joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Very old technology, sasa mtawezaje kupigana vita ya " digital & lesser guided", kama bado mnanunua vifaa vyenye " old technology"?, kwanini mnapenda kununua used equipments?haha while your biggest is 63 m kns Nyayo is 60meters jasiri iko ligi nyingine standing 85meters
Msikilize speaker wa bunge la Tanzania wakati anazungumza kuhusu Juguar kule Bungeni, alisema " kama watajaribu kumgusa mtanzania mmoja, kesho yake watatukuta tunakunywa chai Nairobi. Hiyo ni dalili kwamba tunalijua vizuri sana jeshi lenu, na tunalidharau sana, hata KDF wenyewe wanajua hivyo. Ombeni mechi muone mziki wake.Safi sana, waombe mechi ya kirafiki...
Are you talking about that lazy and poor army?Msikilize speaker wa bunge la Tanzania wakati anazungumza kuhusu Juguar kule Bungeni, alisema " kama watajaribu kumgusa mtanzania mmoja, kesho yake watatukuta tunakunywa chai Nairobi. Hiyo ni dalili kwamba tunalijua vizuri sana jeshi lenu, na tunalidharau sana, hata KDF wenyewe wanajua hivyo. Ombeni mechi muone mziki wake.
The only Army in Africa with records of winning many wars and training many Armies in Africa, including Uganda, Mozambique, Zimbabwe, Angola, Namibia and "Inkonto nswise of South Africa".Are you talking about that lazy and poor army?
Heheee...na mbona hamjawai jihusisha kwenye peace keeping missions Kama Kenya na EthiopianThe only Army in Africa with records of winning many wars and training many Armies in Africa, including Uganda, Mozambique, Zimbabwe, Angola, Namibia and "Inkonto nswise of South Africa".
The only army that owns Amphibious tanks in Afrika.
Tupo na tumeshiriki UN peace missions nyingi kuliko Kenya, tupoHeheee...na mbona hamjawai jihusisha kwenye peace keeping missions Kama Kenya na Ethiopian
Nyie sio wa kushindana na sie, Kunya boys pigeni hadithi uko kwenu kwenye vijiwe tianeni ujinga uko na msilete hapa, Tumepigana Vita vingi na hakuna tuliyoshindwa,Kenya navy is the biggest and the best equiped navy from cape to Cairo hapo hakuna ubishi.
hahaa I can see you are now trying to shift the goal post.btw hizo meli zenu zote ni second hand hakuna ata moja mpya .Very old technology, sasa mtawezaje kupigana vita ya " digital & lesser guided", kama bado mnanunua vifaa vyenye " old technology"?, kwanini mnapenda kununua used equipments?
Jasiri ni meli ndogo sana ukilinganisha na hizi meli zetu, in all dimensions, lete details za Jasiri tulinganishe na hizi " Brand new with modern technology war ships". (please give us links)
Mna meli ngapi?Very old technology, sasa mtawezaje kupigana vita ya " digital & lesser guided", kama bado mnanunua vifaa vyenye " old technology"?, kwanini mnapenda kununua used equipments?
Jasiri ni meli ndogo sana ukilinganisha na hizi meli zetu, in all dimensions, lete details za Jasiri tulinganishe na hizi " Brand new with modern technology war ships". (please give us links)
Tupo na tumeshiriki UN peace missions nyingi kuliko Kenya, tupo
1) Lebanon
2)Darfur
3)CAR
4)DRC
Tulishiriki
1)Liberia
2)Commoro
Kenya mlishiriki South Sudan, mkashindwa mkafukuzwa na Ban Ki- moon.
Let mpya za Tanzania Kaka badala ya kufyatua mdomo Kama samaki
Excuses excuses..mbona inventory ya USA yajulikana..kipi Cha maanan na jeshi lenu??Tanzania takwimu za jeshi hazipatikani kiholela kama hao Malaya wa hapo Mombasa
Excuses excuses..mbona inventory ya USA yajulikana..kipi Cha maanan na jeshi lenu??
Ama mnaficha nuclear bombs?
Ogopa sana Tanzanian special Forces.
35 Most Elite Special Forces Around The World
Pity the fools who get on the wrong side of these elite fighters.www.atchuup.com
Vyovyote tu,Bangi sio mboga boss, first of all hao ni peace keeping army na sio special force
Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha.hahaa I can see you are now trying to shift the goal post.btw hizo meli zenu zote ni second hand hakuna ata moja mpya .
We Rudi shule usome basics of sustaining an argument/debates.Kwa hiyo ndio maana mnaiga ushoga kwa hao USA, tuna utaratibu wetu, jaribuni kugusa kama hatutawamaliza