Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

haha while your biggest is 63 m kns Nyayo is 60meters jasiri iko ligi nyingine standing 85meters
Very old technology, sasa mtawezaje kupigana vita ya " digital & lesser guided", kama bado mnanunua vifaa vyenye " old technology"?, kwanini mnapenda kununua used equipments?

Jasiri ni meli ndogo sana ukilinganisha na hizi meli zetu, in all dimensions, lete details za Jasiri tulinganishe na hizi " Brand new with modern technology war ships". (please give us links)
 
Safi sana, waombe mechi ya kirafiki...
Msikilize speaker wa bunge la Tanzania wakati anazungumza kuhusu Juguar kule Bungeni, alisema " kama watajaribu kumgusa mtanzania mmoja, kesho yake watatukuta tunakunywa chai Nairobi. Hiyo ni dalili kwamba tunalijua vizuri sana jeshi lenu, na tunalidharau sana, hata KDF wenyewe wanajua hivyo. Ombeni mechi muone mziki wake.
 
Are you talking about that lazy and poor army?
 
The only Army in Africa with records of winning many wars and training many Armies in Africa, including Uganda, Mozambique, Zimbabwe, Angola, Namibia and "Inkonto nswise of South Africa".

The only army that owns Amphibious tanks in Afrika.
 
Heheee...na mbona hamjawai jihusisha kwenye peace keeping missions Kama Kenya na Ethiopian
 
Kenya navy is the biggest and the best equiped navy from cape to Cairo hapo hakuna ubishi.
Nyie sio wa kushindana na sie, Kunya boys pigeni hadithi uko kwenu kwenye vijiwe tianeni ujinga uko na msilete hapa, Tumepigana Vita vingi na hakuna tuliyoshindwa,
1.UGANDA
2.MSUMBIJI
3.NAMIBIA
4.ZIMBABWE
5.DRC
6.ANGOLA
7.South Africa mnajua tumefanya nini kule, Nyie mlikuwa wapiii?
Na uko Somalia tumewaachia wenyewe mpambane na hali yenu, Ka nchi kama Somalia kanawashinda mnajisifia Ujinga kama kawaida yenu, ptu Kunya Boys Hopeless kabisa!!!
 
Very old technology, sasa mtawezaje kupigana vita ya " digital & lesser guided", kama bado mnanunua vifaa vyenye " old technology"?, kwanini mnapenda kununua used equipments?

Jasiri ni meli ndogo sana ukilinganisha na hizi meli zetu, in all dimensions, lete details za Jasiri tulinganishe na hizi " Brand new with modern technology war ships". (please give us links)
hahaa I can see you are now trying to shift the goal post.btw hizo meli zenu zote ni second hand hakuna ata moja mpya .
 
Very old technology, sasa mtawezaje kupigana vita ya " digital & lesser guided", kama bado mnanunua vifaa vyenye " old technology"?, kwanini mnapenda kununua used equipments?

Jasiri ni meli ndogo sana ukilinganisha na hizi meli zetu, in all dimensions, lete details za Jasiri tulinganishe na hizi " Brand new with modern technology war ships". (please give us links)
Mna meli ngapi?
 
Tupo na tumeshiriki UN peace missions nyingi kuliko Kenya, tupo
1) Lebanon
2)Darfur
3)CAR
4)DRC

Tulishiriki
1)Liberia
2)Commoro

Kenya mlishiriki South Sudan, mkashindwa mkafukuzwa na Ban Ki- moon.

Lia sasa
 
Tanzania takwimu za jeshi hazipatikani kiholela kama hao Malaya wa hapo Mombasa
Excuses excuses..mbona inventory ya USA yajulikana..kipi Cha maanan na jeshi lenu??
Ama mnaficha nuclear bombs?
 
Kwa hiyo ndio maana mnaiga ushoga kwa hao USA, tuna utaratibu wetu, jaribuni kugusa kama hatutawamaliza
 
Little Kenyans, refresh your minds...
Screenshot_20190208-082221.jpeg
 
Back
Top Bottom