joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahaha, nendeni mkanunue ndege za kisasa ndio mje tuzungumze, hatuwezi kuzungumza na watu wanaotumia F-5 katika karne hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, nendeni mkanunue ndege za kisasa ndio mje tuzungumze, hatuwezi kuzungumza na watu wanaotumia F-5 katika karne hii.
Kenya is seven times stronger than Tanzania on air.Hahahaha, nendeni mkanunue ndege za kisasa ndio mje tuzungumze, hatuwezi kuzungumza na watu wanaotumia F-5 katika karne hii.
SAWA SAWA TUTANUNUA NDEGE MPYA WAKATI MTAKAPONUNUA NDEGE..Hahahaha, nendeni mkanunue ndege za kisasa ndio mje tuzungumze, hatuwezi kuzungumza na watu wanaotumia F-5 katika karne hii.
Okay
Sema naskia zike ndege zenu zimechoka balaaa
Hahahaha, nendeni mkanunue ndege za kisasa ndio mje tuzungumze, hatuwezi kuzungumza na watu wanaotumia F-5 katika karne hii.
media zenu wenyewe mara kadhaa wanaonyesha wakiwa kwenye doria SomaliaUliwaona wapi kdf wakifanya doria
Majority of Kenyans understand the truth, this is what they say " Read comments under this video ". Hahahaha, HahahahaKenya is seven times stronger than Tanzania on air.
1) J - 7,SAWA SAWA TUTANUNUA NDEGE MPYA WAKATI MTAKAPONUNUA NDEGE..
Acheni ubishi wa kijinga, nendeni mkanunue ndege za kisasa. Uganda ana SU30 toka Urusi, anazo 6,(3rd generation), Tanzania tunazo J-7, zipo 14 brand new (3rd generation), Kenya mnazo F-5, zipo 5 (2nd Generation), na zimechakaa sana.Unaskia....endelea kuaskia ila leteni nyoko nyoko ili kuhakiki kama zimechoka.
Kwenye jeshi la anga hakuna wa kutuzidi kote huku, iwe kwenye anga, kwenye maji na nchi kavu tunafagia fagia.
Jibu nimelipata kumbe hamuna meli za kivita, ila mnazo mbili za doria za kuwafukuzia wezi wa samaki kwenye eneo lenu la bahari, hizi mbili zilizinduliwa na rais Kikwete. Hivyo hamna haja ya kuomba mechi maana tutakua tunapigana wenyewe kwenye uwanja wa mapambano, ni kama timu moja iingie kwenye uwanja wa mpira na kucheza dhidi yake yenyewe.
Kweli Kenya kiboko, kuna baadhi ya haya mambo wengi hatuyajui, hadi ufuatiie ndio ujue uwezo tulionao dhidi ya nyau na kenge wote.
![]()
Tanzanian navy commissions new vessels - defenceWeb
Tanzanian president Jakaya Kikwete has commissioned into service two new warships supplied by China’s Poly Technologies. The vessels, TNS Mwitongo (P77) and TNS Msoga (P78), were commissioned on April 28 at Kigamboni Command’s base in Dar es Salaam. Kikwete said strengthening the navy’s...www.defenceweb.co.za
Mtumba 1996Tulimalizana nao kitambo . sikuhizi tunapiga patrol hapo ni valleta Malta.
View attachment 1239907
Tulimalizana nao kitambo . sikuhizi tunapiga patrol hapo ni valleta Malta.
View attachment 1239907
Ilienda kupakwa rangiView attachment 1240100
Kns umoja spotted in the UK .
Kwahiyo hao jamaa Wana Cruise tu kuangalia bahari na kupunfa upepo kwa cost ya Wakenya masikiniView attachment 1240102
I don't know where this is ,but it must be somewhere in the Mediterranean,red Sea ama Eastern Coast of Africa.
Kenya Air Force - 209aircrafts
Tanzania Airlines Force - 30 aircraft
Kwahiyo hao jamaa Wana Cruise tu kuangalia bahari na kuvua samaki kwa cost ya Wakenya masikini
Soma wakenya wanavyotoa matusi kutokana na Kuwepo na jeshi dhahifu la Anga. Soma reactions za wakenya katika hii video.
Huu ndio ujinga wa Kunya Boys, wakati wote wanapenda kujiona wako zaidi ya Tanzania, kumbe ndani wanakiri kuwa JW ni jeshi Kongwe katika Afrika, Suppose you are stronger than Tanzania 100X, Just tell us the number of successful missions engaged, And the reason of failing a very small mission with Alshabab!!!Kenya is seven times stronger than Tanzania on air.
Hzo kwenu mnazitamani[emoji23][emoji23][emoji23]