Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Okay
Sema naskia zike ndege zenu zimechoka balaaa

Unaskia....endelea kuaskia ila leteni nyoko nyoko ili kuhakiki kama zimechoka.
Kwenye jeshi la anga hakuna wa kutuzidi kote huku, iwe kwenye anga, kwenye maji na nchi kavu tunafagia fagia.

 
Hili jeshi imara la Kenya limeshindwa hata kukomesha biashara haramu ya pembe za ndovu bandarini. Malizeni vitu vidogo hivyo ndio mje Bongo kuulizia.
 
SAWA SAWA TUTANUNUA NDEGE MPYA WAKATI MTAKAPONUNUA NDEGE..
1) J - 7,
2) 3rd generation jet fighter
3) Maximum speed 2200 Km/h
4) Radar capacity 200Km
5) It can fire lesser guided missiles
6)Model. 2012 (Brand New acquired)

Tunazo 14

Angalia hapo zinapita zikifanya mazoezi. Hahahaha, Hahahaha.
 
Unaskia....endelea kuaskia ila leteni nyoko nyoko ili kuhakiki kama zimechoka.
Kwenye jeshi la anga hakuna wa kutuzidi kote huku, iwe kwenye anga, kwenye maji na nchi kavu tunafagia fagia.

Acheni ubishi wa kijinga, nendeni mkanunue ndege za kisasa. Uganda ana SU30 toka Urusi, anazo 6,(3rd generation), Tanzania tunazo J-7, zipo 14 brand new (3rd generation), Kenya mnazo F-5, zipo 5 (2nd Generation), na zimechakaa sana.
 
Jibu nimelipata kumbe hamuna meli za kivita, ila mnazo mbili za doria za kuwafukuzia wezi wa samaki kwenye eneo lenu la bahari, hizi mbili zilizinduliwa na rais Kikwete. Hivyo hamna haja ya kuomba mechi maana tutakua tunapigana wenyewe kwenye uwanja wa mapambano, ni kama timu moja iingie kwenye uwanja wa mpira na kucheza dhidi yake yenyewe.

Kweli Kenya kiboko, kuna baadhi ya haya mambo wengi hatuyajui, hadi ufuatiie ndio ujue uwezo tulionao dhidi ya nyau na kenge wote.

Screenshot_2019-10-24-08-14-59-329_com.instagram.android.jpg
 
Kenya is seven times stronger than Tanzania on air.
Huu ndio ujinga wa Kunya Boys, wakati wote wanapenda kujiona wako zaidi ya Tanzania, kumbe ndani wanakiri kuwa JW ni jeshi Kongwe katika Afrika, Suppose you are stronger than Tanzania 100X, Just tell us the number of successful missions engaged, And the reason of failing a very small mission with Alshabab!!!
 
Back
Top Bottom