3 July.
![]()
Kenyan Navy ship KNS Shujaa returns after refit
The Kenyan patrol ship KNS Shujaa has returned from a 21-month midlife refit and training voyage, the Kenya Defence Forceswww.africanmilitaryblog.com
They were not built from scratch the two ships were research ships before being bought and converted to a military use by KDF! Look at the way they r old!Yaani unaleta link that contradicts yourself?! Link yako imesema they were nuilt in spain brand new in 1997. The weapons systems were upgraded in 2016 in your link. Sasa unaonyesha meli za Kenya ziko mzuri sana.
Wajichosha ya bure Babu!They were not built from scratch the two ships were research ships before being bought and converted to a military use by KDF! Look at the way they r old!
Nchi zote kubwa duniani na zenye nguvu za kivita, lazima zimiliki Amphibious tanks. Huwezi kushindwa vita vya ufukweni bila kutumia "Amphibious landing" kama huna hizo tanks, unless adui wako ni very weak, hana jeshi na vifaa vya kisasaFor your information very few countries in the world use amphibious tanks .
Nimesema kama Hamna uwezo wa kununua hata ndege za kisasa ambazo ni "far cheap" ukilinganisha na meli ya kivita, hamuwezi kununua meli mpya. Meli moja ya kivita mpya, ni sawa na kununua ndege mpya 40.Off topic kabisa! Twaongelea navy na wewe waleta Mambo ya airforce
Bado uko off topic! Lakini acha nikuelimishe kidogo ndugu... Ndege za kivita huwa hazinunuliwi Kama mandazi kwa duka,unapaswa kufanya lobbying ambayo yaweza chukua muda mrefu. Kenya Sasa ivi inapanga kununua ndege Kati ya SAAB Gripen ama F16/ F14 tomcat.Nimesema kama Hamna uwezo wa kununua hata ndege za kisasa ambazo ni "far cheap" ukilinganisha na meli ya kivita, hamuwezi kununua meli mpya. Meli moja ya kivita mpya, ni sawa na kununua ndege mpya 40.
Tz sasa wako na uwezo???Nimesema kama Hamna uwezo wa kununua hata ndege za kisasa ambazo ni "far cheap" ukilinganisha na meli ya kivita, hamuwezi kununua meli mpya. Meli moja ya kivita mpya, ni sawa na kununua ndege mpya 40.