Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Ombeni mechi tuone nani kenge baina yetu, hivi Tanzania mna jeshi la wanamaji kweli? Au meli za kivita hata moja.
Najua mnao wale wapasua matofali wa maonyesho, ila pia nakumbuka kuna kipindi mlifanya maonyesho ya kulipua minazi kwenye fukwe...hehehe
MV Dar es salaam huijui wewe!?
 
1) J - 7,
2) 3rd generation jet fighter
3) Maximum speed 2200 Km/h
4) Radar capacity 200Km
5) It can fire lesser guided missiles
6)Model. 2012 (Brand New acquired)

Tunazo 14

Angalia hapo zinapita zikifanya mazoezi. Hahahaha, Hahahaha.

The only thing a j7 can do against an f 5 is runing away very fast.Hizo ni mig 21 copies
 
Acheni ubishi wa kijinga, nendeni mkanunue ndege za kisasa. Uganda ana SU30 toka Urusi, anazo 6,(3rd generation), Tanzania tunazo J-7, zipo 14 brand new (3rd generation), Kenya mnazo F-5, zipo 5 (2nd Generation), na zimechakaa sana.
Nilikuambia hujui chochote kuhusu hizi missiles na generations unashindanga ukisema.
 
Mimi mpaka sasa nimeshindwa kuamini Tanzania hawana meli za kivita ilhali wana bahari, yaani hawa ni wa kuhurumiwa, nilishangaa sana juzi eti hata radar za angani walikua wanatumia zetu.
Taarifa za kijeshi mnazobishania sio uhalisia wa mambo, nguvu za kijeshi ni siri na hubaki hivyo tu so usijimwambafy mkuu
 
Taarifa za kijeshi mnazobishania sio uhalisia wa mambo, nguvu za kijeshi ni siri na hubaki hivyo tu so usijimwambafy mkuu

Wacha kuchekesha wewe, meli ya kivita utaficha wapi, kwanza hizi nchi za Kiafrka shithole kuna nini cha maana hadi ufiche, hehehe!!
 
Wacha kuchekesha wewe, meli ya kivita utaficha wapi, kwanza hizi nchi za Kiafrka shithole kuna nini cha maana hadi ufiche, hehehe!!
Ukitaka kuona Meli za TZ njoo hapa Navy Kigamboni halafu jaribu kupiga picha?
 
Nilikuambia hujui chochote kuhusu hizi missiles na generations unashindanga ukisema.
Hahahaha, ninachojua ni kwamba, Kenya mpo na F-5, hizi ni 2nd generation na zipo 5, zilitenfenezwa 1970s. Tafadhali kanusha na uletee "link" ili tusome.
 
Hahahaha, ninachojua ni kwamba, Kenya mpo na F-5, hizi ni 2nd generation na zipo 5, zilitenfenezwa 1970s. Tafadhali kanusha na uletee "link" ili tusome.
Hahaa so unataka kumaanisha hata su 30 ya 1996 ama hata hiyo J7 ju ni ya 2013 ni powerful kuliko F 15 ya 1976?...
 
How many jet variants do you see?
kaf_110 (1).jpg

Tunaomba inventory ya KAF please, au weka picha tuone ndege mlizonazo. Siku ya Mashujaa silaha zote huonyeshwa, au ndege zenu zimefungiwa ndani ya Chumba?
 
Tunaomba inventory ya KAF please, au weka picha tuone ndege mlizonazo. Siku ya Mashujaa silaha zote huonyeshwa, au ndege zenu zimefungiwa ndani ya Chumba?
Kwanini hawakuonyesha z 9w na puma Kama silaha zote zilioneshwa?
 
Sasa kwa hizo ndege zote mna nini ya maana?
Hilo sasa ni swali tofauti, kwanza nilitaka ukubali kwamba TPDF sio level yenu. Kwasababu umekubali, sasa ndio tutazungumza umuhimu wake.

Actually hata Mimi sipendezwi sana na uwekezaji huu mkubwa katika jeshi, ni bora tungeongeza ndege za ATCL kuliko hizi za Jeshi.
 
Tena walizitumia kw miaka mingi sana.. hawa jamaa hawana shukurani kabisa
Mimi mpaka sasa nimeshindwa kuamini Tanzania hawana meli za kivita ilhali wana bahari, yaani hawa ni wa kuhurumiwa, nilishangaa sana juzi eti hata radar za angani walikua wanatumia zetu.
 
Back
Top Bottom